Search results

  1. MTU MREFU

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Dr.kwema...samahani naomba unisaidie nna kuku wa kienyeji nawafuga nusu huria wamevamiwa na ugonjwa wa ndui na nna vifaranga havijafikisha mwezi...unanishauri nini cha kufanya?
  2. MTU MREFU

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Kweli movies huwa zina mengi behind the scene,,,naikumbuka sana series moja ilipigwa stop inaitwa the Events mtaelewa
  3. MTU MREFU

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Huyu jamaa alinifanya hili jukwaa nisilielewe kwa mda,,,, asante kwa kufunguliwa The bold
  4. MTU MREFU

    Edward Snowden: Jasusi wa Kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

    Huyu The Bold sio mtu wa mchezo mchezo,,,,,,unaweza kujihisi kichwa chako ni Kopo la chooni,,,,,upo njema mkuu
  5. MTU MREFU

    'Shetani' Mtanashati na Amri Kuu 10

    SALUTE...Bold
  6. MTU MREFU

    Msaada laptop imegoma kuunga net

    Toka juzi laptop inanisumbua kuunga net kwa modem....maelezo inayonipa"A connection to the remote computer could not be established,so the port used for this connection was closed"msaada kutatua tatizo hili
  7. MTU MREFU

    i pod

    unaweza nisaidia kunielekeza how to use i tunes nnayo hapa
  8. MTU MREFU

    i pod

    Kwa wataalam wa i pod,ukitaka ku toa wimbo kuhamisha kwenye laptop kutoka kwenye i pod unafanyaje? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  9. MTU MREFU

    Uzi wa maswali kwa Rais wa TFF, Bw. Jamal Malinzi

    Mimi ningependa kujua katika kanuni,sheria na taratibu zenu za kiutendaji!!neno BUSARA ni sahihi kutumika katika ukiukwaji wa sheria??maana katika miaka michache iliyopita,tumesikia neno hlo likitumika mara nyingi katika kupindisha sheria na kanuni zenu mlizojiwekea Sent from my BlackBerry 9700...
  10. MTU MREFU

    Mbwana Samatta Man of the Match achemka kutema Ung'eng'e

    Daaaah,kwahiyo kujua ki ingereza ndo nini!!mbona ni vitu viwili tofauti sana kwenye kipaji,nakumbuka mwaka jana au juzi Nadir Haroub nae alihojiwa na hao hao Super Sport,watu wakamponda sana alichoongea,na hata Ulaya wapo Professional wengi tuu hawaijui hyo lugha na hawana mpango nayo tena wapo...
  11. MTU MREFU

    Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

    Asanteni sana kwenu,ntarudisha matokeo siku si nyingi Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  12. MTU MREFU

    Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

    Natumia Window 7 professional Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  13. MTU MREFU

    Jinsi ya kuondoa ujumbe wa "copy of window is not genuine" kwenye microsoft windows

    Naomba msaada wa kutatua hli tatizo,Window is not genuine Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  14. MTU MREFU

    Nahitaji hizi MOVIE wakuu, msaada please...

    Hamna nyingine za aina hii mtupie hapa?hz nshaziona kasoro hyo wish master ntaitafuta ni download Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  15. MTU MREFU

    Mwenye utaalam na nii kitu plz

    Kuna data nilimwachia mtu PC akazi delete,kuna uwezekano wa kuzirudisha!!!!!naomba msaada kama upo
  16. MTU MREFU

    Msaada

    Kuna game ya pool table nlikua nayo kwenye Pc imefutika na nimeisahau jina,kwa anae ifahamu anisaidie,ni kama pool table ya mitaan sheria zake na ina opt ya ku play wawili,nahitaji kui download
  17. MTU MREFU

    modem

    Naomba msaada wa ku chakachua MODEM model;E153u-2
  18. MTU MREFU

    Msaada Moderm

    cjajaribu kwingine,ila moderm znakufa kwan kwa kutumiwa kwa mda mrefu eg siku nzima
  19. MTU MREFU

    Msaada Moderm

    ntazipataje,maana haisomi kitu ndugu yangu
Back
Top Bottom