Search results

  1. stritglow

    Unazungumziaje kuhusu swala la kutoa mimba(abortion), je unadhani ni sawa au si sawa?

    Mada ni self explanatory. Just tryna get a discussion going on this issue. Maoni yako ni nini kuhusu mtu kutoa mimba, iwe kwa sababu moja au nyingine. Unakichukuliaje kitendo hicho?
  2. stritglow

    Kama ungeweza kujipa ushauri kuhusu mahusiano, wakati ule kabla hujayaanza/huna experience, ungejipa ushauri gani?

    Wengi mpaka sasa mtakuwa mmepitia mahusiano mbalimbali na angalau mna ka-experience kakutosha ukilinganisha na ulivokuwa unaanza. So kama ungeweza kurudi nyuma na kujipa ushauri kuhusu mahusiano kipindi hujayaanza ungejipa ushauri gani?
  3. stritglow

    Tabia utakazokutana nazo JF.

    Watu wengi wanapojiunga JF, wana this impression kuwa its all sunshine and roses. Kila mtu yuko friendly na hoja inajibiwa kwa hoja. Pretty soon they find out that is not the case. 1. Chameleon Kila kitu chake ni full of contradiction. Mfano: Mara atasema ameishia la nne, halafu kwenye post...
  4. stritglow

    Somo gani lilikuwa mteremko kwako shuleni, halikusumbui hata kidogo.

    Most of us hapa tumepitia some form of formal education. So kama mada inavyosema somo gani lilikuwa rahisi kwako shuleni, iwe primary, secondary au chuo...
  5. stritglow

    Aina 11 ya JF members, wewe uko wapi?

    1. Multiple IDs Hawa ni wazee wa id zaidi ya moja, kutokana na sababu moja au nyingine. Lakini most ni just for fun. Sema utawagundua kwa miandiko yao, so ni very easy to spot second id ya mtu. 2.Multiple personalities. Hawa wanaundugu na watu wa multiple ids ila wame-advance kidogo, tofauti ni...
  6. stritglow

    Ni upuuzi au mbwembwe gani ulifanya wakati unamfukuzia/seduce/tongoza/court mwanamke

    Kama ambavyo kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na upuuzi/ mbwembwe nyingi mfano, kujidai wanapiga story kwenye vijiwe kadhaa, kupiga push up majukwaani, kula kwa mamantilie, kununua vitu gengeni/sokoni n.k yote hii ilikupata kura za wananchi. Vivyo hivyo na wanaume wakati wanamfukuzia...
  7. stritglow

    Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

    The internet/social media is all about interaction. Na one thing it brought ni a false sense of belief kwa watu kuwa wanamjua/elewa mtu kutokana na vitu anavyoviandika au wanavo-interact nae. Kwahiyo usije ukajidanganya kuwa mtu fulani humu yuko hivi na hivi in real life kutokana na...
  8. stritglow

    Je mungu ni competent au incompetent?

    Tunaambiwa kwenye maandiko kuwa baya huzaa baya na jema huzaa jema. Na mungu, "ametuumba" wote kuwa ni watenda dhambi/sinners. Ambapo dhambi huwa ni jambo baya. Kwa hiyo mungu anaweza kuonekana na kuhesabiwa kuwa ni original sinner since the fruits of his labor (us) went bad or are born bad...
  9. stritglow

    Jinsi watu wanavyotongozana JF

    Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life. So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not...
  10. stritglow

    Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

    Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe. So kama mada inavosema ni jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi/crush wako, au yeye alikuwa akikuita...
  11. stritglow

    Tukumbushane: Ukweli kuhusu wanawake ambao kila mwanaume inabidi ajue

    1. Wako radhi wa-share mwanaume mwenye mafanikio kuliko kushikamana na a 'loser' ambae yuko faithful kwake 2. Many do not marry for love. 3. Yule mwanamke unaemuona ni 'innocent and a nice girl' mara nyingi ni often the horniest and unlikely innocent. 4. Wengi wanaangalia muonekano, kazi yako...
  12. stritglow

    Ni kiasi gani kikubwa cha fedha ulishawai mkopa mtu? Je alirudisha

    Haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani nk lazima kila mtu alishawaiombwa hela na mmoja kati ya hao watu.Hilo ni jambo la kawaida. Kuna mwingine anaweza kukuomba umkopeshe kiasi kidogo, ambacho unaweza hata hujifikirii mara mbili kumpa, ila kuna mwingine anaweza kukujia na request ya kukuomba hela...
  13. stritglow

    Kitu gani ulishawai poteza au ibiwa ambacho kwako kilikuwa na thamani kubwa...

    Kupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar. Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani kubwa, thamani sio lazima iwe ya kifedha, inaweza tu hicho kitu meant a lot to you in one way or another...
  14. stritglow

    Mliowahi kuwa au mliopo kwenye mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu, nini siri ya mafanikio yenu

    Kudumu kwenye mahusiano ni jambo la heri, ingawa sometimes watu inawabidi kuachana na wapenzi wao iwe kwa sababu moja au nyingine. So kwa wale ambao waliodumu au walishawai kuwa kwenye mahusiano muda mrefu (kuanzia mwaka na kuendelea), ni vitu gani vilifanikisha hilo...
  15. stritglow

    Ni uongo gani ulimdanganya au ulidanganywa na mpenzi wako, ukashindwa kuushtukia kabisa mpaka baadae sana...

    Kwenye mapenzi kuna uongo mwingi, uongo mwingine ni simple na harmless. Ila kuna uongo mwingine mtu anakudanganya mpaka kuja kushtuka unakuta kushakucha. So ni uongo gani ulishawaidanganywa au mdanganya mpenzi wako, ambapo ilimchukua muda sana kugundua
  16. stritglow

    Kumuomba kum-kiss mwanamke ni uzwazwa...

    You vibing with a certain girl, chilling, talking about god knows what. You feel like kissing her, halafu unaona the best course of action ni kumuomba. Like nigga is you stupid. Huko ni kukosa confident. Na uoga wa rejection. Just go for it. Ukisubiri subiri for the right "sign" au "moment"...
  17. stritglow

    Ladies, kuna mtu ana ujumbe wenu...

    Just for laughs...
  18. stritglow

    Kuna watu ni wanabugia bia, hawanywi...

    This guy is a keg master...
  19. stritglow

    Hizi simu zinaficha mambo mengi

    Jamaa kalazwa hospital lakini baada ya girlfriend kuchukua simu na kuondoka nayo, ghafla nguvu zikamjia
  20. stritglow

    Pale cameraman anaposahau kufanya kazi aliyotumwa...

    Sometimes the distraction is so good, you can't help yourself
Back
Top Bottom