Search results

  1. O

    Leo matapeli wa simu wamechachamaa

    Leo nimepigiwa simu mbili tofauti za matapeli,moja ni 0683757119 akijifanya ni Airtel customer care na akanitaka tufanye uhakiki wa namba yangu kwa pamoja na nikimaliza napata bonus ya elfu 30, alivyoanza swali lake la kwanza tu nikamuambia niko busy sina muda wa kujibu maswali yake ya kitapeli...
  2. O

    Kipindi cha Star TV; Tuongee asubuhi na Donatus Rutagimbwa

    Kwa mujibu wa taarifa zake binafsi katika facebook,huyu mtu ni kada wa CCM, mwanasheria, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii ,alisomea Mpwapwa high school na ni graduate wa UDOM.Pia aliwahi kukaribishwa star TV tuongee asubuhi tarehe 3/7/17 ,5 /7/17 na 13/7/17. Leo hii kakaribishwa tena...
  3. O

    Jaji Mkuu tunaomba usikie kilio cha mama huyu

    Muheshimiwa Jaji mkuu; Kwa heshima na taadhima naomba umsaidie huyu mama ambaye amedhulumiwa na anaendelea kudhulumiwa na vyombo vinavyofanya kazi chini yako. Nimeamua nikuandikie kwa vile nina imani kubwa nawe na natambua kuwa utatoa msaada ili haki itendeke; Kuna kesi ya shamba...
  4. O

    CRDB Kasulu, rudisheni huduma

    Siku ya tano sasa hakuna huduma yoyote CRDB Kasulu,wanadai network,muda huu wateja wamejaa na hawaelewi iweje waanze kukopa kwa watoza riba mitaani hela ya matumizi wakati wana hela yao kwenye akaunt. Pia ni network ya aina gani hairudi kwa siku tano,kama kawaida watu wameanza kuvumisha kuwa...
  5. O

    Hii michango ya lazima ya kujenga maabara za shule ni halali?

    Wakazi wa Wilaya ya Bukoba vijijini wenye umri wa zaidi ya miaka 18 wa vijiji vya Kemondo,Maruku,Kanazi,Itongo,Kanayangereko na vinginevyo wametakiwa kutoa mchango wa lazima wa elfu 15 kujenga maabara ya shule za sekondari,wasio changa wametishiwa kuwa watakamatwa na kufikishwa mahakamani,swali...
  6. O

    Ajali ya basi la adventure: Kigoma-dar es salam muda huu

    Basi la adventure kutoka Kigoma kwenda Dar limepata namba T 880 DDJ limepata ajali muda huu eneo la karibu na daraja la Mlagarasi wilayani Kasulu,ajali hiyo ni kugongana uso kwa uso na Nissan truck,hakuna fatality lakini majeruhi ni 10 ,kati yao 05 wako serious mno,muda huu wamelazwa hospitali...
  7. O

    Benki ya Kiislamu inapataje faida?

    Nimesikia benki ya Waislamu ya Amana inatoa mikopo bila riba, sasa faida wanapataje? Fedha za kuendesha benki wanazitoa wapi, hii system ya benki inayofuata sharia inafanyaje kazi? Ukichukua mkopo uarudisha kama ulivyokopa? Kuuliza sio ujinga!
  8. O

    Huyu dr wa kwenye mdahalo wa itv jumapili kasomea fani gani?

    Kwa mfumo wa elimu wa Tanzania kabla ya mtu haja specialize kuwa DR au proffesor uwa anapitia masomo mbalimbali,kuna dada mmoja kwenye mdahalo ulioonyeshwa na ITV Jumapili anaitwa Clesencia Shule aliongea baadhi ya vitu ambavyo vilitufanya wengi tujiulize uwezo wake academically na uelewa wake...
  9. O

    Pre :chekechea,primary school,form one ,high school,university wizi mpya wa karne

    Hivi nani asiyejua kuwa darasa la saba maana yake ni pre secondary school,form four ni pre high school na form six ni pre university?sasa haya mashule wameanzisha matapeli kila mtaa eti pre kindergatten,pre form one ,pre universty etc maana yake ni nini na yanafundisha nini hasa? Mwenye idea na...
  10. O

    World economy

    RADITIONAL ECONOMICS* You have two cows. You sell one and buy a bull. Your herd multiplies and the economy grows. You retire on the income.     *INDIAN ECONOMICS* You have two cows. You worship them.     *PAKISTAN ECONOMICS* You don't have any cows. You claim that the...
  11. O

