Search results

  1. politicians

    Amesoma clinical medicine/Co anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar

    Habari wakuu! Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar. Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
  2. politicians

    SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  3. politicians

    SoC02 Wizara ya Maliasili na Utalii iliangalie hili katika kuchochea utalii wa ndani nchini

    Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
  4. politicians

    Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  5. politicians

    Je, una sherehe hivi karibuni? Harusi, send off, happy birthday n.k? Pitia huu uzi

    Habari wakuu!, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,je una sherehe hivi karibuni kama harusi,send off,happy birthday n.k, kama jibu ni ndio basi hii taarifa ni nzuri na muhimu sana kwako, tunafahamu kuwa linapofika swala la sherehe yoyote watu hupanga mahitaji muhimu kwa ajili ya...
  6. politicians

    Asili ya mwanamke wa kiafrika kwenye mahusinao imepotea siku hizi

    Habari wadau! Kiukweli na kiasilia mwanamke wa kiafrika ndio mwanamke wa kwanza (mzuri, mwenye upendo wa kweli na vigezo vya mke mwema)kuliko race yoyote Duniani,wazungu walilijua hili mapema na wakawaonea wivu mababu zetu zile raha za mahaba ,walizokuwa wanazipata kutoka kwa mabibi...
  7. politicians

    Msaada: Mwenye uzoefu kuagiza vitu kutoka Alibaba

    Habari wadau!, Ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba. Ningependa kujua utaratibu ukoje. Hapa Bongo Mzigo unapofika kwenye upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo. Wenyewe ni wa matumizi binafsi ya Nyumbani na wenyewe natskiwa nilipie Kodi? Wazoefu Tafadhali...
  8. politicians

    Hapa lazima ukimbie

    Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo Kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache hayo mim mwenzako nimepitia...
  9. politicians

    Kweli kuishi na Mwanamke kunahitaji hekima

    TUISHI NAO KWA HEKIMA SANA NDIVYO VITABU VYA MUNGU VILIVYOTUAGIZA Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe! MUME: Amka twende jogging mke wangu? MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa? (Mnene) MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya yako mke wangu MKE: Kwa hiyo...
  10. politicians

    INAUZWA Tunauza masweta mazuri ya watoto na watu wazima

    Habari. Wadau! Tunauza masweta ya watoto na watu wazima kwa bei nafuu kuanzia Tsh.15000 mpaka 25000 inategemeana na saizi ya mteja wetu , tupo Daressalaam maeneo ya kinyerezi,mikoani tuna tuma pia tuwasiliane 0674021866 Asante na karibuni sana.
  11. politicians

    Mathematics lovers,wapenda hesabu vitabu vinauzwa

    Habari wadau,kwa wale wapenda hesabu tuna vitabu tunauza kwa bei rahisi Tsh.30000/=,vyote hivyo,tucheki 0687234549.
  12. politicians

    Anahitajika VIDEO EDITOR

    Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam.
  13. politicians

    Natafuta mafundi ujenzi

    Habari wadau! Natafuta mafundi ujenzi wa nyumba n.k,kama wewe ni fundi ujenzi naomba nitumie SMS kwenye namba hii 0687234549,halafu mimi mwenyewe nitakupigia baadae,Asante!
  14. politicians

    Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

    Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
  15. politicians

    Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
  16. politicians

    Ukweli kuhusu wanawake wanaolalamikia wanaume

    Habari wadau! Wanawake huwa wananifurahisha sana wanapotulalamikia wanaume kuwa hatuna mapenzi ya dhati. Ukweli ni kwamba "kila mwanaume ana mapenzi ya dhati kwa mwanamke anayempenda kweli", Je wanawake wanafeli wapi kumpata mwanaume mwenye upendo wa kweli? Ukweli muhimu ni huu hapa,"...
  17. politicians

    Jé wewe ni mfanyabiashara unaeuza kuku wanyama au mayai?na unahitaji kupata wateja wengi kwenye biashara yako?

    Habari! Jé wewe ni mfanyabiashara unaeuza kuku wanyama au mayai?na unahitaji kupata wateja wengi kwenye biashara yako?,kama jibu ni ndio, basi wasiliana na huyu mtaalamu wa masoko makubwa ya kuku wanyama na mayai na utimize malengo ya biashara yako,call/sms 0687234549.
  18. politicians

    Unahitaji Gari zuri na unataka kujifunza namna ya kutunza gari lako?

    Habari wadau Kama wewe unahitaji kununua gari au tayari unamiliki gari karibu ukutane na wamiliki wenzako magari mpeane changamoto za kutunza Magari!,tuna group letu la Telegram linaitwa MAGARI,karibu ujifunze zaidi au unaweza ukanicheki whatsapp 0762508455,karibuni sana.
  19. politicians

    Msaada: Ipi njia nzuri, uhakika na salama ya kumtumia mteja wa mkoani mzigo wake?

    Habari wakuu! Ningependa kufahamu ipi njia nzuri ya kumtumia mteja mzigo wake akiwa mkoani,ili uweze kumfikia salama na unaotengeneza Mazingira mazuri ya Uaminifu kati ya mfanyabiashara na Mteja? Msaada tafadhali wadhoefu wa biashara za kutuma mizigo mkoani!
  20. politicians

    Uvumilivu unaelekea kunishinda!

    Helloh jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana nina Girlfriend wangu ninampenda Sana,ila changamoto niliyinayo kwa Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya nchi, Kipindi anaondoka tulipeana ahadi kuwa atakapomaliza masoma tuje Tufanye mpango wa kufunga ndoa...
Back
Top Bottom