Search results

  1. computer engineer

    Blog za Kielimu

    Naomba tujuzane zipi au ipi ni blog nzurii ya kielimu ambayo inatoa materials/notes nzurii za kujifunzia
  2. computer engineer

    VITABU VYA KUJIFUNZA JINSI YA KUTENGENEZA APPLICATIONS

    Hi wana JF Naomba msaada kwa ambae anaweza kuwa na PDF ya vitabu vya kujifunza kutengeneza applications za simu kwa beginners. Nahitaji niwe IT kwa kujisomea mwenyewe, at least now nimejifunza graphics designing na sasahivi napiga kazi vizuri, nmejifunza pia Blogging sasaiv nipo vizuri pia...
  3. computer engineer

    Bongo Movie kuna vipaji ila vikwazo hivi hapa

    Habari wana JF leo nimeona nitoe ya moyoni mwangu kuhusu Bongo Movie. Kumekua na matusi mengi na malalamiko mengi sana kuwa Bongo Movie hamna kitu na watu hawapendi kutazama Bongo movie. Mm nachopenda kusema hapa ni kwamba vipaji vipo na watu wana uwezo japo kweli wapo wazinguaji lakin wazuri...
  4. computer engineer

    Naomba ushauri: Nataka niwaunganishe wauzaji na wanunuaji wa mazao na mifugo kwa njia ya mtandao

    Habari wana JF Nina wazo moja la biashara ambalo naomba ushauri. Wazo langu ni hili nataka niwaunganishe wauzaji na wanunuaji wa mazao na mifugo kwa njia ya mtandao. Nina uelewa na Blogs hivyo nitaifungua blog ambayo ndo itakua kama soko la mtandaoni. Hapa mkulima au mfanyabiashara atabofya...
  5. computer engineer

    Msaada wa adobe programs

    Jamani Wana JF naomba msaada wa kupata softwares za Adobe kama nne hivi, Primeere Pro, Illustrator, After Effects. For free, Maana kuna ambazo nilizipataga kwa mdau zikawa zinataka licence key So ikawa ngum kuziinstall kwenye computer yangu. Naomba mwenye kunipa msaada wa kuzipata free
  6. computer engineer

    Toleo gani la simu ni nzuri na bei yake sio kali sana kama sasa

    wana JF naomba masaada wa kujua simu gani kwa sasaivi ni nzuri, yaweza kuwa ni brand ya zilezile kama tecno na zingine nachotaka kujua toleo gan wametoa kwa sasaivi ni nzurii sana na bei ya kawaida.
  7. computer engineer

    Maoni Yenu Wajuzi wa websites wenzangu

    Nimetengeneza simple website ambayo Itawakutanisha wakulima na wafanya biashara mbalimbali wa mazao. website hii itakua inaweka matangazo ya wakulima au wafanya biashara ambao wanauza mazao yao. Na lengo ni kuwakutanisha tuu na biashara wataifanya wao, itakua kama sehem ya kutangaza, naomba...
  8. computer engineer

    NGO's zinapataje fund?

    Habari wana JF, Natamani sana nifungue NGO's ya ambayo itajihusisha na kuwaangalia na kuwatetea watoto wenye ulemavu na waishio katika mazingira magumu kwa kuwapa misaada midogo midogo na kuhakikisha wanapata haki za msingi kama elimu, afya nk. Nimeshafuatilia jinsi ya kusajili na ada za...
  9. computer engineer

    Je NGO'S zinapataje funds ??

    Habari wana JF, natamani sana nifungue NGO ya ambayo itajihusisha na kuwaangalia na kuwatetea watoto wenye ulemavu na waishio katika mazingira magumu kwa kuwapa misaada midogo midogo na kuhakikisha wanapata haki za msingi kama elimu, afya nk. Nimeshafuatilia jinsi ya kusajili na ada za...
  10. computer engineer

    JE UNAHITAJI BLOG YA KILIMO KAMA HII NA UNA KIAS KIDOGO KABISA CHA PESA??

    Angalia picha hapo chini ni blog mojawapo ya kilimo nilotengeneza . Miliki blog yako sasa uweke mawazo yako ya kilimo watanzania wasome wanufaike na maarifa yako Nichek hapa 0759146185 utaelekezwa na jinsi ya kupost mambo yako Angalia picha hapo chin
  11. computer engineer

    Walimu wa special needs tujadili yetu hapa

    Walimu wa special needs njooni tubadilishane mawazo kuhusu career yetu Je ajira za special needs zinapatikana ? Ni changamoto gani za career hii
Back
Top Bottom