Search results

  1. S

    Tafsiri yangu ya Rosta azizi kujiuzulu

    Ndugu zangu, Habari kubwa imetufikia; Rostam Aziz kaachia ngazi CCM. Ni habari kubwa. Wengine wanasema, kuwa Rostam amejivua gamba. Kuna wanaodai, kuwa ni CCM ndio iliyojivua gamba. Ni misamiati tu, isikuumize kichwa. Nimesoma hotuba ya Rostam akiongea na ’ Wazee wa Igunga’. Imekuwa...
Back
Top Bottom