Search results

  1. K

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    jamani tumeongea sana, sasa tusubiri hiyo tume ya bunge, maana sasa michango inajirudia hatuna jipya.
  2. K

    Nani anafaa kuwa Rais kutoka vyama vya upinzani?

    wakati ukifika watanadi sera zao then watanzania watafanya maamuzi.
  3. K

    Hoja binafsi: Wabunge pigeni kura ya Kutoiamini Serikali na Raisi wake.. Please please

    mvumilivu hula mbivu! subiri kaka ngeleje jana alihitimisha hoja vizuri tusubiri utekelezaji.
  4. K

    Mustakabali wa Taifa letu uko mikononi mwetu

    Acha fikra potofu! then utapata hayo mafuta? yaelekea wewe na hao wauza mafuta lenu moja hamhitakii mema tz!
  5. K

    Spika amtwisha Zitto Kabwe zigo la UDA

    kipimo kingine kwa zito kama ataweza kufanya kazi hiyo kwa maslahi ya umma.
  6. K

    UDA yauzwa kwa bei chee, Ofisi zake Zavamiwa

    kuvunja ofisi hata kama UDA na Simon Group wana mkataba tayari ni uhalifu na hawataweza kukaa pamoja wakapatana nilifikiri polisi wangefanya kazi yao ya kumkamata kwa kosa la kuvunja ofisi mambo ya mkataba hayahusiani na polisi.
Back
Top Bottom