Search results

  1. S

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Huyo mungu wako inamana hajui kama lowasa hafai. Kama mchungaji unataka kupotosha watu ilo ni pepo omba kinyume chake.
  2. S

    Polisi wasuasua kujibu madai ya Mwakyembe

    wa ovyo hawa polisi
  3. S

    A Letter For A President Part 8

    nimeipenda, ameipata?
  4. S

    Makamu wa Rais Kupanda Helkopta Kutokana na Barabara mbovu ni Usaliti

    hivi huyu jamaa anakazi gani nchini hapa?
  5. S

    Maandamano makubwa Songea!

    kumekuwa na vita kubwa ya polisi na askari katika mji wa songea baada ya wananchi kupamba moto na kushindwa kuzuia hisia zao kwa kile wanachokisema polisi hawatoi ushirikiano kwa mauaji yanayoendelea katika manicipal ya songea. taarifa ambazo ninazo wananchi wawili wamepigwa risasi na polisi na...
  6. S

    kwa nini watanzania ni wasaulifu sana katika mamo ya msingi?

    Si mara ya kwanza mambo makubwa kutokea hapa nchini kama ugonjwa wa Dr. H Mwakyembe na jinsi ili suala linavyoshughulikiwa kizembe na kiukikwaji haki, lipo jambo la mtoto wa mwenyeki wa IPP bwana Mengi na kubambikiziwa madawa ya kulevya na matukio mengi ya msingi yanavyopindishwa. lakini sisi...
  7. S

    DCI Manumba anajua msiumize vichwa

    tumsubiri Manumba atakulupuka tu siku huzi za jirani ni kawaida ya viongizi wa ovyo kukurupuka
  8. S

    Maandamano makubwa Songea!

    dunia imefikia mwisho lakini mungu hawaondolee roho mbaya binadamu. hii taarifa ni ya kweli kabisa
  9. S

    Udsm wasaliti..

    pole zao
  10. S

    Picha ya Tanzania ijayo

    ningechora mashimo mengi sana
  11. S

    I want to marry My Mother

    dunia ipo jirani kuend haya ndy ya nostradamus na mayan prophecy
  12. S

    CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

    bac cdm ipo karibu cuf
  13. S

    Ngoja na mimi nijaribu, naona wengi wamefanikiwa.....

    unajaribu ukiwa serious utuambie
  14. S

    IGP - Mtandao huu ni hatari - Part I

    kuna tatizo hapa?
  15. S

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    kabla sijasema chochote nikuulize maswali kadhaa..... 1. umewahi kushiliki hicho kitendo majuto ni mjukuu? 2. umewaza nini mpaka ukajitoa muanga kusema haya? 3. umeoa au kuolewa? 4. unamtoto wa kike au wakiume? 5. umewahi kusikia sodoma na gomora? nitatoa ushirikiani baada ya majibu send even...
  16. S

    natafuta bwana

    awe gud on bed we mwenyewe unaweza au ndy gogo mpaka lizungushwe lenyewe haliendi, anyhow nione tufikie mwafaka.
  17. S

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    kaka pole sana unatatizo kama langu nimeacha pombe nikaanza kuumwa maralia, typoid, amoeba na magonjwa kibao sasa nimeona nisijitese nimerudi kwenye pombe. welcome back brother.
  18. S

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    unga tu ndiyo unatumi wewe, pombe kwk mwiko
  19. S

    Misamiati maarufu vyuo vikuu

    pitia maana halisi ya neno nyanga we utakuwa ngwini uliyeandika hapa nimejua tu!
Back
Top Bottom