Search results

  1. N

    Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    ingefanyikia kigoma ingekuaje?acheni unafki watanzania ile ni b'day yao waachane wafurahie..!sisi kazi 2lionayo si majungu bari ni 2015 kufanya kweli basi..!ayo mengine nia Ccm ndani ya Ccm 2kizidi sana itakua unafki
  2. N

    Mohamed Said ni Shujaa wa wakati huu

    hakuna kama muhamedi said Tz..anaebisha nimvivu wakufikili
  3. N

    Baba Kikwete Jiuzulu Kulinusuru Tanzania!

    Uhali gani wana jf ?natumai mwenyez mungu atakua ametupa afya tele.! najitokeza kuumpa pole jk kwakuongoza Taifa ambalo kila sekta muhim ilikua imebinafsishwa.daah jamaa hana pakukimbilia kila akienda huku anakuta mkapa na mwinyi walishapiga kufuri..yaani kabakisha kicheko cha kutuchekea...
  4. N

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    kiukweli ktka maraisi mapoyoyo mkapa niwakwanza hafai,hafai hata kidogo.
  5. N

    Wana jf naomba ushauri wenu

    nipotayari ila namiaka 23? Upotayri?
  6. N

    Natafuta mwanamke ambaye ataupooza moyo moyo wangu

    daaaaah...!uyo mwanamke wakukupoza moyo 2! Waivyo wanapatikana dar!atakupoza moyo alafu ataishia zake
  7. N

    Ananipenda au!!!

    laiti ukiludi na mimi nikalijua kwakweli sitotaka kukuona kwani uyo jamaa hana lohoya kibiinadam!hafai hta kidogo
  8. N

    Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

    prrruuuuuuuuu.....mpaka zenj?.....hahahaaaaaa
  9. N

    Swali kwa wanaume na wavulana wa jf

    Baasi hapo ndo mwisho wamaneno!mwanamke sura 2
  10. N

    Nimeamua kumuacha mke wangu……………..!

    Tena gazeti lenye la sani.
  11. N

    Mke akikuzidi elimu,kipato penzi linaweza kudumu?

    Kaka lazima nitoke nduki hapo kwani hakuna mapenzi tena!
  12. N

    Mke akikuzidi elimu,kipato penzi linaweza kudumu?

    Ila wanawake wingi wenyekipato huwa wanamanyanyaso mengi,walio wengi wanaishi peke yao
  13. N

    Mke akikuzidi elimu,kipato penzi linaweza kudumu?

    By Herieth makweta. MARA nyingi wengi tumekua tukichukulia masuala ya kiuhusiano tofauti na vile ilivyo kawaida Siku zote wanawake hujitahidi kutafuta wanaume wenye vipato vyao na wangine pia kutafuta wale waliowazidi kielimu. Hata hivyo wanaume wengi wamekua waoga kua na wanawake waliowazidi...
  14. N

    Truly not a joke'natafuta mchumba'

    kuna binti wakizungu anatafuta mme wakiafrica ila awe na uume ft 8,upo tayari kama upotayari sema nikuunganishe nae
  15. N

    Wana mmu wengi hawako kwenye ndoa.

    umegundua ulifanya uchunguzi au ndo kubahatisha! Sikila mwana jf awe ameolewa au kuoa
  16. N

    kumbe wakati wa kusalimiana hairuhusiwi kusimama

    Kweli kaka niw2 wabaya sana
  17. N

    I love my wife but...

    Mkuu wendo umemaliza kabisa asipokuelewa mmmmhmmm!
  18. N

    Natafuta mchumba

    Hayana tatizo ila mimi sipendelei kama ilivyo kwawanawake wenye makalio makubwa..
  19. N

    Natafuta mchumba

    Nikijana mwenye umri wa miaka 24 nimfanyabiashara soko kuu la mwanza town,natafuta mchumba ambaya maskani yao awe ni wa mwanza ili nisihangaike kuonana nae na awe na umri miaka 2o-21 awe mweupe na sio wamkologo asiwe mnene wala mwenye matiti makubwa awe naelimu kuanzia form 4 na awe mwenye...
Back
Top Bottom