Search results

  1. BILLYZ

    To be honest, I love Gadaffi...

    vita vya idi amin ni kizungumkuti wa kulaumiwa ni baba yetu aliyetupeleka kupigana vita kwa maslahi binafsi fuatilia ndugu ujue ukweli.........sie ndo tulilianzisha lile dude ndugu yangu pole wewe I SUPPORT GADAFI sawa hawezi kukosa mapungufu yake BUT UKWELI NI KWAMBA ALITTHUBUTU KUWA MADHUBUTI...
  2. BILLYZ

    Waganda wanavyo shine Majuu,Watanzania wapi?

    plus dr willy shija hapo
  3. BILLYZ

    Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

    endeleeni kumshambulia huyu ndugu lakini naaamin kama tutakuwa hai tutakuja kukugundua JAMAA ALIKUWA RAIS.........sasa hivi tumekuwa na ushabiki tu na uhalisia umewekwa pembeni... MINGU IBARIKI TANZANIA
  4. BILLYZ

    Mbunge wa CCM adai kuwa tatizo la umeme ni la kutengenezwa; anao ushahidi

    ..........ifikie mahala tujifunze kumpongeza mtu anapofanya vizuri sio kupinga kila kitu itakuwa haileti tija na ndio kinachoendelea mjengoni kati ya pande mbili hata hoja ya msingi akitoa wa cdm wale wa ccm wanaipinga and vise versa tubadilike jamii tukemee uovu na kusaport yale mazuri hata...
  5. BILLYZ

    Josephine Mshumbusi ajifungua

    ndio ibrahim alikuwa muislamu safi kabisa...........
  6. BILLYZ

    Josephine Mshumbusi ajifungua

    hivi hawa walifunga ndoa lini? natoa shilingi kumpongeza dr........kwa hadhi yake na umri alionao kuzaa nje ya ndoa ni utovu wa nidhamu na atapongezwa na wale wahuni tu.............ni maoni tu
  7. BILLYZ

    Between your legs!

    ndugu mimi napata hisia wewe ndo mdini namba moja............between your legs
  8. BILLYZ

    Between your legs!

    aisee weye uliyetoa comment hapa ndo mdini nambar moja...........watz where are we going???
  9. BILLYZ

    How to use JamiiForums effectively

    HELLO ALL! am just wondering if the kujivua gamba phylosophy will work.....................
Back
Top Bottom