Search results

  1. kanyanga

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Hivi kuanzia tarehe ngapi Anthony Diallo amekuwa na busara, achilia mbali akili ya kutambua anachojaribu 'eti kuchambua kisomi' hebu jaribu kurejea kumbukumbu ya utawala wako kama waziri wa Utalii. Sitarajii kuona ukikemea huu ujinga na upumbavu unaoendelea
  2. kanyanga

    Serikali itoe tamko juu ya ufujaji huu unaofanywa na Makonda

    Le Mutuz upambe wa dizaini hii unakuondolea hata kale kaheshima kadogo ulikokuwa umehifadhiwa na waungwana. Kama mtu mzima kwa Makonda (umri wa kumzaa) na mapenzi makubwa uliyonayo kwake kama pariiparii, tumia busara kumshauri atoe vyeti kukata ngebe ya haya yanayoendelea kwenye mitandao na...
  3. kanyanga

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Paskali Mayala umeniacha hoi,baada ya kufuatilia story yote hiyo nilikuwa naamini mwisho wake utatoa uthibitisho wa Vyeti,matokeo ya uchunguzi kutoka huko Koromije, majibu ya mahojiano yako na wazazi wa Mh.RC na mengine yote uliyotaka kuyafamu kutoka kwa hao wanaotoa tuhuma hizo. kumbe Paskali...
  4. kanyanga

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Ila kiukweli Le Mutuz rudisha jeshi nyuma ujipange, hakika hawa wanaokuzodoa humu ni vijana rika la wanao (kwa umri ulionao) na ni ukweli usiopingika kwamba unajihusisha sana na vijana umri wa wanao,hii ni aibu kubwa. Mwisho, si lazima uwe mpambe/pariparii kwa watoto ili uishi,huwa najisikia...
  5. kanyanga

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Lemutuz si katika kila jambo unatakiwa kuonyesha unaegemea wapi ? Mwache RC Makonda ajibu tuhuma hizi yeye binafsi, itakuwa ni akili ya pariiparii wewe kujigeuza kuwa mtetezi wa Makonda kwenye issue sensitive kama hii.Hivi ikitokea mtu akagundua mmoja wa wafanyakazi katika ofc yenu ana vyeti vya...
  6. kanyanga

    Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    Hili jambo linalo zungumzwa yapata wiki nzima sasa si jambo dogo kabisa, inabidi lifikie tamati yake,na ili lifikie tamati yake mimi namshauri RC makonda (kwa ujasiri alioonyesha kwenye uongozi wake tangu akiwa kada UVCCM,DC,RC) atoke hadharani aitishe press conference pale ofcn kwake ili kukata...
  7. kanyanga

    Nini kitatokea endapo itabainika Manji ni mtumia Dawa za Kulevya?

    Uwe unauliza Ndg, sasa hivi sheria haisubiri wakukute na bangi au cocaine mkononi. Unapimwa na wakikuta wewe ni sawa na mmea umekwisha.
  8. kanyanga

    Rais Magu akamue zaidi ya hivi afanyavyo

    Ndg zangu wanabodi,nawasalimu nnyote. Ni kweli kwamba Mh Rais Magufuli si malaika kwamba,kila afanyalo asipate mtu wa kumkosoa.Hiyo ni hulka ya binadamu na hakika hakuna aliyekamilika. Lakino ndg zangu,kama angepewa nafasi na kueleza uchafu,upuuzi,wizi na ujambazi uliofanywa kwenye rasilimali...
  9. kanyanga

    IGP Afanya Mabadiliko Ya Makamanda Wa Polisi Kwa Baadhi Ya Mikoa

    Sasa ww uliyeangalia kwa chini chini ndiyo umegundua hicho usichokijua
  10. kanyanga

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Iwapo Dr.Slaa aliweza kuachana na Nadhiri (kiapo ambacho hutakikana maishani) ya utumishi wa Mungu,akaingia mtaani akapata mwanamke akazaa naye,then akaachana naye akaenda kwa mwanamke mwingine aliye na ndoa akamzalisha mtoto.Huyu binadamu wa aina hii anapata wapi ujasiri wa kuwanyooshea vidole...
  11. kanyanga

