Search results

  1. E

    Geotechnical technician

    DSM, offices ziko Mbezi beach, karibu na kituo cha Goig
  2. E

    Geotechnical technician

    Nahitaji geotech technician ambaye ameisha fanya kazi za maabara na site. Woman are given high priority. Contact: Eng. David via whatsapp through 0752626218 please dont call.
  3. E

    Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Waweke tu hadi buku kwa unit ili tuendelee na mengine
  4. E

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    So that's it... Evaluate yourself on this, where area you and so called "friends" are ?
  5. E

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Ni asubuhi moja, huku kukiwa na manyunyu ukiwa unatoa morning speech katika shule ya mazengo "kwa sasa chuo st.john" ukiwa kama hp. Speech ilijaa uzalendo sio tu na shule bali taifa kwa ujumla, nikiwa kama kijana wa kidato cha pili haikuwa rahisi kuelewa maneno kama patriotism, desire...
  6. E

    Big results now

    Gharama za maisha zinazidi kupanda kila kukicha huku tukisadikishwa kwamba uchumi unapanda pia kwa 7%. Ndugu zangu watanzania ni muda sasa wa kufanya maamuzi magumu hasa katika matumizi ya kila siku. Leo najikita katika masiliano na hasa kipindi hiki cha sikukuu. TIGO kwa 595/= unapata sms...
  7. E

    Jinsi ya kupunguza foleni kimara ubungo

    UPDATES! Serikali kupitia wizara husika ilitakiwa kutengeneza barabara za pembeni "service road" kabla ya maradi. Mradi huo unaogharimiwa na Benki ya Dunia kwa kiasi cha Sh. bilioni 240.879 ikiwa ni pamoja na fidia kwa mali za wananchi zitakazovunjwa katika kutekeleza mradi huo unajengwa na...
  8. E

    Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

    sorry basi nitamchukua mm kw niaba yako
  9. E

    Wanasiasa mnaojiona maarufu kushinda vyama vyenu someni mfano huu...

    one of the stupidest comment ever made in the entire year of 2013
  10. E

    Wanasiasa mnaojiona maarufu kushinda vyama vyenu someni mfano huu...

    i beg to differ, i hope you went on the same schools as me where books like kusadikika and mfalme juha were taught. Both writers uses figurative language thats include the guy with donkey example. don't jst comment read, understand, think, reason and later comment...we will get that far but...
  11. E

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    MAADA NZURI, Ila tubadilishe mtizamo badala ya kutuonyesha tuliyo yaona basi tupe mbinu mbadala mfano ww umejiajiri na nini, ulianzaje, fursa ziko wapi zaidi?
  12. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    Noted to be continued...
  13. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    Naheshimu mawazo yako ila haujazingatia sera za kila chama, kwa katiba ya sasa labda waweke kipengele cha raisi akiwa chama tawala basi waziri mkuu awe chama cha pili kwa wingi wa kura.
  14. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    Ni kweli usiopingika ila jambo la msingi la kujiuliza kipi bora tukampa mtu ambae na weledi na taaluma ya kazi anayo isimamia au mwenye kipaji cha uongozi. Kumwajibisha mtu mwenye taaluma yake ni rahisi kuliko asiyenayo....ndiko hasa mlengo wa hoja yangu ulipo kuwa
  15. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    Kaka kwa kuamini change ni mimin na wewe nilitaraji mapendekezo zaidi
  16. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    kweli tutafika na hii kwa hiyo tutajie rahisi ajae?
  17. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    Boss soma nyakati kwani muhongo ametokea jimbo gani?
  18. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...hasa nafasi zilizo wazi kwenye mapendekezo haya: 1. OFISI YA RAIS Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Ndugu George Mkuchika Waziri wa...
  19. E

    CHADEMA are u serious...

    Sihitaji kuwa usalama wa taifa wala mwanasiasa mashuhuri kujua Kitakachotokea baada ya mkutano na raisi wenu, wenu ndio kwani raisi wetu ni yule anayejua matatizo yetu, yeye na nukuu (Mwenyewe sijui kwaninin wananchi wangu masikini). Kweli Mnyika hawakuliona hili, kila kikao kina minutes zake...
  20. E

    Chadema next move....should be educating people via Tv

    km mtanzania wa kawaida ambaye nilipata fursa ya elimu nina uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na hasa vikwazo vilivyo mbele yangu, CHADEMA km chama kw ufahamu wangu mdogo ina uwezo mara dufu lakini ktk hili nina mashaka sana mi ningekuwa chama ningefanya hivi: Mikutano ikizuiliwa...
Back
Top Bottom