Search results

  1. M

    Crash Program PGM

    Nahitaji mwalimu mzuri wa form five masomo ya physics na Maths crash programme ya siku 7.
  2. M

    Nahitaji mwalimu mzuri wa form one crash programme ya siku 10

    Nahitaji mwalimu mzuri wa form one physics, chemistry, biology na Maths na mwalimu wa commerce, geography, bookkeeping and History awe Dar es salaam crash programme ya siku 10. PM me please
  3. M

    Nahitaji mtaalamu wa Lugha wa kuandika references kwa style ya APA

    Nahitaji mtaalamu wa Lugha anaejua kuandika references kwa style ya APA
  4. M

    Natafuta mtu wa kutengeneza book cover

    Natafuta mtaalamu wa kunitengenezea cover ya kitabu changu ( design a book cover)
  5. M

    Fundi Pavement anahitajika

    Natafuta fundi pavement amabe bei yake aiko juu
  6. M

    Msaada wa tafsiri sahihi ya neno Adam's Apple na Mawazo

    Tafadhari kwa wale wataalamu wa lugha naomba tafsiri sahihi ya neno "Adam's Apple" kwa kiswahili na neno "mawazo"in English
  7. M

    Fundi Pavement

    Anaemjua fundi mzuri anayetengeneza pavement za kisasa kwa bei nafuu tafadhari naomba namba za simu
  8. M

    Natafuta fundi wa kutengeneza bafu la kisasa

    Wadau, Mwenye kumfahamu fundi mzuri wa mabafu (I mean sink za bafuni, sink za kuogea na vyoo) anipatie namba zake
  9. M

    Wapi naweza kupata original battery za samsung S3 na S4 hapa Dar?

    Wadau kama kuna mtu anaweza niambia wapi naweza kupata original battery za samsung S3 na S4 hapa Dar maana kila ninazonunua nakuambiwa ni original mwisho wasiku ni fake
  10. M

    Natafuta mtaalamu wa kusafisha roof tiles

    Natafuta mtaalamu wa kusafisha roof tiles from Newzeland, mwenye contacts naomba msaada
  11. M

    Natafuta mtu wa graphics anaye weza kuchora graphic model

    Nahitaji mtaalamu wa kuchora advanced model kwenye computer
  12. M

    Translator

    Anahitajika mtu wa kufanya translation vizuri kutoka kiswahili kwenda kingereza kwa bei poa. Mimi niko Arusha ila hata kama uko Dar es salaam tunaweza kukubaliana
  13. M

    Nini maana ya KUTOA RADHI?

    Waungwana naombeni maana ya neno kutoa radhi. Nini maana yake na nani anatoa radhi na kwa nani? mara nyingi uwa nasikia utapata radhi wewe shauri yako
  14. M

    Msaada fundi rangi (nyumba) wa kisasa

    Wadau anaemfahamu fundi ujenzi anae paka rangi nyumba (kisasa) tafadhari naomba anijulishe
  15. M

    Nyumba mpya ya kuvutia inapangishwa Ukonga Banana

    Nyumba mpya ya kuvutia inapangishwa Ukonga Banana: iko km mbili kutokaairport Mwendo wa dakika tano kwenda kituo cha mabasi banana: Ina vitu vifuatavyo -Master bed room-1 -Extensive Sitting room (with six angles view) -Dining Room -Kitchen -Vyumba vya kulala vikubwa-3 -Store -Public Toilet...
  16. M

    Nahitaji mwalimu wa Kifaransa

    Nahitaji mwalimu wa kifaransa atakae nifundisha mimi na mtoto wangu kwa siku za weekend kwa muda wa miezi mitatu. I'm a beginner. Mwenye contacts na mwalimu yeyote wa Kifaransa naomba.
  17. M

    mashamba yanauzwa maeneo ya Mwale Masaki

    Mashamba yanuzwa maeneo ya Mwale Masaki Kisarawe. Moja heka 4 lina, minazi kama ishirini, michungwa, miembe n.k Shilingi milioni 10. Lingine heka 1shilingi milioni moja na laki nane. Wanaouza ni wazee wanashida. manunuzi yanafanyika serikali ya kijiji anae hitaji ani PM nimuunganishe na wazee...
  18. M

    Gharama za DSTV Full Installation

    Wadau naomba mnijuze je gharama zaDSTV Full Installation ni sh ngapi? na ofisi zao ziko wapi?
  19. M

    Msaada wa kukokotoa kodi

    Waungwana naomba mnisaidie kukokotoa gharama ya kulifikisha Tanzania na kodi yote kwa gari (Subaru Impreza FOB ni US$300 ya mwaka 2001
  20. M

    msaada dawa ya mende

    Kama kuna mtu anajua dawa ya mende anijulishe tafadhari, nimefanya furmigation lakini wamerudi tena najitahidi sana kuzingatia usafi lakini wanarudi tena wale wadogo wadogo
Back
Top Bottom