Search results

  1. B

    Elections 2010 Kwa hali ilivyo Bungeni, CCM bye bye 2015!

    Mwisho wao umefka ndo maana hata hujibuji wao wa maswali haueleweki. Yaan hapo wapinzani wachache wanachanganyikiwa je wangekuwa nusu yao c pacngetosha. Kazen buti CDM hao ni waoga kama makunguru ya zenji. Ucwaogope hawana hoja hao zaidi ya kukimbilia kuwachafua wala msjali cc 2ko nyuma yenu.
  2. B

    Mh Zitto akiunguruma Bungeni leo!

    Tunapaswa kusahihishana pale m2 anapokosea na co kuzodoana hapa sio bungeni, cc nia yetu moja kuijenga Tanzania iliyojaa nyufa tena ziczozibika 2cpoangalia itatubomoke. Ila nawe mtoa habari unatakiwa kutoa habari makini na sahihi ili nac 2pate kuchangia vzr.
  3. B

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    Ndio wako wengi wanafki zaidi ya 6 ila bora walionyamaza kimya kuliko yeye anajifanya ni mzuri kwa nje kumbe ni mbwa mwitu 2. Ebu wananchi wenzangu 2fike mwisho kuwachagua vibabu na vibibi maana hatuoni wanachokifanya zaidi ya kucnzia, kukubali kila hoja hata kama hazifai ili kuwakomoa wapinzani...
  4. B

    Lissu Njoo Huku, Jimbo lipo wazi wetu sisi hana nyuma, hana mbele Bungeni

    Poleni sana hiyo ndo faida ya kuchagua viongozi kwa kurubuniwa na vitu ambavo leo havkusaidi, matokeo yake mnaumia 2.
Back
Top Bottom