Search results

  1. Mfalme wa Genge

    Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Wakati unaenda gesti ulikuwa unawaza unaenda kufanya maombi? Mbona hukubeba huko ulipotoka wakati tayari ulikuwa na nia ovu😀😀. Acha kupenda vya bure😀
  2. Mfalme wa Genge

    Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Wakikuwa hawana lengo la kukosoa kwa maslahi ya Taifa bali walikuwa wanapambana nae
  3. Mfalme wa Genge

    Serikali imechelewa sana kufungia gazeti la Raia Mwema

    Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari. Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri. Nitoe tu heko kwa...
  4. Mfalme wa Genge

    Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Hakika Serikali ya Awamu ya Sita ina uongozi sikivu na madhubiti wenye kujali wananchi wake kwa kuhakikisha huduma za kijamii na miundombinu safi inapatikana. Katika kufanikisha hilo serikali mwanzoni mwa mwaka wa fedha 2021/2022 ilileta tozo katika miamala ya simu na kukusanya Bilioni 63 hadi...
  5. Mfalme wa Genge

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya mbunge Mwanaisha Mlenge au wametumwa?

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and Evaluation) badala ya kuwa na ofisi ndogo sita ambazo hazina nguvu kwa kuwa zipo chini ya Wizara...
  6. Mfalme wa Genge

    Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

    Kenya Vice President William Ruto is behind the ban of Maize imports from Tanzania and Uganda. Last week, Kenya authorities issued a letter banning the importation of Maize from Tanzania and Uganda due to high aflatoxin contamination The online letter which was against East African Treaty...
  7. Mfalme wa Genge

    Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    Shirika la Kimataifa la Utafiti wa masuala ya Siasa kutoka China limepinga vikali ripoti ya Amnesty International kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania na kudai ni ripoti iliyoegemea upande mmoja. Shirika hilo limehoji taratibu na vigezo vilivyotumiwa na Amnesty kuhoji makundi hayo ya watu na taasisi...
  8. Mfalme wa Genge

    Uchaguzi 2020 CCM maji ya shingo Kyela, wapambe wa Mwakyembe waapa kuichagua CHADEMA. Mangula ashindwa kuokoa Jahazi

    Chadema mnapagawa, mtajua 28/10/2010 kama CCM imechokwa na mgombea wenu muongo muongo
  9. Mfalme wa Genge

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

    Tena umevurugwa haswaaaa, umesikia huyu nae leo anavyopotosha eti uwanja wa ndege wa Mpanda ni malisho ya mbuzi
  10. Mfalme wa Genge

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

    Hawa wenyewe wanaomkosoa leo ilikuwa ni ajenda yao, hawakuwahi kuwaza ka.a itawezekana kutekelezwa. Sasa kimekuja chuma na kutekeleza sera hiyo imeisha imekuwa lawama tena
  11. Mfalme wa Genge

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

    Ana hasira kuliko Lissu ambaye tangu kampeni imeanza anafoka tu hakuna sera
  12. Mfalme wa Genge

    David Kafulila: Hali ya uchumi wa kati wa Tanzania na rekodi saba za kimataifa zilizowekwa chini ya uongozi wa Rais Magufuli

    ~Na David KAFULILA. email: davidkafulila0@gmail.com 02 Septemba 2020. Julai 1, 2020, ni tarehe itakayokumbukwa katika historia ya Tanzania. Ilikuwa tarehe ya kwanza ya utekelezaji wa Bajeti ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Utawala wa Rais JOHN MAGUFULI; na muhimu zaidi, ni siku...
  13. Mfalme wa Genge

    Ushamba ni mzigo sana kwetu ngozi nyeusi! Pamoja na mvua yote hii watu wamelowa chepe lakini unakuta mtu kawasha kiyoyozi kisa mazoea

    Picha yenyewe inaonekana imepigwa wakati wa jua kali hata mvua hakuna na inaonekana wewe umelala nyumbani hata hujatoka unagoogle picha ukiwa kitandani na kuanzisha propaganda mitandaoni. Kweli wewe utakuwa unateswa na hali ngumu ya maisha. Kuna vifaa ambavyo vinahitaji ubaridi wa asilimia...
  14. Mfalme wa Genge

    Cecil Mwambe: Nitajenga ofisi mpya ya CHADEMA. CHADEMA kimepokea zaidi ya shilingi bilioni 13

    Kwa kweli, bora tukuchague ukatubadilishie jengo la chama. Hatuwezi kuongoza nchi tukitokea kwenye kale kaofisi.
  15. Mfalme wa Genge

    Uhuru Hospital Mwanza, mmiliki ni kijana chini ya miaka 40. Tupe ujanja ulifikaje huko?

    Naamini kila kitu ni malengo na uthubutu. Plan iwe nzuri ila kuepuka kuanguka kunakokatisha tamaa.
  16. Mfalme wa Genge

    Rais wa Zambia amtaka Balozi wa Marekani nchini humo kuondoka baada ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Safi sana, hao mabeberu wasitulazimishie laana. Kila watu wana tamaduni na sheria zao, haiwezekani ukamlazimisha mtu kuishi unavyotaka wewe kisa umemzidi kipato.
Back
Top Bottom