Search results

  1. mdida

    Umewahi kumkomoa msichana wakati wa kufanya mapenzi?

    Ndio maana siku hizi nguvu za kiume ni tatizo kila kona, unamkomoaje mwanamke? Mwanamke hakomolewi ndio maana anaweza kuwa anaigiza kulia wewe unavimba kichwa kuwa unamwumiza kumbe anakudanganya.
  2. mdida

    Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

    Fata moyo wako mama life is too short, isitoshe kuna maada ikiletwa humu kuhusu mwanaume kumwacha mke utasikia tu ''achana nae tafuta mwingine'' ila ikija kwa mwanamke utaona ushauri mwingi wa kuvumilia. Tupa kule hata ukiishi mwenyewe haina shida mradi moyo wako una furaha.
  3. mdida

    Mchumba wangu ana mimba ya mwanaume mwingine

    Yaani mtoa mada kweli nimekuelewa kabisa, uchumba wa kwenye gari mara sijui kufanya kazi za ndani mara mimba duh hongera sana
  4. mdida

    Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

    Hata kama hujaolewa una uwezo wa kuwa busy na mambo yako ya kukuletea maendeleo na ukafanikiwa. Kinachowakosanisha watu ni ile kukariri kuwa kwa vile kaka ana mali ni halali yako wifi unakaa kiboya bila kujishughulisha ukitarajia kutimiziwa kila kitu na kaka yako ili hali na yeye ana majukumu...
  5. mdida

    Enzi hizo mwanamke ukimuambia tuachane analia sana ila siku hizi thubutu

    Hasa unamwambia tuachane ili iweje, kama bado unampenda usimjaribu.
  6. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Yupo shule anasoma darasa la saba na wanabanwa sana na masomo na anaishi boarding. Asante kwa ushauri nitafatilia.
  7. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Atapelekwa mkuu maana mtoto anauliza ni kwanini na anapata mawazo sana.
  8. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Thanks for your advice mkuu.
  9. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Nitafanyia kazi ushauri huu. Asante.
  10. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    mmmmh ASANTE KWA ushauri nitamwambia
  11. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Hospital bado hajampeleka ila yeye anadai alimpima mimba tu, na hakuwa na mimba. so akaone aulizie je hali kama hii huwa inatokea au ni nini?
  12. mdida

    Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Jirani yangu anaomba msaada kuhusu binti yake mwenye umri wa miaka 13. Anasema alivunja ungo October mwaka jana, akaendelea kama kawaida mpaka January 5 tena akaona siku kama kawaida. Baada ya hapo haoni tena mpaka sasa hivi napoandika hapa. Keshampima mimba hana na sasa hiyo hali...
  13. mdida

    Msaada tutani: Je mziki ni ndoa mpya?

    Napenda music lakini mweeh mpenzi wangu hataki kusikia kitu kama hicho. Nachofanya nafungilia music ndani nacheza weee mpaka natokwa jasho naoga nalala. Huwa nafanya kama mazoezi vile. Saa zingine inabidi tu ukabaliane anachotaka mwenzi wako kama hapendi unaacha.
  14. mdida

    Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

    Pole sana mkuu ndoa ni changamoto sana jitahidi kuyamaliza mkae kwa amani.
  15. mdida

    Ukipata watoto wenye afya shukuru Mungu

    Asante Mungu baba uliyejuu mbinguni mwenye mamlaka juu yetu wanadamu. Nakushukuru kwa kunipa watoto wenye afya njema na akili, msaidie huyu mama kwa imani yake ili watoto wake wapone baba. Amen
Back
Top Bottom