Search results

  1. First Born

    Simba mnashibisha familia ya jirani wakati ya kwenu inalala njaa!

    Kwa hiyo na wewe umeamua kutoa nafasi ya miaka minne kwa mwenzio?
  2. First Born

    Simba SC wapewe maua yao

    Umezidiwa possession 66 Kwa 34, huna shot on target [emoji457] hata moja, unasema umekufa kiume, tuache kujifariji kwenye mambo ya kijinga, tuache siasa, tufanye usaji wa maana tuende mbele... Full stop
  3. First Born

    Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

    Dahhh... Hii nchi ngumu Sana. Ukiwa kolo na akili yako inafubaa pia
  4. First Born

    Wayne Rooney's son Kai sees himself playing for Man Utd in Premier League in 10 years

    Wa kwangu ana kazi ya kukariri tarehe ya uhuru wa nchi zote duniani[emoji15][emoji377]
  5. First Born

    Yanga hatoshinda leo

    Inshallah wamepata wanachostahili
  6. First Born

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Na kawa mchezaji Bora wa mwezi
  7. First Born

    Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

    ACHA chuki dhidi ya waliofanikiwa
  8. First Born

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    SEMA nyoka karembua sana kama yeye tu [emoji3]
  9. First Born

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  10. First Born

    SoC 2022 Elimu: Kutoka ufugaji wa kuku kumi na moja mpaka maelfu

    Hii njia ni sahihi kabisa, niliitumia Kwa kuanzia na kuku 7 tu, nilifikisha 300+ bahati mbaya nikapata uhamisho wa kikazi mradi ukafa. Ila nitaufufua tu
  11. First Born

    Pepo la kujichubua kwa wanawake limetoka

    Ni kweli Pepo la kujichubua limetoka likaingia la makalio.... Yaani hakuna kupoa[emoji12]
  12. First Born

    Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Wanawake kama nyie ni wachache Sana na Huwa mnaangukia pabaya...
  13. First Born

    Je, hili limewahi kukutokea?

    Huyo ni Mimi kabisa, Fanya urudishe MOYO wako kwangu[emoji12]
  14. First Born

    Umewahi kupitia ngapi katika orodha hii?

    Sasa mkuu huko wodini umemgegeda mgonjwa, nesi, docta au muhudumu wa mgonjwa?[emoji15][emoji15]
  15. First Born

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    Na ukute ni yale ya mabonde mabonde, then yawe na yale michirishi ya unene. Unaweza usidindishe kabisa
  16. First Born

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Nikikukuta peponi nakushitaki Kwa shetani..[emoji23][emoji23]
  17. First Born

    Usimuonee huruma Mwanamke

    Ndiyo tuwakate masikio tu maana tusipofanya hivyo watatuchomea ndani ya nyumba Kwa majibya moto na petroli.. Kipi Bora?
  18. First Born

    Nini kilikuwa sababu ya kuuawa Dkt. Mvungi na Prof. Juani Mwaikusa?

    Unazungumzia kusahaulika Kwa akina Mvungi? Ushajuuliza kuhusu mikataba aliyoishuhudia mama huko mwanza ya ukarabati wa meli 5? Nini kinaendelea?
Back
Top Bottom