Search results

  1. MKOBA2011

    Nahitaji kiwanja dodoma

    Husika na somo hapo juu nahitaji kiwanja Dodoma ambacho hakipo kwenye mkono wa CDA maeneo ya Nkuhungu,au mipango kwa chini wanaita Mbwanga ila kisiwe na mgogoro wa aina yeyote na kiwe kinalipiwa manispaa eneo linatakiwa liwe lenye miundo mbinu ya maji na umeme ukubwa kiwe na square mita...
  2. MKOBA2011

    Soko la mahindi ya gobo dar likoje sasa?

    Wadau wa jamii forum yeyote mwenye details za hii kitu naomba anikokotolee.Nitashukuru sana.
  3. MKOBA2011

    Nahitaji shamba la mahindi la kukodi lililo karibu na iringa mjini

    Wadau mimi naishi Iringa mjini nahitaji shamba la kulima mahindi ambalo halipo mbali sana na mji kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kama heka tano hivi.Mdau yeyote mwenye ufahamu tujuzane maana mambo ya kilimo kwanza.
  4. MKOBA2011

    Paediatrician

    Wadau habari za jumapili naomba mwenye kujua hapa Bongo wapi nitapata hawa wataalamu nina shida kuwaona kwa tatizo la mwanangu.Hope mtanisaidia.
  5. MKOBA2011

    Tatizo katika kumeza na kupumua

    Habari wadau wa jamii forum naomba msaada nina mtoto wa kike wa miaka mitano ana tatizo katika mfumo wake wa kupumua na kumeza chakula anapata shida kupumua wakati wa usiku na wakati wa kula huwa anajaza chakula mdomoni anameza kwa shida nilidhani ni athma nilienda kwa daktari kupima akasema...
  6. MKOBA2011

    Natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini

    Wadau habari za kazi kwa wale wenyeji wa Iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa umeme na maji yenye vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwe master,choo cha public,sebule isiwe ndogo sana,dining, jiko na stoo nyumba iwe maeneo yafuatayo Lugalo,Kihesa,Mwachan'ga,Mwang'ingo.Budget...
  7. MKOBA2011

    Haya wadau kazi hizo udsm hasa wale wenye sifa stahili za kuwa wanataaluma

    Haya wadau wale wanaohitaji kuwa wanataaluma UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1. (a) Job Title: Professor/ Associate...
  8. MKOBA2011

    Msaada wa matlab

    Wanajamii forum hope wote wazima.Napatikana Ubungo karibu na stand kuu ya mabasi ya mikoani.Nahitaji mtu yeyote ambae ana utaalam wa kutumia programme ya matlab kuna vitu aje anisaidie awe na uzoefu na kusimulate mathematical concepts malipo akija tutaongea.Number yangu ni 0755-520976...
  9. MKOBA2011

    Taratibu za kukopa crdb

    Wanajamii forum naomba mtu mwenye kujua utaratibu wa kukopa CRDB kwa mfanyakazi ukoje na kiwango cha juu cha kukopa kutokana na mshahara ulionao ni kiasi gani.
  10. MKOBA2011

    Msaada kwa tatizo la mtoto wa miaka 4.5

    Wanajamii forum habari za shughuli?Aisee naomba msaada kwa mtu anayejuwa tiba ya mtoto mwenye umri wa miaka minne na nusu katika mfumo wa kupumua yaani anapumua kwa kuweka kituo between two hurt beat sasa nimetumia baadhi ya dawa sioni mabadiliko yeyote naomba kama kuna mtu anayejuwa tatizo hili...
  11. MKOBA2011

    Gari ya harusi

    Kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata gari nzuri kwa ajili ya harusi nyeusi aina ya Noah new model Morogoro arusi mwezi wa tisa anifahamishe bajeti sh 150,000/= Nawakilisha.
  12. MKOBA2011

    Mwalimu wa physics mwenye shahada ya kwanza

    Anahitajika mwalimu wa physics mwenye shahada ya kwanza kwa ajili ya kufundisha part time au full time mkoa wa Iringa eneo la Mafinga mwenye sifa hizo anitafute nimpeleke kwa muajiri na kwenda kukubaliana mapato kiasi gani anataka waweze kukubaliana.Kazi njema
  13. MKOBA2011

    Fundi mzuri wa kushona suits iringa

    Kwa wale wanaohitaji kushona suits za aina mbalimbali kike na kiume kwa ajili ya arusi na shughuli zingine, mkoani iringa kuna fundi wa ukweli anaitwa komba yupo karibu na kalenga hotel.anapatikana kwa number hizi 0753-231135 au 0778-328500.utaamini navyokwambia ukishona kwake nipo dar but...
  14. MKOBA2011

    ArcGIS 10 INSTALATION

    Please anybody with this software tuwasiliane na aniambie malipo ni ngapi pia nina shida nayo sana.Please help.
  15. MKOBA2011

    Msaada wa kuagiza gari

    Kuna suzuki grand Vitara from Uk ya mwaka 2003 inauzwa pound 2295 sasa je mpaka ifike Bongo na makodi yote ya TRA mpaka niitie mikononi inaweza kuwa shs ngapi.Msaada wadau wa hivi vitu
  16. MKOBA2011

    Msaada kwa wataalamu wa magari ya kuagiza

    Kuna suzuki grand Vitara from Uk ya mwaka 2003 inauzwa pound 2295 sasa je mpaka ifike Bongo na makodi yote ya TRA mpaka niitie mikononi inaweza kuwa shs ngapi.Msaada wadau wa hivi vitu
  17. MKOBA2011

    Msaada wa bati zenye migongo mikubwa

    Wanajamii habari naomba mwenye uelewa na bei ya hizi bati zenye migongo mikubwa anijuze tafadhali nasikia wanauza kwa mita ni kweli na bei yake ni shilingi ngapi?
  18. MKOBA2011

    Masters in project monitoring and evaluation

    Wadau salama samahani kwa mtu anayejuwa chuo kinachotoa hii degree ya pili hapa bongo tujuzane
  19. MKOBA2011

    Nahitaji kiwanja iringa mjini

    Wadau poleni na mishemishe za kila siku.naomba mwenye information yeyote hapo juu anipm tufanye biashara nahitaji kiwanja iringa mjini kiwe medium size na kiwe na offer vilevile kisiwe katikati ya mji sana na kiwe sehemu ambayo ni tambarare siyo kwenye vilima .thank u.
  20. MKOBA2011

    Natafuta kiwanja Iringa mjini

    Natafuta kiwanja Iringa mjini kilichopimwa na kiwe na offer medium density.Maeneo ambayo nahitaji kiwanja kiwe ni haya Cagliero,zizi la n'gombe,Check point na Kitwiru
Back
Top Bottom