Search results

1. A

JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

kwa hii ya leo lazma atalazwa KCMC!!
2. A

Wakuu, waziri Sitta ananichanganya kuhusu Richmond. Ukweli ni upi?

new songs wakat CCM inataku kujilipa hela za wavujajasho? GOD WILL JUDGE!
3. A

Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

sawa! Lakn yeye ndiye anaye yasimami? Na hlo ndo linalo washnda wabunge wengi!! Halla to Zitto!
4. A

Nini amekifanya Mbunge wako jimboni kwako toka 2010 hadi sasa?

kajenga hzo machnga complex maeneo gani? Na hyo sky over wapi? Na hzo hosipitali 3 za rufaa ziko wap?
5. A

Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

wewe ndo umemtoa R.A kwenye kit chake, sawa, tukaanza kuhsi kuw kweli unapambana na mafisadi!! Eti leo kwa7bu kuna uchaguzi unaanza kumsifia, kwann ulikuw humsifii wakt ukisema wajivue gamba? Acha kuwakaanga wa Tanzania, Mwogope MUNGU!!
6. A

Agosti 31 ya JK: Baraza la EID huko Dodoma kutumika kurusha makombora, usikose!

Ama kweli milango yako ya fahamu yamefunga! Haya 2ambie, kwenye hz ahad, kazikamilisha zipi, kwa kiasi gan, na kwa asilimia ngap? Co tu kuleta ushabiki wa kichama.
7. A

Mgao umeanza tena?

we geniusbrain una matatzo gani? Mi nilidhani unaikingia tu CCM kifua, kumbe hadi TANESCN! Hv ninavyoandika hii thread, umeme ndo umekata, nilikuw ninasoma kesho nina mtihan asubuh! U must be Ant-development, then acha ushamba wa mawazo!
8. A

Bajeti Wizara ya Nishati na Madini yapita

Ni sawa kabisa, that is a DEFICIT BUDGET, Na inakuwa financed through borrowing! Ila budget mama ya wizara ya fedha itakuwa haijaonesha hili!
9. A

Kuhusu maandamano ya kumpinga rais wa Tanzania Washington DC

unaongea nini wewe? Shule yenye mwalimu mmoja? Wawekezaji BARRICK, RICHMOND, DOWANS,? Zahanati zisizo na dawa? Uwekezaji bila umeme, na kodi ya kufa m2! Barabara ipi? Nyumba za nyasi! Viwanda 'GENERAL TYRE' iliyoliwa na magamba! Maji mgawo! Umeme mgawo! Demokrasia ipi ya kumuua mtu...
10. A

Kuhusu maandamano ya kumpinga rais wa Tanzania Washington DC

Hayo maneno kayaseme kule kijijin, tena co vjj vya karbu! U can not fool a literate person, eti maandamano lazma kiongozi, unataka baloz aandamane kumpinga bosi wake? Kiongoz ni yule aleanzisha wazo la maandamano hayo. Eti hawajui matatzo ya watanzani! VASCO DA GAMA tu ndo hajui matatzo yetu...
11. A

Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

2fanye kazi 2wachumie magamba? Chenchi ya rada mmeiweka, rich mond, dow-ance, kuna cku nacc tutakuja kulala pale ikulu! We ngoja tu!
12. A

Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

2naomba ushahd, maana hata 'Ze kila' alisema lakn 2meshawachoka magamba! 2pe ushahdi na uache maneno! Kwanya ww ni mwizi wa pikipiki!!
13. A

Hotuba ya viongozi wa CHADEMA huko Arusha

unaweza ukawa upo ryt, lakn zingatia haya: kwanza nahc Lema hana makosa, kwann nasema hvyo? wakat madiwan wakifikia muafaka, Lema alikuwa wapi? (BUNGENI), je, hawa madiwan wamevunja kanunu za chama au hawajavunja? (wamevunja), kama walicmama kwenye maandamano...
14. A

Ngeleja, elewa kwamba rushwa si lazima utoe hela; mnachokifanya kupitia TBC1 hakifai

kwan ngeleja kafanya nn kupitia Tbc1?
15. A

TBC Inachakachua Mpaka Taarifa za kiSerikali

mi coni tatzo, kwani "TUNAVUNA TULICHOPANDA" Ila Tanzania one day itakuja kuwa nchi bora!! Tutarudisha nyara zetu!
16. A

Kwa wana CCM wenzangu: Hebu nisaidieni hili!

Najiuliza saana, Hivi tulivyokuwa tunaambiwa kuwa chama kina mafisadi tukakataa, sasa hv wanavyoachia ngazi tunajiteteaje? Tulivyoambiwa chama hakina dhamira ya kupambana na mafisadi tukakataa leo tunajiteteaje wakat Rostam anapete mitaani, tena rais anawaambia wenzake wasitumie majukwaa...
17. A

Tafakari: Majibu ya Ndugai ndani ya mdahalo! Mh. Tufafanulie tena!

Ndugai kaulizwa swali rahisi la mtego: "HUOGOPI KUKUTWA NA YALIYOMKUTA SITTA?" Badala ya kujibu swali, anaanza kutaja sifa za Sitta! Nikajiuliza, nani hajui wadhifu wa Sitta? Kuwa ni spika mstaafu, waziri, mwanachama wa "CCM", n.k! Nikajiuliza tena. JE, HILO NDILO JIBU ALILOKUWA AKILIHITAJI...
18. A

KATIBU MKUU WA 'CCM', taifa Nape Nnauye naomba unijibu

Unasema ""tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi"" ilikuwaje wewe ukaongelea suala la mshahara wa Dr. Slaa, na barua ya kuhimiza maandamano, mambo ambayo hayakutolewa ufafanuzi? Au kuna mtu alivizungumzia? Vp kuhusu haya magamba ambayo CCM inajivua, kama hayatakiwi...
Back
Top Bottom