Search results

  1. chikoxalate

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufanya mtihani wa leseni ya Ufamasia

    Habari wana JF, Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie[emoji2969]
  2. chikoxalate

    Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Sasa mkuu daktari anakuwaje responsible kugawa dawa labda illegal
  3. chikoxalate

    Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Acheni kupotosha watu kwenye afya huwa wanategemeana na yaani hospital iwe na daktari tu? Hapana na msichojua katika hospital mtu wa mwisho kuhakiki makosa ya daktari ni mfamasia musichukulie poa
  4. chikoxalate

    Waliochaguliwa Mtwara Cohas

    Hapo sijajua ila kila chuo huwa kina cut point yake na pia kuna bahati kuna mwingine matokeo yake madogo amepata mwingne amefaulu zaid lakin amekosa
  5. chikoxalate

    Waliochaguliwa Mtwara Cohas

    Nafikiri bado hawajatoa maana ata nikiingia hakuna
  6. chikoxalate

    Waliochaguliwa Mtwara Cohas

    Habari wana JF kwa wote waliochaguliwa chuo cha Mtwara College Of Health And Allied Science tukutane apa
  7. chikoxalate

    Changamoto HESLB

    Apo ndo nilivyoelewa sema shida ni wiki ya pili hii nafanyaje apo?
  8. chikoxalate

    Changamoto HESLB

    Nimetuma kama siku10 zilizopita na nikaprint ila wiki iliyopita ikaja hiyo taarifa
  9. chikoxalate

    Changamoto HESLB

    Habari za saivi wana JF, Nimekutana na changamoto apa mwanzo niliattach vote card ya mdhamini ila ikajitoa kwa bahati mbaya kwenye system sasa kila nikiingia nakutana na maelezo ya kuweka tena lakini sehemu ya kukiweka (kuattach) sipaoni NAOMBA MSAADA mwenye uelewa apo na simu hawapokei.
  10. chikoxalate

    Nimekutana na changamoto kwenye kuprint na ku- submit application HESLB

    Habari wana jf nmekutana na changamoto kwenye kuprint and submit application siku ya nne leo haitaki nifanyaje au tatzo ni nini?
  11. chikoxalate

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    Me ninachokiona kama una simu yenye uwezo na camera mzuri unaweza kufanya kwenye simu ukamaliza vizuri tu
  12. chikoxalate

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    Hata mm jana ilikuwa inanisubua ivyoivyo nafikiri kwakuwa necta hawaapload matokeo ya mwaka huu ila nikajaribu kuingiza ikaniletea namba na jina la shule tupu nikaendelea kujaza vingine nikasave nikakuta imekaa vizuri tu so unaweza kujaribu ambavyo mm nmefanya pia kama itasaidia mkuu
  13. chikoxalate

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    Ukiendelea kufanya application apo utaona inakuja ujaze namba ya 4m6 na taarifa kama ulidhaminiwa nyuma
  14. chikoxalate

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    Kama huna kitambulisho cha nida achana napo kwa uelewa wangu hiko sio lazima ila jitaidi cheti cha kuzaliwa kihakikiwe na lita tu
  15. chikoxalate

    Namba kuelekezwa namna ya kuapload matokeo ya kidato cha sita HESLB

    Format inakuja moja kwa moja visanduku na vinakudirect kuingiza namba ya shule kisha kuna kisanduku cha kuingiza namba yako na kuna kisnduku cha mwaka
  16. chikoxalate

    Namba kuelekezwa namna ya kuapload matokeo ya kidato cha sita HESLB

    Nimeanzia apo ilivyokuja kwenye kuingiza namba nmeingiza jina shule limetokea ila nilivyooingiza namba ikakataa namba haipo
Back
Top Bottom