Search results

  1. K

    Kipi Bora kukaa kwa kaka aliyeoa au Kukaa kwa dada aliyeolewa, wakati unajichanga maisha?

    Habari za Leo Wanajf, Katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako...
  2. K

    Zamani aliona madaftari mzigo, sasa anaona zege jepesi

    Habari wana-JF kwa ujumla, elimu ndio kila kitu kwa ustawi wa nchi na kwa maendeleo ya mtu binafsi, kuna kijana mmoja la chuga alikuwa akilazimishwa na wazazi wake asome. Yeye kwa akili ya ujinga akaona kama vile wanamuonea. Sasa amekuwa mtu wa kujitegemea, wazazi wamekuwa wazee, shule alifeli...
  3. K

    Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

    Habari wana JF, Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
  4. K

    Mliojenga shikeni Maua yenu!

    Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na...
  5. K

    Shemeji zangu Wagogo wako vizuri kwa Jiografia!

    Habari wanajf,Nipo hapa Dodoma ingawa mwenyewe ni mwenyeji wa Mbeya.Nimeishi hapa Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi(10)na kubahatika kuoa mgogo,nimegundua kwamba wapo vizuri kwa jografia!Ukiwa mgeni hapa na unaulizia mahali pa kwenda wao hawana kuelekeza pita kushoto au kulia ,au mbele wao husema...
  6. K

    Migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na Madiwani na Wenyeviti wa mitaa

    Ni usiku mwema kwa wote wana jf, Nimeona ni jambo jema na la kufanyiwa kazi hasa kwa Wizara ya ardhi. Ili kuepusha migogoro na malumbano yasio na tija kwa eneo husika hasa wananchi kwenye swala la ardhi ni vyema hawa viongozi wetu tajwa hapo juu wachaguliwe kulingana na tabia nzuri zisizo na...
  7. K

    Kumbe 'CV`zilianza zamani!

    1Samwel 17.Daudi akamwambia Sauli,Asizimie moyo mtu yoyote kwa ajili ya huyu(Goliathi),`Mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana na mfilisti huyu.Sauli akamwambia Daudi, Huwezi wewe kumwendea mfilisti huyu upigane naye,Maana wewe u kijana tu,Nahuyu ni mtu wa vita tangu ujana wake(cv).Daudi...
  8. K

    Hao Wanaowajibishwa ndio hao tuu?!

    Nimeona ziara mbalimbali za Viongozi wetu,Wakitumbuatumbua majibu!Kinachonishangaza!Miradi ya kila Wilaya,Mkoa viongozi wapo!Iweje wawajibishwe wachache?Hawa wengine hawaoni?Mpaka afike Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri mkuu nk?!
  9. K

    Mtu akikupokea kwake, jiongeze hama mapema

    Habari wana-JF, Kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba wala kiwanja. Sio ustaarabu huo!
  10. K

    Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

    Hongera Spika Tulia Akson kwa kukemea jambo hili, mtu anaingia Bungeni anaanza kuongea na simu ni ushamba, pumbavu kabisa, wasichaguliwe Tena.
  11. K

    Utaacha nini hata ukumbukwe?

    Maisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa. Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela...
  12. K

    Chawa, Machawa!

    Hamjambo wanaJF, Hili neno chawa au Machawa Huwa najiuliza maswali mengi bila majibu!Nikiwa Mtanzania Mwenye afya ya akili timamu huwa najiuliza sana, mtu anawezaje kujiita au kuitwa Chawa!Nikiwa mdogo mwaka 1985Nilikuwa na miaka kumi na Tano Nilibahatika kukaa na Babu na Bibi yangu huko...
  13. K

    Kijana yakubali Mazingira ulipo, pana fursa nyingi

    Mimi ni kijana wa zamani,kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)naelekea uzeeni. Enzi hizo kazi za kuajiriwa haikuwa shida sana kama ilivyo hivi Sasa! Pia wasomi hawakuwa wengi kama ilivyo hivi Sasa,kila nyakati Zina changamoto zake!Simu za mikononi zilikuwa hamna Wala mitandao ya...
  14. K

    Vijana wekezeni, fainali umri mkubwa!

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Mimi kwa Sasa nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53). Niliajiriwa kwenye kampuni moja wakati huo nikiwa na miaka Ishirini na sita (26). Tukiwa vijana na rafiki zangu tulifurahia sana maisha na kampuni yenyewe ilikuwa inalipa vizuri sana...
  15. K

    Haya maisha ya namba gani?!

    WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri...
  16. K

    Kuziba maskio yote mawili ghafla

    Habari wanajamii forum,Niende moja kwa moja kwenye mada,ninae mtoto wa kike alikuwa mzima anasikia vizuri kabisa!Sasa changamotoimekuja baada ya kwenda form five term ya pili2022Akiwa huko akawa hasikii ghafla!Aliporudi likizo tuakaenda kumfanya check-up wamesema Hana tatizo lolote!
  17. K

    Wanatumia mkono wa kushoto/mguu wa kushoto tukutane hapa

    Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa...
  18. K

    Jifunze kwa mpangaji wa nyumba yako na sio kumfanyia visa

    Nipo jirani na mwenye nyumba ambae mpangaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida zake. Mwenye nyumba kaanza visa, mara vumbi linaleta mafua, mara unachafua nyumba na vumbi lako. Hii sio sawa.
  19. K

    Ukitamka umaanishe

    Habari wana Jamii Forums, Nilikulia na kulelewa na bibi yangu mzaa mama, hapo wengi watdhani ni mtoto wa nje! Nilikuwa mjukuu wa kwanza kwao, tena jembe! Alinufundisha mengi sana na ndio ninayaishi. Mfano mtu anakaribishwa kula anajifanya kashiba! Mwenye chakula anamuhimiza amege hata tonge...
  20. K

    Yaleyale ya C.D.A!

    Nikiwa nimeishi hapa mkoani Dodoma kwa muda wa miaka ishirini sasa(20),nilishuhudia usumbufu wa watu kufuatilia viwanja vyao na kupata hati.Nadhani kwa sasa inabidi mabadiliko makubwa sana!kwani Dodoma sasa ni jiji na makao makuu ya nchi.Kwa ufupi usumbufu bado upo palepale.Ni mwezi sasa...
Back
Top Bottom