Search results

  1. D

    Watu wa JF walionifundisha na kunifurahisha 2021

    I will mention some names here, though the list is not exhaustive but I must say the following made my life easier in 2021 mrangi Zero IQ mama kubwa mama D Bushmamy huyu atakua msukuma Erythrocyte Extrovert Sky Eclat Mamndenyi juzi sikukuona mndeny Mzee wa Makanya Mshana Jr Miss...
  2. D

    Wanawake jihadharini mnapokuwa vyuoni au na vyeo vya chini

    Kina Dada mnapokuwa shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya. Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo. Kila Mara vijana...
  3. D

    Halotel anzisheni special thread

    Halotel anzisheni special thread tuweze kuwafikia na kutoa malalamiko yetu dhidi ya huduma zenu mbaya. Mfano. Ukipiga simu huduma kwa wateja haipokelewi. Unaweza kununua bando ikachukua muda mrefu kabla huduma haijarejeshwa. Kumbukeni wengi tulihamia halotel baada ya kampuni kubwa kujisahau...
  4. D

    Wanawake na tamthilia

    Hivi Kuna kitu wanawake wanakiona kwenye TAMTHILIA ambacho hatukioni. Hasa za Maisha Magic na zile za Amerika ya kusini. It is just too much
  5. D

    Sipati Usingizi

    Nikisoma nasinzia, Nikiangalia TV nasinzia Nikija kitandani usingizi unapotea halafu naanza kuwakumbuka wanaonidai, sikukuu na ada.
  6. D

    Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

    Juzi Kati nikiwa kwenye jiji la maraha niliingia kwenye ofisi moja ya mkoa ya NSSF. Nilichokuta pale kilinishangaza sana, kulikua na watu wazima wawili wengine wote zaidi ya 50 ni vijana under fourty years. Wote wamesimamishwa kazi wamekuja kudai mafao. Ilibidi yule Askari wa Suma pale getini...
  7. D

    Hivi ni kweli ofisi za NIDA zimefungwa?

    Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??
  8. D

    Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ukubwani

    1. Nimekaa zaidi ya mwaka mmoja bila kuchepuka. 2. Mwaka mzima sijaingia guest wala sijahonga wala sijavaa kondom. 3. Ni muda mrefu sana pombe haijapita mdomoni mwangu. 4. Nina zaidi ya miaka kumi sijawahi kuibiwa au kupoteza simu.
  9. D

    Leo Tigo kama Tanesco

    Siku hizi Tigo ni kama Tanesco. Mawasiliano yanakatika anytime without notice and nobody cares to apologise.
  10. D

    Ardhio ni nini?

    Wakubwa na wadogo naomba kujua maana ya neno ardhio. TBC wenyewe hawakutoa tafsiri
  11. D

    Yuko wapi TIBAIGANA?

    Huyu kiongozi alikubalika sana Dar es Salaam na nje ya Dar. Taarifa zake na waandishi wa habari ni burudani tosha. Popote alipo mpeni salaam zangu. Vile vile mtemi muuza sura kamanda Kova mpeni hi. Nae alikubalika sana. Sikumbuki tukio la utekaji kipindi cha Tibaigana. Kipindi cha Kova nacho...
  12. D

    Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

    Yangu ni machache tu. Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax na kilemba juu. Basi mkifika sehemu husika maongezi yake ni ligi tu. Mbona hivi. Mbona yule mwanamke...
  13. D

    Mkopo Branch au Tala

    Waungwana wenzangu. A salaam aleykhum. Napenda kuchukua mkopo aidha TALA au BRANCH. ni wapi kati ya hawa kuna unafuu wa interest rates. Narudisha baada ya muda gani? Mwenye kuwajua tafadhali. Nataka kwenda Rombo xmas. Sina pakukopea
  14. D

    Mkuu wa Wilaya Kigamboni atangaza Watoto wanaoingia vibanda umiza usiku wakamatwe

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri, ameagiza watoto wote wanaokaa kwenye vibanda vya sinema nyakati za usiku na wakati wa masomo, kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali.
  15. D

    Mwenye contacts za Mtendaji Mkuu wa Tigo

    Raia wenzangu, kuna anayejua namba ya simu ya Mtendaji Mkuu wa Tigo tumfikishie matatizo tunayopata na huu mtandao wa Tigo. Hiyo team ya Customer Service aidha hawajui watendalo au ni wajeuri. Something has to be done about the Customer Service team.
  16. D

    Umri wa kustaafu kwa hiari

    Salaam aleykhum waungwana. Juzi baada ya CAG kustaafu baada ya kipindi chake cha miaka mitano kuisha, niliona watu wengine wakisema CAG ana miaka 58 hajafikia umri hata wa kustaafu kwa hiari, kwani kustaafu kwa hiari ni miaka 62 na kwa mbinde ni miaka 65. Hebu mlio Dar es Salaam mtujuze maana...
  17. D

    Jacqueline 'K-Lynn' kapotelea wapi?

    Jamani nimemiss stori za huyu mdada, yale mambo yake yalikwisha?
  18. D

    RITA acheni usumbufu

    Hii taasisi ya RITA sijui wameajili watu wa namna gani. Kuna baadhi ya majina ya wanaoomba mikopo ya elimu ya juu wameyakosea pamoja na kwamba walihakiki vyeti na kupiga mihuri. Nimewapigia kwa namba zao 022 2924180/1 na 0800117482 namba zote hazipokelewi tangu saa mbili mpaka hii saa nane...
  19. D

    Chuo cha masheikh

    Ndugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa. Natanguliza shukrani povu sitaki
Back
Top Bottom