Search results

  1. M

    Dawa/ jinsi ya kuangamiza mdudu aina ya konokono

    Wakuu, Ninaomba kujuzwa namna ya kumuondoa huyu mdudu aina ya KONOKONO kwenye mazingira ya nyumba yangu, hali ya hewa ya jiji la Arusha ni baridi na hata wakati wa kiangazi unaweza kuta mvua inanyesha kidogo muda wa alfajiri,sasa hali ya ubaridi inapotokea hawa wadudu huibuka kwa wingi na ni...
  2. M

    Till za M-Pesa zinahitajika

    Wakuu Till ya M-pesa inahitajika, mahali pa kufanyia hiyo biashara ni Arusha, kwa yeyeyote anaeweza kusaidia upatikanaji wake naomba kusaidiwa.
  3. M

    Mwenyekiti wa mtaa wa Olmatejo kwa tiketi ya CCM apiga mke wa mtu

    Usiku wa kuamkia leo mwenyekiti wa mtaa wa olmatejo A jijini Arusha, amempiga mke wa mpangaji wake kwa kosa la mumewe kuchelewesha kodi ya nyumba, bwana Shemweta amekuwa na tabia za kudhulumu na kunyanyasa wanawake kwa kipindi kirefu sana, huyu bwana amejaliwa uwezo wa kifedha jiji limempa...
  4. M

    Msaada kuhusu kudhulumiwa mirathi na hawara wa marehemu mume wangu

    Nina ndugu yangu alikuwa ameolewa ndoa kanisani, waliishi miaka 12 ya ndoa. Mume akaja kuanzisha maisha mapya na mwanamke mwingine, alikuwa ni mwanajeshi wanaishi katika nyumba za jeshi mke akaenda kwa ndugu zake mkoa huu hapa Arusha, mume akawa anaenda kulala kwa huyo mwanamke aliempangia...
Back
Top Bottom