Search results

  1. Amyner

    Msaada sheria ya Ardhi (kifungu husika)

    Habari wandugu, Naomba wanasheria mnisaidie kama kuna kifungu chochote katika sheria ya ardhi kinachosema mtu anapouziwa eneo ni lazima kati ya mashahidi wawe watu wanaopakana na muuzaji. Pia naomba kama kuna mtu ana contact ya mwanasheria mzoefu wa maswala ya migogoro ya ardhi ani pm...
  2. Amyner

    Hodi JF.. Feels good to be back

    Habari zenu wapendwa, Nili disappear kipindi kirefu lakini kama kawaida we always find our way back home... It feels good to be back here once again! Salam kwenu wote..
  3. Amyner

    Its officially OVER Erick!

    It hurts me to say this, but am thankful to Zinduna's Talk Show because imeniwezesha ku find out what kind of a TERRIBLE MAN you are Erick! Bishanga alinipa warning mara nyingi nikapuuzia. And now i have seen for myself. I cant share a man so am letting u go. Cantalisia naomba usimtetee...
  4. Amyner

    Picha za mpenzi (au wapenzi) wako wa zamani..

    Wana jF.. Naamini weekend inakwenda vizuri.. Kama tunavyofahamu fika binadamu tumeumbwa na wivu, hisia za kutojiamini nyakati zingine, wasiwasi wa mapenzi, hasa iwapo accidentaly au purposely ukakutana na picha za mpenzi wa zamani wa mwenzi ulienae hivi sasa.. Mi nina swali ningependa...
  5. Amyner

    Lets socialize. . . .

    How are you today? Siku yako yako imeanza vizuri? Au vibaya? Inakwendaje? Je kuna lililokufurahisha au kukukera leo hii? Kuna lipi ungependa ku share with us today...? Lets socialize. . . .
  6. Amyner

    JF Online Party is on!!

    Ladies and Gents!! After a stressful week furahi day is finally here.... Jf online party inaanza strictly from saa mbili, venue: Chit chat... hivyo njoo ukiwa umependeza, bring a date if u can.. Its all for fun!! sometimes inatubidi tutupe shida chini turushe mikono juuuuu.. Lets toast to the...
  7. Amyner

    Something about men!!

    Honestly, there's something amazing about men who dress presentable, smell magnificent, have a clean and well arranged apartment sio lazima iwe luxurious, just having an overall appealing outlook!! Wanaume mjipende jamani, It really does count so much on how we (ladies) perceive you.. First...
  8. Amyner

    Its your chance...

    Lets assume this thread is a white board for you to write and say anything that you wish to tell anyone, something you have never said to him/her before....it could be just anything, POSITIVE OR NEGATIVE but all for good... Speak it out with honesty and sincerety. Who knows maybe this is the...
  9. Amyner

    Mwana JF tuambie...

    Habari za jioni wapendwa.. Hapa nilipo nakusanya makabrasha yangu tayari kwa kutoka kwa ofic kurudi nyumbani. Je wewe wafanya nini muda huu?
  10. Amyner

    Share with us....

    Dear jf members, Have you ever had a date with a stranger (blind date)? that feeling of excitement, nervous and anxiety! lets share your experience.. How did it turn out? Was it what you expected or a big disapointment?
  11. Amyner

    Je, ni wangapi kati yetu?!

    Je, ni wangapi kati yetu tupo kwenye ajira tunazozipenda kwa dhati? Au ndio hivyo inabidi tu kwenda kazini, kufanya kazi ambazo pengine hauzipendi sana (unakuta unalalamika kila siku lakini bado upo) since its your only way to survive?!
  12. Amyner

    Why did you get married?

    Those in a marriage have you ever asked urselves "why did u get married??" share your answers with us..
  13. Amyner

    Dont listen...

    You just got a heart break? "DONT" listen to these songs: Goodbye- chris Brown I dont ever wanna c u again- uncle sam unbreak my heart- tony braxton. .............add ur list!
  14. Amyner

    Secretly in love with ur bestfriend..

    Have you ever been secretly in love with your bestfriend (of different gender?) How did it end? Personally, i just remembered my experience, miaka ya nyuma i had a very close male friend, he was my best friend (atleast by then) but his feelings changed as days went by and suddenly one day he...
  15. Amyner

    Swagga imepata mswagaji!

    Leo nilienda maeneo ya millenium towers, wakati naingia kuelekea crdb nikakutana na mkaka akiwa kwenye mishe zake..The way he was dressd up imenibidi niwashirikishe.. Alikuwa amesukia uzi wa pink, light green, yellow na rangi zingine sikumbuki. Ana hereni masikioni, cheni kadhaa, trouser...
  16. Amyner

    Je vaginismus inatibika?

    Wandugu naomba msaada wenu mnijulishe iwapo vaginismus inatibika? Kama ndio, kwa tiba ipi na inapatikana wapi hapa tanzania.
  17. Amyner

    What does it take to be a called celebrity?

    Hivi jamani naomba mnisaidie what does it take to be called a celebrity?
  18. Amyner

    Hi!!

    Mamboz!! Jamani am so new... Lukin 4ward 4 a warm welcum frm you ol!
Back
Top Bottom