Search results

  1. A

    Sababu 5 zikazo wanyima ushindi wapinzani 2015

    1)kura vijijini: watu wengi vijijini wanasubiri pilau, kanga, vitenge na ahadi za uongo za CCM 2)kura za wakina mama: wakina mama wengi bado wana mapenzi makubwa na CCM. Wakiwapewa kanga, vitenge na show za bongo fleva. 3)Mapenzi na Vyama vya Siasa: Tofauti za siasa za Tanzania na nchi nyingine...
  2. A

    Urais wetu usitafutwe kwa njia za panya

    Wanaotaka Urais wajitokeze tuwajue. Wakijitokeza tutawauliza wanataka kwenda Ikulu kuifanyia nini Tanzania. Tutawauliza wana uwezo wa kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi unaotikisa nchi? Tutawauliza wanajua ndugu zetu vijijini wanakabiliwa na umasikini uliopindukia na mipango ya maendeleo...
  3. A

    Mtoto wa Rugemalira

    kuna watanzania wanaishi maisha ya shida. Lakini huyu mtoto wa fisadi anakula raha kwenye club na hotel za bei mbaya. Hapa yupo na Rihanna.
  4. A

    Kama sitta mbaya, wapo wapi wazuri ?

    BMK linaendelea na vikao vyake. Licha ya kundi ukawa kususia kwa madai ya kubezwa na kuburuzwa na wajumbe kutoka CCM. Baada ya kutoka nje Ukawa, wito kutoka makundi mbalimbali umetolewa wakiwataka kurejea na kutoa hoja wanazozitoa wakiwa ndani ya bunge. Ili zijadiliwe na kama zitakubaliwa basi...
  5. A

    Kama sitta mbaya, wako wapi wazuri?

    BMK linaendelea na vikao vyake, licha kundi la ukawa kususia kwa madai ya kubezwa na kuburuzwa na wajumbe kutoka CCM. Baada ya kutoka nje Ukawa, wito kutoka makundi mbalimbali umetolewa wakiwataka kurejea na kutoa hoja wanazozitoa wakiwa ndani ya bunge. Ili zijadiliwe na kama na zitakubalika
  6. A

    siasa ndo biashara inayolipa fasta

    si jambo la ajabu kwa wasomi, wanataaluma na wataalamu wa fani mbalimbali kujitumbikiza kwenye siasa. mfano raisi obama na aliyekuwa wazri mkuu wa Uingereza tony blair na rais Eisenhower alikua jenerali. Pengine cha ajabu kwa hapa kwetu ni jinsi ambavyo kumekuwa na mkusanyiko mkubwa wa kundi...
  7. A

    Tanzania wanataka kununua umeme Ethiopia

    meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha...
  8. A

    Naibu Waziri azozana na nduguye hadharani

    Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk.Charles Tizeba amedaiwa kuingia katika kashfa ya kutaka kupigana na kaka yake wakiwa katika baa moja jijini Mwanza. Dk.Tizeba amedaiwa kutaka kupigana na kaka yake huyo aitwaye Adrian Tizeba Jumatatu iliyopita katika baa moja inayofahamika kama Nyanguli Pub ambako...
  9. A

    Dar yakithiri kwa rushwa, vurugu

    Taasisi ya utafiti na kuibua matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam (Sikiliza) imebaini kwamba jiji hilo limekithiri kwa rushwa, vurugu, pamoja na wizi kwa asilimia 55. Akitoa tathmini hiyo jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Sikiliza, William Kihula, alisema mambo hayo...
  10. A

    Mbowe awapa somo wananchi jinsi ya kulinda kura zisiibiwe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka wapiga kura nchini kuanza kujiandaa na jinsi ya kulinda kura zisiibiwe siku ya kupiga kura. Akizungumza na wananchi wa kata ya Daraja Mbili Manispaa ya Arusha, alisema ni kila mmoja atambue umuhimu wa kulinda...
  11. A

    Tumezidisha porojo, Tunajenga nchi kwa maneno

    Kama kungekua na mashindano ya kuzungumza maneno, basi Tanzania ingekua kinara na pengine ingekuwa ikifanikiwa kutwaa medari zote za dhahabu hasa katika mashindano ya dunia. Tumekua hodari wa kuzungumza kubwabwaja kuliko kutenda, il hali kazi haziendi hivyo kurudisha nyuma maendeleo yetu...
  12. A

    Wazee wailaumu serikali maisha yao kuwa duni

    Wazee nchini wamesema serikali haijawa na nia ya dhati ya kushughulikia changamoto zinazowakabili, hivyo wametaka itungwe sheria itakayosimamia utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Wazee. Walisema hayo jana katika risala yao kwa mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, ambayo...
  13. A

    Wabunge: Tuko tayari kuweka wazi majibu ya Ukimwi

    Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamesema wako tayari kuweka wazi majibu ya vipimo vya mambukizi ya virusi vya ugonjwa wa ukimwi (VVU) hata kama watakuwa wameathirika. Walisema hayo kwa nyakati tofauti jana muda mfupi baada ya uzinduzi wa kitabu cha mwongozo kwa...
  14. A

    Sumaye ameitaka Afrika kutokomeza rushwa

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amezitaka nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kupambana na makundi na kuwalipua wala rushwa na wapokeaji kwa kuwachukulia hatua. Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, (OUT). Katika mada yake...
  15. A

    Usafiri wa treni Dar watimia

    Adha ya msongamano wa foleni barabarani kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam huenda ikapungua makali kuanzia mwezi ujao treni ya abiria kutoka Steshenni hadi Ubungo itakapoanza kutoa huduma. Uzinduzi wa usafiri wa njia ya reli kutoka Stesheni hadi Ubungo ulifanywa jana na Naibu Waziri wa...
  16. A

    Makundi ndani ya CHADEMA

    chadema kina makundi makubwa matatu huku la kwanza likiundwa na idadi ya viongozi wanaotoka mkoani kilimanjaro na kuongozwa na mbowe, la pili lina watu kutoka manyara na arusha kiongozi wake ni dr. slaa, halafu la tatu linamuunga mkono zitto. tofauti ya mawili ya kwanza, kundi hili la...
  17. A

    Afrika yaambiwa hakuna njia ya mkato kukabili ukuaji wa miji na makazi

    Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda, Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Goodluck Ole Medeye pamoja na wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 6 wa kuboresha miji na makazi mjini Napoli Italia leo. Katika mkutano huo, Umoja wa Mataifa...
  18. A

    Jaji warioba: Tumejipanga kuwa na katiba mpya 2014

    Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (kushoto) akiongea na Mawaziri wa Katiba na Sheria kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Mathias Chikawe (kulia) na Abubakar Khamis Bakari (kulia kwa Jaji Warioba) nje ya ofisi za Tume mara baada ya Mawaziri kutembelea...
  19. A

    picha ilipigwa dakika 20 kabla ya kuuwawa kwa maerhemu daud mwangosi

    Marehemu Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake katika vurugu za wafuasi mwa chama cha CHADEMA na Polisi ambapo mwanahabari Daud Mwangosi amedaiwa kufariki katika vurugu hizo. Picha zote na Habari na Mdau Francis Godwin-Iringa
  20. A

    Sitta: Sasa CCM tuache kupambana wenyewe

    Sitta, ambaye pia ni Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Alisema mapambano ndani ya CCM yanachangia kukidhoofisha chama hicho hasa wakati huu ambapo Taifa lipo katika mfumo wa...
Back
Top Bottom