Search results

  1. B

    Naacha rasmi kusaidia wenye uhitaji

    Wasaidie na usitarajie kitu kutoka kwao. Utakuwa na raha hata kama hawajakushukuru.
  2. B

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Na sisi waumini tujifunze kumtafuta Mungu binafsi nikimaanisha kusoma neno na kufanya maombi wewe mwenyewe. Mungu hana upendeleo, ukimtafuta kwa bidii utamuona. Kwenye ibada twende lakini macho na masikio yetu yawe wazi kupima yale tunayosikia. Tumeruhusiwa kuzijaribu roho kama zimetoka kwa...
  3. B

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Za mchana wadau. Nimependa subaru forester sijajua ipi nzuri katika ubora wa injini. Pia tofauti ya ubora kati ya yenye turbo na isiyokuwa nayo. naombeni msaada
  4. B

    Unamsomesha mpenzi wako ili aje awe mke anakupiga chini akifanikiwa.

    Pole sana. Mapenzi hayalazimishwi, kama amesema hakutaki huna haja ya kulazimisha wewe songa mbele hata kama unaumia, baada ya muda utapona jeraha lako. Jambo hilo liwe darasa kwako ujifunze kutorudia kosa hili wakati mwingine. Kama unataka msomi mtafute akiwa ameshasoma, mara nyingi tabia za...
  5. B

    kujiajiri

    Hallow great thinkers. natamani kuanza biashara ya kilimo cha matunda na ufugaji wa kuku chotara. naomba yeyote mwenye relevant information juu ya hili aniitaarifu kupitia beatricezuberi@yahoo.com. asanteni.
  6. B

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hallow great thinkers. Napenda kufanya biashara ya ufugaji wa kuku chotara, naomba kama kuna mdau ana taarifa sahihi juu ya hili. thank you
  7. B

    Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

    Utatumika mpaka basi na usiolewe, wengi tumewaona waliishia kuwa frustrated. Ndoa ni suala la upendano wa wote wawili mambo ya mpini na makali yanaashiria mashinano jambo ambalo si zuri ktk ndoa.
  8. B

    Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

    Habari zenu. Nimekumbwa na utata juu ya suala hili, siku hizi wakaka wengi kabla ya ndoa wanataka wahudumiwe kama kwamba tayari wameoa. Tendo la ndoa, Kufua, Kupika, Usafi wiki end na hata katikati ya wiki na mambo mengine kama hayo. Je hiyo ni sawa kwa mila na desturi zetu? wengine wanafika...
Back
Top Bottom