Search results

  1. Homeboy255

    HESLB: Batch One Out Now

    Inaandika hivi
  2. Homeboy255

    HESLB: Batch One Out Now

    Wewe Unaweza ku login?
  3. Homeboy255

    HESLB: Batch One Out Now

    Mimi inagoma ku login tatizo ni nini. Inaandika no active account found
  4. Homeboy255

    Maswali ya interview TAESA

    Nimeona mkuu ..
  5. Homeboy255

    Maswali ya interview TAESA

    Naomba kama ikiwezekana upige screenshot tuone hicho kipengele Cha aptitude test kwako umeandikiwaje !
  6. Homeboy255

    Maswali ya interview TAESA

    Nimefanya vyote mwezi wa 8 mwaka 2023 .. na Mimi Nina tabia haipiti siku bila kutembelea account ya taesa .. mwenzi wa 8 wote Kila siku naingia kwenye account. Pia nilivyomaliza interview niliulizwa una swali lolote la katuuliza nikauliza kinachofuata baada ya hapa ni kipi akasema nisubiri...
  7. Homeboy255

    Maswali ya interview TAESA

    Sawa mkuu ... Kama kuna Mwingine aliefanya aptitude test atuambie ...
  8. Homeboy255

    Maswali ya interview TAESA

    Nimefanya training na interview. Ila hiyo aptitude test bado.. aptitude test mbona kama vile bado haijaanza kutumika
  9. Homeboy255

    Maswali ya interview TAESA

    Umefanya lini aptitude test? Mimi sijawahi kupewa aptitude test wanaandika prepare for the test
  10. Homeboy255

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Sasa inakuaje huoni hiyo opportunity. Hakikisha page Ina load Hadi mwisho na mtandao uko vizuri
  11. Homeboy255

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Kawaida Inaanza training ndio ifuate interview. Angalia kwenye dashboard Yako kama training na interview kumewekewa tick
  12. Homeboy255

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Wadau naona Taesa wametoa fursa ya kazi ya ulinzi kama unahitaji kaombe chap kabla haija chukuliwa . Walinzi 20 wanahitajika
  13. Homeboy255

    Ni dhambi zipi ukizifanya (ukizoea kuzifanya) unakufa masikini?

    SimbaMpole123 acha kutumia maneno kama shit ,ujinga na emoji za kucheka . Kuwa neutral hapa ni uwanja wa mawazo ..
  14. Homeboy255

    Ni dhambi zipi ukizifanya (ukizoea kuzifanya) unakufa masikini?

    Mtoa mada kuwa specific .. kichwa Cha habari kinasema unataka kujua kama kuna dhambi ukizifanya utakufa maskini .. Ila ukienda kwenye maelezo unataka kujua dhambi ambazo ukizitenda bado utajibiwa maombi Yako na ambazo ukizitenda ni ngumu kujibiwa maombi Yako .. Haya umetoka hapo kwenye...
  15. Homeboy255

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Wadau mmepata internship?
  16. Homeboy255

    Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

    Napata huo ujumbe .Niki access recruiting portal ya TRA
  17. Homeboy255

    Nahitaji kujua vyuo vinavyotoa Online course

    Thanks kiongozi ... Je wanatoa vyeti ?
  18. Homeboy255

    Nahitaji kujua vyuo vinavyotoa Online course

    Ni vyuo vipi vinatoa hizo certificate ?
Back
Top Bottom