Search results

  1. raiswenu

    Misemo ya kikwetu yenye Hekima ndani yake

    Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake 1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa. 2. Kushema Chonja kubundala Huu ni sawa ule msemo mtaka cha uvunguni sharti uiname. 3. Gw'ana nongu akalyaga na kabisile Mtoto mwema huweza kupewa ale...
  2. raiswenu

    Uongozi, hatima ya nchi

    Nakumbuka siku ya tarehe 17/02/2024 nilikuwa nimekaa nikitazama luninga, kunatukio lilikuwa linaendelea, nilikuwa nikiangalia tukio hilo kwa huzuni, tukio hili lilinikumbusha miaka 24 iliyopita, kipindi nipo mdogo kabisa kijiji kizima tulikuwa tumekusanyika kwa bwana mmoja pale kijijini ambaye...
  3. raiswenu

    Msaada kuhusu refund App ya HESLB

    Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
  4. raiswenu

    Utafanyaje ukigundua mimba yako ilitaka kutolewa ili usizaliwe?

    Umeshakuwa mtu mzima sasa unajitambua, harakati za maisha zinaendelea kama kawaida, mara unakuja kugundua kuwa wewe ni abortion survivor, mama yako alitaka kuitoa mimba yako. Na wahusika ni baadhi ya ndugu unao ishi nao. How will you react? Iko hivi nakumbuka nilikuwa kwenye...
  5. raiswenu

    Ni vigezo gani uwenavyo ili kufanya kazi na kampuni?

    Habari zenu ndugu zangu, mimi kama mjasiriamali naweza kufanya kazi na kampuni (kwa kutoa huduma kwa makapuni na mashirika) as an individual? au lazima pia niwe na kampuni ndipo wanaweza ku consider proposal yangu? Taratibu za mashirika na makapuni zikoje katika kufanya kazi na watu wanaotoa...
  6. raiswenu

    Kitu ninachokiogopa kuliko vyote

    Nimekuwa nikijuuliza, hivi ni kitu gani hasa ninachokiogopa katika maisha yangu? Je, ni kifo ama nini? Jibu ni nililolipata ni muda, muda ni wa kuogopwa kulikovyote. Mungu alipotengeneza muda alituweza. Hii ni kwa sabababu muda ndio unao ongoza maisha yetu, our life is coded with time in every...
  7. raiswenu

    Hii salamu imekaaje wajuvi wa Kiingereza

    Asubuhi = good morning Mchana = good afternoon Jioni = good evening Usiku =? Siyo kama sijui kama kuna goodnight, lakini kwa sababu good night inatumika watu kutakiana usiku mwema, imagine mtu hamjaonana tangu asubuhi mnakuja kuonana usiku saa nne, mnasalimiana vipi?
  8. raiswenu

    Naomba ufafanuzi katika suala hili la ngazi za mishahara

    Ni nini tofauti iliyopo katika mishahara kati walimu wanao fundisha vyuo vinavyo toa diploma na walimu wa shule za kawaida. Na maanisha hivi, kwa mfano mimi mwalimu mwenye elimu ya shahada ninaye fundisha shule ya sekondari nitatofautiana vipi kwenye ngazi ya mshahara na mwl mwenye elimu kama...
  9. raiswenu

    Ushauri wenu tafadhali, nahitaji kufanya biashara

    Hii ni kutokana na kufungwa vyuo nipo tu hapa Bagamoyo nikisubiria vyuo vifunguliwe ingawaje sina uhakika kama itakuwa mapema. Nina kama 500,000/= kwa wazoefu wa biashara na wenyeji wa maeneo haya, ni biashara gani naweza kufanya kwa kutumia hicho kiasi? Ushauri wenu tafadhali Sent using...
  10. raiswenu

    Tabia gani hupendi kuingia nayo 2019?

    Kila mtu kwa nafasi yake anamapungufu yake, ni busara kila mtu kujitathimini na kujua ni mapungufu yapi yanamrudisha nyuma katika nyaja tofautitofauti za kujiletea maendeleo, kwa kufanya hivyo unapata nafasi ya kusonga mbele katika kufikia malengo yako. Nakumbuka nilikuwa nina tabia kadhaa...
  11. raiswenu

    Weka marafiki zako mbali na mkeo

    X na Y walikuwa marafiki, marafiki kwelikweli. Mke wa X akapata ujauzito, mtoto akazaliwa anafanana na Y, ghafla urafiki wa X na Y ukafa. Nikamfata kumwuliza, vipi kulikoni? Akaniambia kwa kifupi, "weka marafiki zako mbali na mkeo". Ningekuwa siwezi kuangalia picha nisingemwelewa kabisa, na...
  12. raiswenu

    Jifunze kitu kwenye hii thread

    Usiku wa manane nasika simu yangu inaita, nainyanyua naangalia ni mshikaji wangu Luka, namuuliz kulikoni Luka, anaongea kwa wasiwasi huku akihema kwa juu kama mtu anayekimbizwa na watu wasio julikana “Rais wenu, washa data kuna kitu nimekutumia watsupp” . ni mda kama wa saa saba za usiku...
  13. raiswenu

    Namshukuru Mungu kwa kunikomboa dhidi ya mateso ya limbwata

    KUPITIA UZI HUU NAWASIHI MJIFUNZE KUPITIA MIMI, UNARUHIWA KUULIZA CHOCHOTE PIA. Tangu nikutane na huyu mtu mambo yangu yalibadilika ghafla, nilikuwa na upendo mkubwa sana kwake kiasi kwamba kunawakati nilikuwa ninajistukia, kunawakati nilikuwa ninajiona nikotofauti na hapo mwanzo katika namna...
Back
Top Bottom