Search results

  1. dafuzima

    Naomba mawasiliano ya kumpata Naibu Katibu Mkuu TAISEMI Charles Enock Msonde

    Habari za majukumu wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naombeni Kwa mtu mwenye MAWASILIANO, namba za simu au hata email ya kumpata Dkt. Msonde anisaidie nna shida personal ya kumweleleza, maana naona moyo wangu utapasuka, nsaidieni ndugu, kama unayo plse nitumie pm yangu nimtafte...
  2. dafuzima

    Usafiri kutoka Tanga hadi Mwanza

    Habari wadau, hivi karibuni natarajia kusafiri kwenda Mwanza kikazi nikitokea Tanga, je ni gari gani zuri, na je USAFIRI upo wa moja kwa moja Hadi MWANZA? au Kuna kuunga unga safari, nsaidieni mana sina uelewa wa njia hiyo ndo Kwa mara ya kwanza, nawakilisha,.
  3. dafuzima

    Startimes wameondoa 'free channels'

    Nimekaaaaa nikatafakari kwanini ving'amzi vya startimes wameamua kuondoa kimaksudi kabisa channel zote za ndani na kubakiza channel moja tu ya TBC1. Ukiwapigia wanakujibu wajuavyo tu bila kujua wanavunja Sheria imeniuma Sana, yaaaan ving'amuzi vyote Tanzania wanaonesha free channels ila wao...
  4. dafuzima

    kiasi cha mkopo

    habari wanajamvi,samahan nnataka kuchukua mkopo bank NMB ila take home yangu ni laki tano (500000)je naweza pata kiasi gani cha mkopo?na nkardisha kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingap? naomba anayejua anipe mwongozo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dafuzima

    KESI KUAHIRiSHWA NI SIKU NGAPI?

    habari wana janvi mimi nna ndugu yangu ana kesi inayomkabili,alipewa dhamana akapangiwa siku ya kesi kusikilizwa siku ilipofika wakamjib upelelez haujakamilika akard nyimbani, mara ya pili akapangiwa siki ya kurudi ila poa hakisikilizwa akajibiwa kuwa upelelez bado?na kila akienda wale...
Back
Top Bottom