Search results

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Unajaribu kuuliza kama mtu hampendani unawezaje kuchat naye. Jibu ni kuwa haiwezekaniki. Ila Watu wanaopendana wanachat kila wawapo Free na hawachoki.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Vijana wa zamani wasingekuwa wavivu nchi za Afrika zingekuwa mbali kama nchi za Ulaya. Acheni kuwasema vijana ambao mliwazaa ninyi na kuwalea ninyi. Mtoto wa nyoka ni nyoka
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    HAKUNA msamaha kwa msaliti hiyo ipo kiasili. Ni aidha aachane,.au alipize kisasi,.au akubali moyo wake kuumia kila akimtazama.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Pole sana. Usaliti ni kosa lisilo na Msamaha. Uliza popote pale sio mbinguni, kuzimu wala duniani. Wengine watakudanganya usamehe ilhali utakuwa unajidanganya huku moyo ukiendelea kuumia. Zingatia, kama hujawahi kumsaliti unahaki ya kumuacha.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Ongezea hii, angalia unayemsaidia au kumuinua. Wengi waliinua mashetani yakaja kuwageukia. Waafrika ni maskini kwa sababu wanasaidiana kuliko uhalisia na bila akili. Afrika tunaongozwa na mfumo wa Ujamaa, kusaidiana.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Pole sana mkuu. Niliwahi kuandika hapa👉🏼👉🏼Kuna Watu mnashindwa kuelewa kuwa kwa wengine JF ni kama Familia yao
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Umeshasema wewe Mungu amekujalia. Sio wote waliojaliwa au watakaojaliwa kupata upendo
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ogopa mambo haya matatu!

    Mkuu leo ndio nasoma hii comment yako. Watibeli ni Watu bora siku zote ambao hutaka kila mtu awe bora. Wasaga sumu ni wale wasiotaka haki, ukweli, maarifa na upendo
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Hizi data nu muhimu kwa vijana watafutaji. Sio unajituma na kutumia nguvu kubwa alafu matokeo sisimizi kumbe changamoto ni eneo ulilopo. Ahsante kwa ku-share data
  10. Robert Heriel Mtibeli

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Duuh! Kuna mambo bora macho yasione. RIP
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Maendeleo ya kijamii Maendeleo ya kiuchumi Maendeleo ya kisiasa Maendeleo ya kisayansi na teknolojia. Hayo mambo ya ushoga, wizi, madawa ya kulevya, ubakaji, ulawiti, ufiraji yapo kwenye ishu ya kijamii. Kuyakomesha ndio huitwa maendeleo ya kijamii. Kwa nini unasema Ni petty ishu Wakati huo ni...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Ninyi ndio mnakosea. Ukristo sio Dini. Ukristo ni Imani. Uislamu na Uyahudi ni dini na pia ni Imani.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Vita ya tatu iingie tuingie Phase 3 ya kuheshimiana
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Watu wanajadili kinachotokea. Hiyo kusema wanafurahia huo ni mtazamo wako. Wanaofurahia ni hao ambao wanapigana huko kwa sababu wanajua nini wanapata pale wanapopigana
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Vizuri. Sipendi Watu wanyonge. Wapigane ili amani iwepo. Bila vita kali ya kuuana kikatili dunia haiwezi kuwa na amani. Vita ya kwanza na ya pili ya dunia imechangia kwa kiasi kikubwa dunia kuwa na utulivu. Vita ya tatu itaituliza dunia kwa kiwango kikubwa
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Atleast Iran imetimiza Ahadi yake hata kama matokeo ni madogo lakini tumeona. Sasa kete inayosubiriwa ni Israel asukume tuone mchezo utachezwaje
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Ni kweli Michezo mingi inakete nyingi. Labda mchezeshaji anatumia mchezo wa Golf. Sioni kama Mange awe kipaza sauti cha mtu aliyenyuma aliyejificha. Yule ni kama mercenary
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Inawezekana kabisa. Kwenye siasa, ukiwa mtawala elewa wale unaowatawala ikiwemo wasaidizi wako ndio washindani wako.
Back
Top Bottom