Search results

  1. L

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Mkuu Mimi Nina div 2 ya 10 cbg Chem-C,geo-C,bio-D,Bam-s,g.s-E For agriculture general nakidhi maana nimechaguliwa aea nahisi itanisumbua coz cna msingi mzuri wa uchumi na pure
  2. L

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Ila wanaofanikiwa kuhama in wengi au no idadi ndogo sana
  3. L

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    N Na kozi nyingine ina kuaje mfano unatoka aea mazimbu kuhamia agriculture general main campus nayo inasumbua
  4. L

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    mkuu mbona tunasikia wengi tu wanahamiaga main camp hata kutoka vyuo vingine ugumu unaosema unatokea wapi Wakati ni chuo kimoja
  5. L

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Naomba msaada wako kudadavua zaidi kuhusu uzuri wa AEA
  6. L

    Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Kuajiriwa lakini b4 ajira niwe na chakufanya nisikae idle
  7. L

    Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Lengo kubwa ni kuajiriwa but nafahamu cio easy kipindi cha msoto kitakuwepo ndo maana am looking for multporposes course ambayo ntaweza kujiajiri huku nasikilizia steping stone
  8. L

    Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Agribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomy
  9. L

    Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Wakuu habari ninaomba ushauri nimemaliza form six Nina div 2 ya 10 cbg nimepangiwa bsc in agribusiness ninataka nikabadilishe hio kozi nikasome Agriculture general au agronomy naomba ushauri wenu juu ya maamuz haya mkizingatia sina background na economic hata ya olevel also marketing ranks ya...
  10. L

    Nimechaguliw multiple selection

    Lab hii ni ile ya viwandan na nimefatilia must ndo wanaitoa kwa Mara ya kwanza degree yake
  11. L

    Nimechaguliw multiple selection

    Hil lab sio ya afya ni technical lab
  12. L

    Nimechaguliw multiple selection

    Sawa brother kwann umeipa kipaumbele hii
  13. L

    Nimechaguliw multiple selection

    Wakuu habari zenu namshukuru mungu kwa afya na uzima ninaomba ushauri nimechaguliwa chuo Bsc agriculture economics and agrb-SUA Bsc In laboratory science and technology-must(mbeya) Nimesoma cbg naomba ushauri wakuu ni confirm kozi gani ambayo ipo na umuhimu sana kulingana na nchi yetu...
  14. L

    Bsc in labolatory science and technology (MUST) vs bsc in food science and technology

    Wakuu naomba msaada kati ya hizo kozi mbili ipi ni kozi bora na yenye umuhimu sana kwenye maendeleo ya viwanda na aina za career mtu anazoweza kuchagua akisoma kozi hizo
  15. L

    Mkopo heslb nje ya nchi

    Bro kwamfano keyatta university unaenda kuchukua kozi ambayo bongo haipo unaweza kupata mkopo
  16. L

    Mkopo heslb nje ya nchi

    Naomba kuuliza je unaweza kupata mkopo wa heslb kama umedahiliwa nje ya nchi mfano Kenya,south au Uganda au hata nje ya afrika
Back
Top Bottom