Search results

  1. ngorope

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kweli ww kigagula unamrekodi mwanao halafu unatuletea hapa eti malaika kumbuka shetani yupo ktk kila umri dhana ya kuwa kila mtoto ni malaika ni muflisi
  2. ngorope

    Sijawahi mwelewa Sumaye tangu akiwa CCM mpaka leo hii mkutanoni Mbeya

    alaysis ndio nn kama huwezi lugha za watu tumia tu kiswahili chetu tutakuelewa tu vizuri
  3. ngorope

    Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Kama mpiga kura aliyeiweka serikali madarakani ili imtumikie
  4. ngorope

    Vurugu Tunduma: Vijana Wawili wapoteza Maisha

    Asante mkuu maana hawa kasuku wa lumumba wanabwabwaja hovyo watoke sasa waseme hii video nayo ni ya Guinea
  5. ngorope

    Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Kweli mkuu mbawuwayu wa taifa a.k.a vasco da gama the explorer hakuna asipopajua ndo mana anahaha kwa kuwa the hague alikaa wiki na mziki wake anaujua
  6. ngorope

    Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Mabadiliko hayakwepeki subirini malofa na wapumbavu wawaoneshe ubora wao tar 25
  7. ngorope

    Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

    Muflisi slogan ya mabadiliko magufuli kaidandia njiani hii inathibitisha kuwa kweli ccm haina pumzi
  8. ngorope

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Jipe moyo bali tar 25 vichinjio vitafanya kazi na matokeo yake yatahitimisha utawala wa ccm
  9. ngorope

    Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

    Na miaka yote hiyo serikali imeogopa kumchukulia hatua? za kuambiwa changanya na zako japo kijiko kimoja cha chai
  10. ngorope

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Jibu utalipata tar 25 tafadhali usibadili ID
  11. ngorope

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Jidanganyeni kwa kubeba watu na malori ila tar 25 mtaona rangi zote arusha
  12. ngorope

    China isingemchelewesha Lowassa

    Mkuu hao wachina wenyewe wasanii pembe zetu za ndovu zinaishia kwao wamemnyonga nani? Wanavuna gesi yetu mikataba 17 kumuokoa muuza sembe wa bongo shame on chinese mnawasifia bure hapa
  13. ngorope

    Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

    tusubiri idadi ya kura tar 25 ndo mtajua arusha na moshi ilikuwa FUTUHI time ya star TV
  14. ngorope

    Shida yetu, haja yetu, dhiki yetu na lengo letu imekuwa fursa yao ya kutaka kutuibia vizuri

    Hayo ni maoni yake je wenyewe wanaona tofauti iliyopo
  15. ngorope

    TANESCO: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

    Kazana kesho utapandishwa cheo na kuhamishiwa IT masaki hapo lumumba joto jingi hadi ubongo unayeyuka
  16. ngorope

    Je, hizi ni mali halali za CCM?

    Msamehe kaka uchovu mwingi wanakesha kwenye key board kusambaza propaganda za lumumba hadi wanakosa muda wa kutafakari yale wanayoandika
  17. ngorope

    Usombaji watu wakera makatibu

    kweli mkuu na mwerevu akijidanganya kwa kusomba watu toka sehemu moja kwenda nyingine ili aonekane ana umati mkubwa anaonesha wehu badala ya werevu
  18. ngorope

    DP: Mazingira ya ajali ya mwenyekiti wa chama ni ya kutatanisha

    Muda si mrefu tutasikia ndio waliomtoa roho celina kombani kule India
  19. ngorope

    Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    ha ha ha kuna kisa cha mfereji wa maya kule same uliopangwa kupeleka maji sehemu.ya Igoma ili watu wa milimani washushwe tambarare kulima pamba wazee wa kipare wamwambia DC wa kiingereza hautafikisha maji Igoma kwa kuwa hawako tayari kushuka tambarare kuumwa na mbu. kweli mkoloni mwingereza...
Back
Top Bottom