    Mahakama ya kadhi ianzie kigogo

    Watuhumiwa wa kuuza gongo ya sumu: 1.Ramadhani Selestini 2. Salehe Omary 3.Shukrani Malungu 4.Charles Ibrahim[ huyu wampeleke Kisutu] 5.Fadhil Juma 6.Abdalah Mnazi Marehemu waliokufa kwa kunywa gongo iliyouzwa na watuhumiwa: 1.Juma Abdalah. 2.Mathew Roma[???] 3.Khalid Hamis 4.Mohamed Said...
  12. O

    Walinzi wa bugando hospital na double standard katika utendaji

    Wiki iliyopita nilipata fursa ya kutembelea Bugando hospital kwa shughuli binafsi.Nilishangazwa kwa kitendo cha walinzi wa Bugando kukataa kuruhusu wanawake waliovaa masuluari ama kuingia kupata matibabu au wale wanaokuja kuona wagonjwa,siku ya pili nilikaa jirani na mlango wa kuingia hospitali...
  13. O

    Maandamano bila kibali-kwanini mbunge wa nzega hakukamatwa na polisi

    Nimekuwa nikishuhudia mara kadhaa viongozi wa vyama vya upinzani wakitiwa misukosuko kwa kuitisha maandamano bila vibali vya OCD.Je vibali hivi vinatakiwa kwa upinzai tu,jana tulimouna mbunge wa Nzega[Samahani jina lake uwa linanishinda kuandika na kutamka] akiongoza maandamano fulani huko...
  14. O

    Vitz for sale

    Expat leaving and selling car June/July 2012 Toyota Vitz Duty paid Year: 2001 Fuel: petrol Transmission: automatic Color: silver Mileage: 103.000 km Imported from Japan in 2010, only driven on the peninsula, regularly serviced, CD and mini-CD player Price: 4200 USD Contact: 0784-720047...
  15. O

    Tamko la vijana wa Kagera kuhusu ziara ya Nape

    Wakuu nimeinasa sehemu nikaona niiweke hapa jamvini TAMKO LA VIJANA WA BUKOBA MJINI WAISHIO DAR ES SALAAM Ujio wa Nape: Kagera Tumedharauliwa na Uzalendo Umedhihakiwa Tumejaribu kutafakari kwa kina juu ya nini hasa kilimsukuma Nape kufika Kagera na kushiriki mazishi ya muasisi wa TAA...
  16. O

    Let them go

    Vurugu inayoendelea zanzibar inanikumbusha wimbo mmoja wa zamani wa Chakachaka Ivone uitwao let them go,nilikuwa naupenda kwani nildhani enzi hizo alikuwa anamwimbia Mandela aachiwe.Ni sawa na Zanzibar:Let them go let them go let them go,to their children,to their family, to their roots,let them...
  17. O

    Polisi achoma guard post

    Nilikuwa safarini Sumbawanga na Mpanda,nilipofika Mpanda nikahamua kwenda CRDB kuchukua vijisenti kabla ya kuendelea na safari Tabora.CRDB Tawi la Mpanda ni kati ya Majengo mapya ya kisasa kabisa,nilishangaa kukuta Kibanda cha walinzi hapo gaitini kikiwa kimeungua moto,ni kibanda kipya kabisa...
  18. O

    Bima ya afya na paper work kwa madaktari

    Nilikuwa sijui jinsi bima ya afya inavyofanya kazi,juzi nilimsindikiza rafiki yangu kutibiwa hospitali moja ya wilaya/mkoa mpya.Nilishangaa mizunguko,mara nenda dirisha lile,ukifika wanahakiki na kujaza form kama tano hivi mtu mmoja inachukua takribani saa nzima,unapewa cheti ,ukiingia kwa...
  19. O

    interesting questin

    OY: May I hold your hand? GIRL: No thanks, it isn't heavy. GIRL: Say you love me! Say you love me! BOY: You love me... GIRL: If we become engaged will you give me a ring?? BOY: Sure, what's your phone number?? GIRL: I think the poorest people are the happiest. BOY: Then marry me and we'll be...
  20. O

    Sababu za ccm -kushindwa arumeru mashariki

    Wakuu,kwanza naomba nijiwakilishe kuwa mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa japo siasa ninaipenda.Pia naomba nieleweke kuwa nachukia ufisadi,unafiki wa kisiasa na umaifa wa kisiasa unaofanywa na CCM,mfano wizi wa kura,ktumia green guards,etc.Kwa izi siku mbili nimevutiwa sana na kauli...
Back
Top Bottom