Search results

  1. N

    Nawezaje kumpa mtu link

    ["www.jamiiforums.com"]Fire[/url]
  2. N

    Nawezaje kumpa mtu link

    [www.************]bongo[/www.************]
  3. N

    Nawezaje kumpa mtu link

    =["www.tcu.ac.tz"]Fire
  4. N

    IDM Cracker For Life

    wadau naombeni msaada wa link ya ku download idm cracker, natanguliza shukrani
  5. N

    Sio hadithi za Shigongo hizi. It is true story guys

    that shows its not about sex that drove you to her, manake kama una mipango nae ya baadae bas when time comes ile ze dead mende na "ouh yeeah baby" zitakuja sana, yes, and a true gentleman must have his own stands, big up joh
  6. N

    msaada jinsi ya kuweka password ili mtu aiangalie salio lako la simu

    huyo nadhani kuna application alikua anatumia, kitu cha ukweli ni kaspersky, ambayo unaweza hata ku tress sim yako pale ikipotea na mtu akaenda ku change line, inakua inaku update kwa kukutumia msg kadri atakavyo zibadilisha line, so try kasper sky mkuu
  7. N

    cjaomba kaz kwao wananiita nkafanye kaz.

    we nenda tu, yawezekana mzee alisha talk nao sasa wanataka tu uka report, yaweza kua bahati yako hyo, usipuuzie, wasikilize ila uwe vere makini wasikuingize mjini
  8. N

    CRDB na undugu kwenye Ajira

    yawezekana hao jamaa interview yao ilishafanyika tokea wapo field kwenye hizo brunch mkuu, so haikua na sababu ya kuwarudisha manake huenda mwanzoni waliumiza sana kichwa namna ya kuwakatishia field yao, mtazamo tu eroo
  9. N

    K wa wakazi wa dar

    kule kuleeeee........ porisi wa kanda maarumu rorya,
  10. N

    Niko tayari kutumikia chadema Tanzania

    unataka kuitumikia chadema, fine, sasa unataka nini?????? uongozi? uanachama?? gwanda??????? au ndio una renew your political appearance to the society??????? Note: hapa JF huwezi pata hivyo vitu, hata kuwa kiongozi tu wa ulinzi katika mikkutano, labda ungeulizia ofisi za chama kwa mkoa au eneo...
  11. N

    Dada Nakaaya: Kweli siasa ni mchezo mchafu

    alivitaka viti maalum naona kapishana navyo,
  12. N

    Microsoft proffesional 2010

    shukrani wakuu, sasa niendelee kuchapa barua zangu za application bila matatizo
  13. N

    Microsoft proffesional 2010

    Wadau naombeni mwenye product key za microsoft proffesional 2010, anibandikie hapa ukutani plz...
  14. N

    Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

    watu wengine bana, mtu unaweka post na kuahidi kutoa updates, hatimaye unaishia mitini, au ndio kutaka kuzitafta 'Likes'?? wacheni bujinga ninyi, mshakua wazima sio? manake wengine sijui mnashtuka tu pale saa 05:45 kabla free internet ya airtel haijaisha nakushindwa kurejea kutoa up dates?? kama...
  15. N

    Mhe. Opulukwa ashinda kesi dhidi ya pingamizi alokuwa amewekewa

    isije ikawa ni janja yao manake wana tung'ata afu wanapuliza, yani magamba bana
  16. N

    Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    embu wadau mtupe sasa updates za hyo kesi ya bi haramulo..
  17. N

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    umemsahau na Ritz, japo malaria sugu siku hizi simuoni
Back
Top Bottom