and that's why you are not recruiting manager and you will never.don't think people in our days are stupid like your days.kwa akili yako unategemea kila kitu utapata kwenye Google?kuna watu wamekutana physically na kampuni husika tunapata maelezo zaidi.weaknesses za kampuni unaweza kugoogle?acha...
PWC wamenipigia simu wakiniarifu kuhudhuria graduate recruitment itakayofanyika siku ya ijumaa saa 8.00 mchana holliday inn hotel.Wana jf mwenye dondoo zozote za hawa PWC azianike.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.