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Mchango wangu kidogo tu kwenye hii drama ya Lowasa inayoendelea hapa. Kuna kipindi ambacho Mungu anapotaka kukunyanyua kutoka ngazi moja kwenda ngazi nyingine,hutumia hata njia za mafarakano ili kutimiza lengo lake.Mimi naamini mafarakano ndani ya ccm ni mpango wa Mungu,ili UKAWA kupitia...
  12. kanyanga

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Tulifanya kosa kubwa sana miaka 10 iliyopita,kumkubali JK.Sasa mwaka huu,yawezekana tukafanya kosa kubwa sana iwapo CCM itamkataa Pro.Muhongo kupeperusha bendera yao katika uchaguzi mkuu kwenye nafasi ya Uraisi. Prof.Muhongo ni zaidi ya tunavyomjua wengi wetu.Huyu ni jembe ambalo halijui...
  13. kanyanga

    Wana Gangilonga mpo?

    Niliandika muda mrefu uliopita,hebu tufanye linalowezekana katika kuisaidia shule yetu
  14. kanyanga

    Rais Kikwete: Nilikuta serikali inaingiza mapato bilioni 170, Sasa naingiza bilioni 900 kwa Mwezi

    Faiza Foxy pitia hii Mzee Mwanakijiji;12107150]Bilioni 900 kwa mwezi? Mbona TZ ingekuwa pepo? Mwanakijiji ni kweli na hakika kwamba serikali inakusanya Tsh. 800b+ kwa mwezi ndiyo maana Mh.Raisi kasema Tsh.900b.Tatizo lake hataki kumalizia ukweli wa hali ilivyo,kwamba matumizi ya serikali kwa...
  15. kanyanga

    Rais Kikwete: Nilikuta serikali inaingiza mapato bilioni 170, Sasa naingiza bilioni 900 kwa Mwezi

    Mzee Mwanakijiji;12107150]Bilioni 900 kwa mwezi? Mbona TZ ingekuwa pepo? Mwanakijiji ni kweli na hakika kwamba serikali inakusanya Tsh. 800b+ kwa mwezi ndiyo maana Mh.Raisi kasema Tsh.900b.Tatizo lake hataki kumalizia ukweli wa hali ilivyo,kwamba matumizi ya serikali kwa mwezi ni...
  16. kanyanga

    Rais Kikwete: Nilikuta serikali inaingiza mapato bilioni 170, Sasa naingiza bilioni 900 kwa Mwezi

    Mzee Mwanakijiji;12107150]Bilioni 900 kwa mwezi? Mbona TZ ingekuwa pepo? Mwanakijiji ni kweli na hakika kwamba serikali inakusanya Tsh. 800b+ kwa mwezi ndiyo maana Mh.Raisi kasema Tsh.900b.Tatizo lake hataki kumalizia ukweli wa hali ilivyo,kwamba matumizi ya serikali kwa mwezi ni...
  17. kanyanga

    Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

    Ndg yangu MFAMAJI,hivi huyo John Pallangyo ndiye huyo mwenye ofisi hapo Safari Hotel ?
  18. kanyanga

    Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

    Tafadhali mnijuze,huyu John Pallangyo ndiyo huyo mfanyabiashara mwenye ofisi yake hapo Safari Hotel Arusha ? Kama ni yeye,mtapata taarifa zake,yeye ni mtu wa aina gani
  19. kanyanga

    Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Ukitaka kujua uhusika wa Albert kwenye hii issue ya escrow,ni pale Stanbic Bank watakapo toa bank statement ya PAP,na PCCB watakapo mkamata singasinga ili awaeleze,ni akina nani walikuja na viroba,magunia nk kuchukua mgao kwenye zile 73b. Lakini vilevile PCCB watakapo fuatilia na kuuambia...
  20. kanyanga

    Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Duh JF kwa kuchimba ni balaa.Huyo Mao ni mdogo wake Michael Richard Wambura.Zamani hizo alikuwa akiishi hapo jirani na ofc za AAR,ambako sasa kumevunjwa,na mjengo wa nguvu unashushwa hapo. Kimsingi JK aliumia sana kwa huyu dogo Albert Marwa kuzaa na Bint yake huyo.Huyu Albert amekula sana...
Back
Top Bottom