Search results

  1. N

    Mkopo unahitajika

    Habari zenu wakuu, Naomba kwa mwenye kuweza kunisaidia mkopo wa sh. 1.5M Nina tatizo kubwa nahitaji litatua...Mimi ni muajiriwa kwenye NGO naomba nitakua nalipa kila mwezi 10% tafadhali sana... Sina dhamana yoyote.
  2. N

    Helsb Huwa wanafungua dirisha la maombi ya mkopo elimu ya juu baada ya kufungua kwa awamu ya kwanza?

    Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha hadi leo na tuna siku kama moja au mbili tu zilizobaki..
  3. N

    Naomba ushauri juu ya biashara ya cookies/ biskuti homemade

    Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah. Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba wenye uzoefu katika hili wanipe abc 1. Vifaa gani muhimu vya kuanzia 2. Malighafi na bei zake 3...
  4. N

    Biashara ya uji

    Habari za majukumu wanajamvi, matumaini yangu mnachukua taadhari dhidi ya janga hili la Corona. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni binti miaka 25 nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa sijabahatika kupata ajira rasmi ila nnajishughulisha na shughuli za hapa na pale mradi mkono uende...
  5. N

    Simbanking crdb

    Habar wapendwa naomba kuuliza ni jinsi gan naweza kusajili line yangu ya tigo niwe naitumia kwa simbanking crdb. Na ni muda gan inachukua mpaka kuanza kufanya kazi?
  6. N

    Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

    Habari zenu wana jamvi. Mm ni muajiriwa mpya katika shirika flani nina kama miez sita tu hivi pale, katika shirika kuna kijana toka siku ya kwanza ya interview alinipokea vizur sana na alioneaha kua na interest na mm. Mwanzoni nilihisi ni mtu mchangamfu tu wala hana nia zozote za kimahusiano na...
  7. N

    Mikopo ya serikali

    Habarini za asubuhi wana jf..naomba niende moja kwa moja kwenye mada jaman naomba kujua kwa yeyote mwenye uelewa kamili juu ya masharti na upatikanaji wa mikopo inayotolewa na halmashauri mbalimbali za serikali, kwa maana ya vigezo vya kupatiwa mkopo, kiasi cha chini na kile cha juu kabisa, kama...
  8. N

    Mapenzi ya kitoto bwana..

    Habarini za jioni wana jamvi Story ipo hivi... Ni binti wa miaka 20+ amesoma kamaliza shahada ...hakuwahi kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi kabla kwa kuhofia mambo mengi ikiwemo kuyumba kimasomo. Baada ya kumaliza tu akiwa nyumbani kwao kuna kijana walikua wanafahamiana kipindi cha nyuma...
  9. N

    Swali/ushauri

    Nataka kuanza biashara
  10. N

    Treat others the way you want to be treated

    There is no point of treating others the way you were treated before with one of the crackheads you got your self into...just to heal your broken self...trust me it doesn't bring much of what you thought it would ..rather it will keep you as broken than you were ..... Just airing my mind...
Back
Top Bottom