Search results

  1. Millionaire Mindset

    Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

    MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua? WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’ MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu...
  2. Millionaire Mindset

    Umenasa kwenye mtego kwa sababu umejichanganya

    Kuna wakati unahisi mambo hayaendi, hasa katika masuala ya fedha na kipato. Unaona unapambana kwa bidii lakini maendeleo ni kama vile hayaonekani. Unahisi umerogwa siyo? NATAKA kukwambia UKWELI kwamba ni kweli kuna mtu anakuchezea, lakini mtu huyo si mwingine, bali ni wewe mwenyewe. Najua...
  3. Millionaire Mindset

    This world has gone MAD!

    Yeah sorry i started on that foot! But i meant what i said, its just that, I mean something else. The Nuclear war heads we keep producing and keeping, under the guise of MAD-Mutually Assured Destruction. Let say you are an Alien, looking down towards this pale blue planet, and you saw some...
  4. Millionaire Mindset

    Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  5. Millionaire Mindset

    Kibarua, msaidizi

    do you have any driving experience at all?
  6. Millionaire Mindset

    Das es salaam stock Exchange needs to act serious for citizen to take them serious and invest

    Thanks! i was looking for the opportunity to invest in one of companies there, but what I found was insufficient and not impressive. I will check on that App, may be it could be helpful, but if DSE guys keep doing what they do now, I`m not sure if the majority of Tanzanians are going to learn...
  7. Millionaire Mindset

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    migomba dar naipataje?
  8. Millionaire Mindset

    Huduma chapu chapu

    bei kwa kilo ya kila kimoja hapo juu please!
  9. Millionaire Mindset

    Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
  10. Millionaire Mindset

    Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  11. Millionaire Mindset

    Tumia vigezo hivi vitano (5) kuichuja njia ya polepole na nyinginezo za kuelekea kwenye mafanikio yako na utajiri

    KIGEZO #1: MAHITAJI YA NJIA YA FOLENI Ukisikiliza swaga za watu wa njia ya foleni ni kama hizi; “Nikasomee kitu gani, kitakachonifanya nipate mshahara mkubwa?”, “Hivi ni kampuni gani nikaajiriwe, inayolipa vizuri kuliko nyingine?”, “Nikiajiriwa serikalini itakuwa poa sana, Nitakuwa na uhakika wa...
  12. Millionaire Mindset

    Tusidanganyane; njia ya foleni kuelekea kwenye mafanikio na utajiri haina “future” kwa watoto wetu wala kizazi kijacho!

    Unafikiri ninapozungumzia habari za kuondoka kwenye njia ya foleni na kuhamia mwendokasi ninazungumzia ubinafsi wako na kupenda sifa kwako? Eti umesoma, una cheo, mtaa mzima wanakujua, kampuni yote wewe ndo wewe, na una vyeti kama vyote! Ninazungumzia habari za watoto wako na mamilioni ya kizazi...
  13. Millionaire Mindset

    Usikae sana kwenye njia ya foleni katika safari ya kuelekea mafanikio au utajiri, utachelewa!

    Mkuu tuache siasa, unaamka asubuhi unawahi kazini, kama ni chombo chako cha usafiri unaweka mafuta (pesa inatumika), kama ni usafiri wa public ni nauli (pesa inatumika), Breakfast inafika, unaagiza (pesa inatumika), baadae lunch (pesa inatumika) halafu jioni dina (pesa inatumika), unarudi...
  14. Millionaire Mindset

    Usikae sana kwenye njia ya foleni katika safari ya kuelekea mafanikio au utajiri, utachelewa!

    NJIA YA FOLENI (POLE POLE NDIYO MWENDO) Njia ya foleni ni njia ya wazee wa “polepole ndiyo mwendo”, wao huamini kuwa ili kuelekea mafanikio au umilionea inakulazimu kuwa na mvumilivu sana na mwenye subira. Watu hawa wana maarifa na wengi wao wamesoma sana, kiasi kwamba wanashindwa kujichunguza...
  15. Millionaire Mindset

    Usitembee kwa mguu kuelekea kwenye utajiri au mafanikio utakwama!

    1. suala la "Utata" lililoko kwenye mtaala linafahamika 2. Issue ya kufanikiwa siyo fumbo, waulize waliofanikiwa wamefanyaje 3. Kwenye elimu hakuna "Wateule wachache" au "Madebe matupu" hizo ni label, umeziweka mwenyewe, hakuna ushahidi wa kisaikolojia!
  16. Millionaire Mindset

    Usitembee kwa mguu kuelekea kwenye utajiri au mafanikio utakwama!

    Njia ya watembea kwa mguu kuielekea safari ya mafanikio na ukwasi Watembea kwa mguu watachukua muda mrefu sana kufika mwisho wa safari yao. Umbali kati ya Mwanza mpaka Dar ni kilometa karibu 853. Kwa umbali huu, mwenda kwa miguu anaweza kutumia zaidi ya masaa 420, sawa na siku 17; yaani hapo...
Back
Top Bottom