Search results

  1. TODO

    Msaada wa Swali hili la Companies Law

    Mkuu asante kwa mawazo yako.nayafanyia kazi
  2. TODO

    Msaada wa Swali hili la Companies Law

    Hii ndo Shida ya ngozi nyeusi.kupata mawazo yako haimanishi ndo na chukua hayo hayo Bali nachuja na kuunganisha point kadhaa kisha na kupata wazo moja. Basi kwa Kuwa ww umeteseka kusoma basi unataka wote tupitie njia hyo hyo. Ngoja waje Wenzio wanipe nondo Baki na roho mbaya yako
  3. TODO

    Msaada wa Swali hili la Companies Law

    Sawa mkuu bt sio mbaya ukanipa mawazo yako na ww.
  4. TODO

    Msaada wa Swali hili la Companies Law

    Wanaforum tafadhali mwenye ujuzi na hii sheria anisaidie hili swali hapa chini.please. John and Steve formed a private company in the early January 2013. Unfortunately ‘John' was involved in a serious car accident and sustained serious injuries in the head. As a result of such injuries he...
  5. TODO

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Ndg yangu Huna kumbukumbu.mm nakumbuka mfano 2010 ni mgombea pekee wa ubunge aliyeweza kuacha kujipigia Kampeni na Kwenda kusaiidia wengine mfano musoma kwa Nyerere na sumbawanga. Kaka Fanya kwanza utafiti
  6. TODO

    Wana-CHADEMA na watanzania wangapi mnajua hili?

    So what!! Kushindwa kuwandle wasomi ni dalili mbaya kwa CDM.moja ya changamoto kubwa tuliyonayo Africa ni kutokuthamin nafas ya utaalamu kwenye maamz matokeo Yake wamewekwa pembeni. Nikidhani CDM imeliona hili na kuamua kuwatumia wasomi Kama akina kitila lkn kumbe na chenyewe kiko na mlengo ule...
  7. TODO

    Mfanyakazi Bandarini afariki ktk Mazingira tata, Uongozi WA juu TPA wahusishwa!

    Historia ya kipande sio nzuri.kumkabidhi Bandari mwakyembe aliingia choo cha kike.time will tel
  8. TODO

    Zitto: Taifa moja, nchi moja na serikali 3 zinawezekana tukiamua

    Mchawi wa CDM ni mbowe, mark my words.muda si mrefu mambo yote yatajulikana.zzk katolewa kafara tu ili mambo yaende kwa mbowe.uchaguz ndan ya chama ndo issue kubwa
  9. TODO

    Zitto: Taifa moja, nchi moja na serikali 3 zinawezekana tukiamua

    Hii ni Shida yako ww, hapa hakuna cha Ukawa.Jenga Hoja yako juu alichonukuu kwenye katiba ya sasa na rasim ya katiba.acha kushambulia watu. Kila mtu alete mawazo Yake tupAte katiba bora kabisa kma Jana alivosema sen wako Kuwa Kenya wanakatiba bora kabisa
  10. TODO

    Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

    Contradicting statement by slaa. mm labda niseme kwamba CDM imeniangusha maana inaonekana slaa kwa mbowe Hana saut maana kwa ninavo mjua maamzi ya kishenzi yanayofanyika asingekuwa anayafanya.
  11. TODO

    Zitto Kabwe na Januari Makamba, mnataka kumpotosha nani?

    Huo ni mtazamo wao jaman,na ww una mtazamo wako.mwisho wa siku ni makubaliano tu na hAtimaye wote tuwatanzania.kwa hyo msipende kusakama watu wakati huu ni muda wa Mjadara.lets us discus
  12. TODO

    Kumtahili mtoto mdogo wa kiume

    Ngoja tuwasubili wataalamu wa masuala haya, watusaidie?
  13. TODO

    Kumtahili mtoto mdogo wa kiume

    Heshima kwenu wakuu,Hivi ni muda muafaka unafaa kumtaili mtoto? Tafadhal
  14. TODO

    JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

    Hicho ulichokiona#jabulan
  15. TODO

    JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

    Mzee Mkinga kwa kweli amejaliwa, amesuuza roho yangu juu ya mtazamo wake kwenye masuala haya ya katiba.John mnyika ni kijana mahiri sana lakini wakati mwingine nguvu ya chama inamuendesha na hatimaye wakati mwingine anapotoka. Bravo Mkinga
  16. TODO

    SWALI: Ipi Club Bora kwa Tanzania 2013??

    It's obvious my friend!! Mbeya city
  17. TODO

    Kisa cha Rik Machar na Salva Kiir Sudan Kusini na kisa cha Zitto na CHADEMA

    watz tunashida! kwa nini hatuoni tatizo kwa mbowe na timu yake? Zzk mnamuonea sana maana mbowe yy ndo anang'ang'ania madaraka.Muda wa uchaguz umefika yy hatak kuitisha uchaguz na badala yake anapambana na nafsi yake akidhan mpinzani wake kwenye kiti hicho atakuwa zzk wakati hii ni demokrasia...
  18. TODO

    Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    Asante mkuu! Umeonyesha namna ulivo na mtazamo hasi! Watu wa kgm sio mambulula kma ss watu wa kaz kaskazini tunaopenda siasa za vurugu.wenzetu wametuonyesha siasa safi, bila ya vurugu na wala bila Askari.kitu mhimu Hapa ni kwamba siasa nzur ni mhimu tukakubali kutofautiana mawazo na hAtimaye...
  19. TODO

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    respect to him
  20. TODO

    Baada ya ziara ya Mbowe kanda ya ziwa, namtafuta Zitto nimtonye!

    Huo ndo ushahidi Kama mnao mnapaswa kuutoa na kumheld guilty na sio Yale mashitka 11 fake.mkuu was aide CDM wafanye maamzi! Ofherwise mm naona hii ni ngoma ya kisiasa tu na mafahari wawili wanapogombana basi Nyasi zinaumia.hata hivyo CDM jipangeni suala hili mnapaswa kulimaliza mapema na muanze...
Back
Top Bottom