Search results

  1. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    Umejibu sawa ila tatizo Voda imepandikiza watu wa kujibu humu ndani kutetea unprofessional conduct. Ni sawa na kusema mtu aliyepata ajali kwa uzembe asipate matibabu atajijua mwenyewe.
  2. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    MPESA tuseme ni uvivu tu wa kufikiri nakujiongeza ilitakiwa wafuatilie. Mteja aliyechukua ni wa VODA halafu aliyechukuliwa hela zake ni wa voda hii ni sawa na mama kumficha na kumtetea mtoto mtukutu alitempiga kaka yake. VODACOM kuweni waungwana
  3. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    Mtu anamamlaka ya kulalamika kwa sababu haijakuwa revealed katika mkataba wowote kama ukikosea namba basi usitufuate ni juu yako. MPESA ni muhimu waka weka open kuwa kama ukituma fedha wrongly basi haiwahusu na wawasainishe wateja.
  4. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    Mungu angehukumu kwa namna hiyo duniani tungekuwa hatupo. Hiyo hakikisha ni tahadhari na ilibidi wawe na if...
  5. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    Tatizo la Mitandao yetu ya simu inatumia cheap labour na na watu ambao wamezoea kufanya kazi kimazoea na very short foresight kiasi kwamba kufikiri beyond the horizon ya meza zao ni ngumu sana
  6. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    Ninaamini kabisa pamoja na joking nyingi zinazoendelea kuhusu hili jambo bada VODAcom wanaweza kufanya follow up huyu mtu aliyechukua hela akapatikana hata kabla ya saa 12 jioni. Paypal wana utaratibu wa namna hiyo hakuna mahali watasema eti ni uzembe bali wao ukosee usikosee watahakikisha hela...
  7. Mwana Kwetu

    M-Pesa sio salama

    TCRA ni muhimu wakaliangalia hili kuhakikisha hata kama mtu atakosea namba still mwenye hela hapotezi hela zake.
  8. Mwana Kwetu

    Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

    Hakuna njia rahisi ya jamii kuwasaidia maana hao wamekomaa counseling haitazaa matunda zaidi ya kutumia brutal mechanism kuwasaidia.
  9. Mwana Kwetu

    Kurejeshwa Kazini kwa 'Aliyewalima' Barua KKKT na Hatma ya Baraza la Maaskofu

    KKKT siyo NGO; wewe CCM ikikuambia kinyesi chako ni chakula naamini utafakamia bila kutaka ushauri. Haiwezekani akili haifanyi kazi kiasi cha kutokuwa na chembe ya uchambuzi wa mambo yanayohusu serikali. Wakati mwingine ukweli unakuwa mweupe sana kiasi kwamba kwa wa kereketwa kama wewre njia...
  10. Mwana Kwetu

    Kweli watoto hawapendi maswali ya kijinga!

    Mtoto wangu six yrs Aliniambia anataka amwone Mungu nikamwambia ukimwona Mungu utakufa akasema basi nikifika alipo nitafumba macho ili nisife!!! ; watoto ni raha na very funny
  11. Mwana Kwetu

    Hamna kitu mwanamke anataka kwa mwanaume zaidi ya pesa

    Wanawake wote ni kitu kimoja ila wanachotofautiana ni timing tu. kuna anayeanza urafiki akijidai hajafuata hela ila amevutiwa na wewe ila baada ya mapenzi kukolea atakupa mipango ya malaki -mamilioni. wengine siku ya kwanza tu ameanza kulia njaa na hawa hawahitaji hela nyingi lakini taabu yao...
  12. Mwana Kwetu

    TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

    Tujikite kwenye swali la msingi mwenzetu anahitaji msaada. hivi vingine mnavyochungulia chungulia kuvichunguza mwachieni; inawezekana hii TV ya mahali maalum
  13. Mwana Kwetu

    TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

    Du utafikiri ulikuwa kichwani mwangu
  14. Mwana Kwetu

    Rais Magufuli awaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo Julai 03, 2018 Ikulu Dsm

    Ukiona hivi ujue mbele kiza kimetanda na maguvu yameshindwa kuleta solution
  15. Mwana Kwetu

    Rais Magufuli: Kila mwezi tunalipa deni la taifa shs bil 950, hivi tunakusanya ngapi na matumizi kiasi gani?

    Hapo kanena kukopa lazima la sivyo uchumi utasimama. hili kaling'amua mapema na ang'amue mengine
  16. Mwana Kwetu

    Askofu Malasusa na kura za KKKT!

    Kama una ugomvi binafsi au unamtaka Shoo kwa mambo yako basi mfuate kule Moshi na si kumchomeka kila unapotaka. Shoo sio ndugu na Lowassa ni Askofu tu msomi na anayejitambua. sijaona chochote alichokifanya kuonyesha yeye ni member au pro CHADEMA
  17. Mwana Kwetu

    Askofu Malasusa na kura za KKKT!

    Msemaji wa KKKT au kuchafuana
Back
Top Bottom