Search results

  1. senator

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Kupangiwa kazi nyingine kwa mshahara upi anaoutaka yeye wa serikali hii ya JPM?!
  2. senator

    Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Ni huzuni na majonzi kwa Wana JF. Mungu aipumzishe mahala pema roho ya mpendwa wetu Titus. raha ya milele umpee ebwana na mwanga wa milele umuangazie.
  3. senator

    Kassim Kayira wa BBC ahamia Azam Media

    Labda tujiulize ni kitu gani hasa kimemkimbiza Kaira kule BBC?
  4. senator

    TAARIFA KWA UMMA; Motisha kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mtorosha MADINI Nje ya Nchi

    Waswahili wanasema...Jambo usilolijua litakusumbua.
  5. senator

    Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

    Naona Mgonjwa umeongea facts ambazo wadau wamekuwa wapole kupingana na taarifa yako. Basi Nimekubali BCM hausiki na umiliki wa hizo hotel.
  6. senator

    Urais Tanzania

    Mwakani(2015) kazi kweli kweli...Kila mtu akijipima anaona anaweza kutuburuza tu...
  7. senator

    Vituko vya abunuasi ni noma

    Abunuwas was the great...zipo nyingi sana hadithi zake na zilikuwa na mafunzo kweli... Kuna moja abunuwas nyumba yake iliungua moto,akifikiria atafanyaje na yale majivu ya nyumba yake akapata jibu,akayapakia magunia kibao ya majivu kwenye punda akafanya safari ya kwenda nchi ya mbali, kufika...
  8. senator

    Za mwizi arobaini

    Binafsi nina uchungu sana na aina yoyote ya wizi...ndio mana nchi nyingine adhabu zake zinakuwa kali...Kibongo bongo hawa bodaboda na hawa wanaoendesha hizi boxer 150..ni balaa, pindi akidakwa mmoja wao nitakuwa tayari kutoa ushirikiano wakudemostrate jinsi ya kutoa kipondo kwa kibaka. Wamekuwa...
  9. senator

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    JF na isonge mbeleee.Tuko pamoja sanaaa
  10. senator

    Obama Live at The State House of Tanzania

    Watu wanaenda kula, kamera ya nn teacher?! Chamsingi ni hzo hotuba mbili za waheshimiwa na tumezisikia imetosha! Wacha waendelea kugonga msosi wao! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. senator

    daaaaaah hii ni kali kuliko na huyu kocha ni balaaa.....!!!

    Hahahahahahaha loh! Ama hakika hii kweli ipo sehemu yake huku luh!
  12. senator

    Upi ujinga kati ya haya

    Hahaha tehe tehe duh inaonekana imeshakutokea mama wawili...vyema umetambua ingawa naona ni mazoea ya wengi
  13. senator

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Duh peoples power wanatisha...
  14. senator

    mahakimu wanachukiwa

    Hahahahaha duh umefurahi kwa kweli!! Sasa baba mchungaji nae amekosana nn na hakimu!
  15. senator

    Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

    Tete tehe tehehe yaaani Ndoa huenda ikawepo ila mike lazima apate habari yake kuwa mke wa mtu ni sumu
  16. senator

    Umemsevu vipi mpenzi wako katika simu??

    ....Low battery....
Back
Top Bottom