Search results

  1. B

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Ndugu JF Senior Expert Member, yawezekana umelalamikiwa na hao unaowaita wafanyakazi wa NSSF kuhusiana na udini wa Dr Dau kama unavyodai. Na hii ni kwa sababu Mkurugenzi huyu hakimpiti kipindi cha SWALA hata kama kuna wateja. Ikifika muda wa ibada anaacha ofisi kwa muda na kwenda kutekeleza...
  2. B

    Samaki wenye sumu ya mionzi ya nyuklia waingia Dar

    Kama mimi ningekuwa Amiri jeshi mkuu, au angalau PM, ningeamuru kontena hizo zipelekwe sehemu kubwa iliyo wazi zimwagiwe petrol na kupigwa kiberiti kama vile zile silaha haramu sinazokusanywa kule Kigoma kutoka kwa raia au wakimbizi zinavyofanywaga! Lakini #~&%$£"@##!!!
  3. B

    Pete katika ndoa

    Sasa kama hivyo ndivyo, yule aliyekatika kidole hicho au vyote atakuwa na nafasi gani ya kujieleza kialama?
  4. B

    Mwanamke aolewa na wanaume wawili

    Hili sasa ni balaa. I can say that here, there are two tings involved. It's either these men have been bewitched by the mama or the mama is more qualified in satisfying the two men on the 'mat'. If the two men are bewitched it's okay but if the woman is more qualified in certain games on the...
  5. B

    Kupayuka wakati wa kuongea na cell fone

    Nakerwa na tabia ya watu fulani kuongea kwa sauti kubwa kwa simu ya mkononi kiasi cha kudraw attention ya wengine, wakashindwa kuconcentrate namambo yao kipindi hicho wakimsikliza yeye. Nadhani hii si uungwana. Au vipi?
  6. B

    Alibakwa na babaake!!!!

    Hiyo ilikuwa ni sawa na ajali ya kuangukiwa na tofali la utosi. Usimlet down. Pick her up mwende pamoja
  7. B

    Mtoto wa kike anampenda baba yake hadi anamwonea wivu mama yake

    "Yawezekana huyo baba kuna vitu alivyowahi kuwa anampa au kumfanyia mambo fulani binti yake huyo vilivyokuwa vikikonga moyo wake mtoto wa kike huyo. Tena binti huyo kabaini kuwa vitu hivyo au mambo hayo yamekuwa yakitolewa kwa mama yake tangu yeye binti akiwa mdogo"
Back
Top Bottom