Search results

  1. C

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    kinachomuuma kagame ni kuona vifaa vya kijeshi vinapita nchini kwake kwenda kongo kwa wanajeshi wa tz. asithubutu cuz tutamtandika vibaya mpaka sasa hv tushamweka kati ni kumpiga from east n west hana ujanja huyo. he cnt hold the pain baada ya kuona majeshi yetu kongo.
  2. C

    ‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’

    u cnt compare rwanda kwa tanzania hata chembe kwasababu geographically ni ndogo kuliko mkoa mmoja tu wa kagera so facts zako za kiuchumi na kijamii hazina mashiko rem tz s 2nd kiuchumi eac baada ya ke. Then huwajui hawa wanyarwanda hasa watutsi wanadharau,viburi na majivuno ndo maana kamwanamke...
  3. C

    Kwa nini Rais Kikwete hatembelei Israel?hongera Dr Slaa!

    au na ww unasupport kuuwawa kwa wapalestina? i dnt tink kama slaa ameinda huko kisiasa cuz msimamo wa tz since jkn ni kusupport palestina liberations
  4. C

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    maelezo mazuri bt hujawa wazi kuwa hujagraduate hiyo BBA UDSM,ila umeattend classes tu.
  5. C

    Najuta kumfahamu huyu binti

    umenifanya nimecheka duh! hiyo kali
  6. C

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    wafuasi wa chadema wengi ni kama bendera wanafuata upepo eti mtu anakubaliana na hoja kuwa slaa ana kadi ya ccm jst ukumbusho hell no nauliza swali moja hv kuna mtu mwenye akili timamu anayeweka ukumbusho wa kundi baya asilokubaliana nao? wake up guys hawa watu wanataka madaraka tu sio ukombozi...
  7. C

    hawa ndo watumishi walio tunukiwa nishani kwa mwaka 2012

    bichwa kubwaaaaaa akili nusu kijiko tena cha chai, the rest ni maji ya mlenda
  8. C

    Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    umemsahau waziri mkuu, pp na manumba na dini zao
  9. C

    Tra ihamishiwe utumishi

    ndugu nimekukuba 4 ur reasoning j3 tupo pamoja darasani tumshukuru mungu tumejituma vyuoni na mungu katubariki. my advise: tufunge huu mjadala jf wa customs officer 4 nw tusonge mbele tusiwe wapayukaji hata kazi hatuijui mlio kosa tunawaombea kila la heri kama ni mungu ndo amekuleta duniani...
  10. C

    Waliofanya Interview Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa/Nachingwea tujuzane

    vuta subra wakiitwa kazini wataeka tangazo kwenye website PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS inaweza ikachukua kama mwezi 1 so be patient kaka huku unaendelea kutuma maombi sehemu nyingine.
  11. C

    Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    sikubaliani na hiyo hoja na nchi sihami na chakunifanya huna. siku nyingine utakuja na uzi wa kuhusu katiba na uhuru wa wananchi kuchagua sasa leo unawalazimisha sasa haki yao ya uhuru kuamua umeizingatia? next tym weka hoja kistaarabu great thinkers nvr ask for attention they are jst given
  12. C

    Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

    mi nimeipenda nimesikiliza kauli ya nassari that waz a mess! dogo hakutumia akili he should be careful next tym cuz amekiweka chama pabaya
  13. C

    Kuitwa Kazini NSSF

    kusema kweli nssf wameumiza wengi kwanza walituma sms late kuna watu wawili nawafahamu walikula pipa tokea mikoani kuja kufanya ile written then wakaleta mizengwe ya pekee bila kuzingatia cost watu walizoingia huku wakijua wanahitaji watu wachache duh! mara wanawapigia cm watu for 2nd tym kama...
  14. C

    PWC Job interview

    bado kimya mkuu vuta subra nahisi wataongeza muda cuz frm 2moro watu wanaseat for cpa exams wanamaliza ijumaa kama wataweka consideration hiyo bt kama unasifa usihofu hawa jamaa hawana longolongo
  15. C

    Kuitwa Kazini NSSF

    nimeipenda hiyo sikilizia bahati yako usiache kupita humu utapata matangazo ya kazi
  16. C

    TANESCO hakuna mtu mwingine zaidi ya huyu Bibi mipasho??

    wivu na husda ni kitu mbaya huyo sister yuko poa kuwa engineer sio kigezo ndo maana kuna fani ya pr kwenye vyuo. mtoa mada unachuki binafsi n u r such a nut
  17. C

    Mtoto mwingine wa kigogo ahangukia pua ndan ya kibaha form six results 2012

    hv we ulisoma hkl au mbona kwa watu wa combination it is a fair perfomance you are such a nut
  18. C

    Kuitwa kazin TRA

    yawezakuwa ndo huo uliousema
  19. C

    Kuitwa kazin TRA

    acha uongo
  20. C

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    kama ccm wakifanya hivyo watastablize their political situation ingekuwa a win to cdm kama mps wa ccm wangesuport their fellows on front bench. credit to zito n cdm u hv grown firmly in politics to the extent u prefered the in house failure to the boom success kwa wananchi kujenga mtaji 2015...
Back
Top Bottom