Search results

  1. SIMBA mtoto

    Taarifa kwa umma

    TAARIFA KWA UMMA KUKOSEKANA HUDUMAYA MAJI KWA SIKU MBILI JIJINI DAR Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48 kwa siku za Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 23 na 24...
  2. SIMBA mtoto

    Tamko la Benki kuu ya Tanzania

    The Bank of Tanzania (BOT) governor, Benno Ndulu. Tamko hili lilitolewa na waziri wa fedha Ms Zakia Meghji katika kikao cha budget mwaka 2007. Leo hii imepita miaka 7 tangu serikali itoe tamko hili la kisiasa, mamlaka inayositahili kufuatilia wamejifungia kwenye ofisi zao za Mirambo bila...
  3. SIMBA mtoto

    A jobless man applied for the position of 'office boy' at Microsoft

    A jobless man applied for the position of 'office boy' at Microsoft. The HR manager interviewed him, then gave him a test: clean the floor. The man passed the test with flying colors. "You are hired," HR manager informed the applicant, "give me your e-mail address, and I'll send you the...
  4. SIMBA mtoto

    Mbunge Assumpter N. Mshama

    ASSUMPTER NSHUNJU MSHAMA Member of Parliament CV Huyu mama nilimsikiliza jana nikashindwa kuelewa alikuwa anasema kitu gani. Imebidi niingie kwenye wavuti wa bunge na nilichopata ni cv yake ambayo hajui hata alizaliwa lini! Office zake anasema zipo Kyaka, Dar es Salaam. Jamani Kyaka ipo...
  5. SIMBA mtoto

    Ban Ki-Moon sympathises with Tibaijuka

    United Nation Secretary-General Ban Ki-moon has expressed sympathy for the Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development Prof Anna Tibaijuka for being associated with the theft of billions of shillings from the Tegeta Escrow account. Speaking on Wednesday night outside...
  6. SIMBA mtoto

    AG Werema. Tanzania

    Lets rewind a bit. Take a walk down memory lane, shall we? Remember the TZSWISSSTASH scenario? Remember AG Werema was given the task to investigate the matter while we, the people, were told to wait. AND Wait we did. We waited and waited and waited for the results of the investigation...
  7. SIMBA mtoto

    TANESCO, Asante kwa ongezeko kubwa la bei ya umeme

    Ninapenda kushukuru uongozi wa shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) kwa kuongeza bei kubwa ya umeme kuanzia mwezi huu wa August 2014. Ni matumaini yangu kuwa makusanyo zaidi ya fedha yatawezesha watawala wetu kupata mahali pa kuchukulia fedha bila mizengwe. Hongereni sana. Downloads |...
  8. SIMBA mtoto

    Mwisho wa mwezi: Hotuba za Raisi ziko wapi?

    Zamani ilikuwa ni kawaida ya Raisi kila mwisho wa mwezi, kuzungumza na Watanzania kwa njia ya TV na radio, sasa ni miezi kadhaa imepita bila hotuba, je amekosa au hana tena hadithi za kuwasimulia wananchi wa Tanzania?
  9. SIMBA mtoto

    Safarini NGENDE

    Natarajia kusafiri kwenda Newala, kusudi la safari yangu ni kufika kijiji cha Ngende kutafuta bahati ya kimaisha. Taarifa za awali nilizozipata ni za kutisha sana, na hatari yake ni kubwa sana hadi ufike kwenye hicho kijiji. Taarifa zinasema jaribio la kwanza ni muda utakaotumia hadi ufike...
  10. SIMBA mtoto

    Ashden 2013 Awards: Call for Applications

    Ashden, the sustainable energy organization, is calling for applications for the 2013 Ashden Awards. They are looking for initiatives that are improving and increasing access of renewable energy to the poor, transforming lives and reducing carbon emissions in developing countries...
  11. SIMBA mtoto

    TANESCO: na mgomo wa kuzima umeme

    Baada ya wafanyakazi wa Tanesco kuanza kununua umeme kwa bei ya soko, wameanza mgomo usiokwisha. Wanachofanya ni kuzima umeme kwa kisingizio cha kufanya marekebisho, wanatuma mafundi maeneo mbalimbali, kama ni kukata miti wanakata miti michache kisha hutoweka eneo hilo, kama ni kurekebisha waya...
  12. SIMBA mtoto

    Tractor linatakiwa

    Natafuta tractor la kulima shamba la ukubwa wa ekari 25, shamba lipo wilaya ya Kisarawe, kupitia njia ya Chanika. Tafadhali kama unalo au unajua mtu mwenye biashara hiyo naomba mawasiliano nao.
  13. SIMBA mtoto

    Muhimbili hospital

    Wana JF mlioko maeneo ya hospitali ya taifa ya Muhimbili, nimesikia tangu jana, Mawaziri, Rais wastaafu, Spika, wabunge, wakuu wa mikoa wamekuwa wakiingia na kutoka kwa misafara hospitalini hapo jambo ambalo siyo la kawaida, je kuna tukio gani ndani ya hospitali?
  14. SIMBA mtoto

    SIMBA mtoto

    Salaam, Nashukuru uongozi wa jamiiforums kwa kunikubalia kuwa mwanachama. Nawahakikishia ushirikiano mzuri wa mawazo kwenye mijadala yote inayowekwa humu Asanteni sana, SIMBA mtoto.
Back
Top Bottom