Search results

  1. L

    Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Wakuu habari ninaomba ushauri nimemaliza form six Nina div 2 ya 10 cbg nimepangiwa bsc in agribusiness ninataka nikabadilishe hio kozi nikasome Agriculture general au agronomy naomba ushauri wenu juu ya maamuz haya mkizingatia sina background na economic hata ya olevel also marketing ranks ya...
  2. L

    Nimechaguliw multiple selection

    Wakuu habari zenu namshukuru mungu kwa afya na uzima ninaomba ushauri nimechaguliwa chuo Bsc agriculture economics and agrb-SUA Bsc In laboratory science and technology-must(mbeya) Nimesoma cbg naomba ushauri wakuu ni confirm kozi gani ambayo ipo na umuhimu sana kulingana na nchi yetu...
  3. L

    Bsc in labolatory science and technology (MUST) vs bsc in food science and technology

    Wakuu naomba msaada kati ya hizo kozi mbili ipi ni kozi bora na yenye umuhimu sana kwenye maendeleo ya viwanda na aina za career mtu anazoweza kuchagua akisoma kozi hizo
  4. L

    Mkopo heslb nje ya nchi

    Naomba kuuliza je unaweza kupata mkopo wa heslb kama umedahiliwa nje ya nchi mfano Kenya,south au Uganda au hata nje ya afrika
  5. L

    Bsc in chemistry na bsc in biotechnology and labolatory science

    IPI kati ya kozi hizo hapo juu inahitajika zaidi viwandani katika soko La sasa pia yenye wigo mpana kwenye other field katika ajira na kujiajiri Naomba kuwasilisha
  6. L

    Bsc in chemistry na bsc in biotechnology and labolatory science

    Wakuu naomba kuuliza kati ya kozi hizo hapo juu ipi inahitajika sana viwandani na Ina soko zaidi kwenye field tofauti Quote
  7. L

    bsc in chemistry na bsc in biotechnology and labolatory science

    Wakuu naomba kuuliza kati ya kozi hizo hapo juu ipi inahitajika sana viwandani na Ina soko zaidi kwenye field tofauti
  8. L

    CBG Kusomea udaktari nje ya nchi

    Wakuu naomba kuuliza je MTU aliyesoma cbg anaweza kupata scholarship kusomea udaktari nje ya nchi kuna rafiki yangu kamaliza six ana div I-9 chem-c, bio-c ,geo-c, anataka Ku apply vyuo vya nje kama Kuna uwezekano mnijuze na kama unavifahamu na vyuo vyenyew naomba mnitajie Naomba kuwasilisha
  9. L

    Gharama kujisajili PC form six

    Wapendwa naomba kuulizia gharama za kujisajili PC kidato cha sita ada za vituo na practical kwa masomo ya sayansi jumla inaweza kuwa kiasi gani naombeni mchanganuo na je unaweza kulipa kianzio kwanza kwenye kituo
  10. L

    Kujisali acsee private candidate(PC)

    Wapendwa naomba kuulizia gharama za kujisajili PC kidato cha sita ada za vituo na practical kwa masomo ya sayansi jumla inaweza kuwa kiasi gani naombeni mchanganuo na je inaweza kulipa kianzio kwanza
  11. L

    Hivi hili suala la mikopo diploma bado lipo?

    Muswada ulishapita bungeni je kuna anayefahamu chochote je ishasainiwa? au itaanza lini? Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata mikopo 11 months ago Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata mikopo Serikali imewasilisha pendekezo la mabadiliko ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili...
  12. L

    Natafuta ufadhili wa masomo

    Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni Nitashindwa kumudu gharama za masomo kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia au kama unajua taasisi yoyote inayotoa mikopo...
  13. L

    Post za JKT zinatoka lini

    Wakuu napenda kuuliza post za jkt Zinatoka lini kwa mwenye kufahamu Anijuze asante.
  14. L

    Naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana na familia yangu kuwa duni

    Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni Nitashindwa kumudu gharama za masomo kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia au kama unajua taasisi yoyote inayotoa mikopo...
  15. L

    Naomba msaada wenu

    Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru Mungu nilifaulu nilipata Div II ya points 21. Nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya Lugufu mkoani Kigoma lakini wazazi wangu walishindwa kunipeleka shule kutokana hali duni. Kwa sasa nipo nyumbani tu sijui cha...
  16. L

    Naomba msaada: Nimeshindwa kuendelea na kidato cha tano kwa kukosa ada

    Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi wangu walishindwa kunipeleka shule kutokana hali duni kwa sasa nipo nyumbani tu sijui cha kufanya...
  17. L

  18. L

  19. L

    Posho za JKT ni shillingi ngapi?

    Ndugu ningependa kufahamu kuhusu Miaka miwili ya jkt na hizo posho wanazopewa ni kiasi gani mwenye uelewa naomba anisaidie
Back
Top Bottom