Search results

  1. mutabilwa

    Magufuli: Kuanzia leo nitatoa kazi zilizofanyika kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita

    Umejenga kwa ela zetu! Barbara ya makambako Songea usitudanganye ilikuwepo , Barbara ya Mbeya chunya umetumia gharama kubwa kutokana na kukaa mda mrefu tangu 2009 halafu unakamilisha 2015 km 60 tu ili uombee kura,tueleze na hasara za Barbara kukaa mda mrefu kujengwa ilikhali mkandalasi yuko...
  2. mutabilwa

    Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    Hivi umefiwa au? Mbona unatoa tathimini mapema? Nenda kazike kwanza!
  3. mutabilwa

    Lowassa anaweweseka tu

    Umeandika sana hebu elezea na escrow!
  4. mutabilwa

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Sio arusha tu huku mbeya ndo usiseme mgao kila siku kuanzia saa 2asbh hadi saa 4 usijali, ccm ni shida.
  5. mutabilwa

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Polisi weneyewe wamechoka kutumika, kinachofanyika sasa ni polisi kuwavuluga wananchi ili waichukie serikali.
  6. mutabilwa

    Marando: Kama Rais hataki kubaki madarakani, basi aachane na kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu

    Duuuuuuuuuuu!!!! Natamani elimu hii ya mawakili iwafikie wananchi wengi ili kujua kiini cha wakuu wa nchi kung'ang'ania kura ya maoni ifanyike kabla ya uchaguzi mkuu.
  7. mutabilwa

    Karenda ya vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2015

    Habari wana JF!!! Nimekuwa nikitamani kujua nn chama tawala kinafanya na ni yapi matarajio ya CCM kwa wananchi wake na kipekee kwa wanachama wake. Mwl Nyerere katika maja ya hotuba zake alisema ili nchi ionekane inatawaliwa na sheria ni lazima wananchi wake wajue kesho kuna nini! Chama...
  8. mutabilwa

    Asante Kikwete kwa ongezeko la thamani ya uwekezaji nchini

    Nina mambo mawili nomba uyaweke wazi ii nasi wananchi tuhisi hilo ongezeko 1. Ni vipi ongezko hilo linamtoa mawananchi kutoka katika lindi la umaskini? 2. Mkuu nikusihi ubadilishe hizo figure kutoka USD kuwa Tshs. itapendeza, si kwamba sijui ili kwa kuwasaidia wasiojua kwani kwa sasa mwanachi...
  9. mutabilwa

    CCM: Mambo si mambo

    Samahani mkuu, hivi namba ya kadi yako ya CCM ni ngapi vile?
  10. mutabilwa

    Rais aheshimiwe, mwekezaji adhibitiwe

    Wakati mwingine Physical appearance ya mtu + hisoria katika maamuzi yake humfanya kupuuzwa!!!!!!!!!!!!
  11. mutabilwa

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Maneno mengi ya nini? kama unaifahamu si uiseme,kwani swali litaishia kwenye kusema tu? kuna mambo mengi ya kujiuliza ili kutambua ukristo wako.
  12. mutabilwa

    Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Sura yake tu inaonekana mambo mazuri yanamyookea hata nafasi ya kujishugulisha kujua kilichomo katika katiba hana, jamaniiiiiiiii!
  13. mutabilwa

    Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Ni uzembe wa khali ya juu kwa viongozi wakuu wa nchi kutokujua mambo mapema na kuyaweka wazi mapema, mimi nashangaa watu wako ofisini wanalipwa mishahara ya kodi yetu ili wawe makini na utendaji wao lakini wana kuwa na maamuzi hovyo hovyo, eti kura lazima ifanyike april 30 huku khali harisi...
  14. mutabilwa

    Sababu zilizomwondoa Rais Goodluck ndizo zitaiondoa CCM

    Hata kama ameongeza yake wewe ulitaka asiongeze hata neno lolote, atakuwa hana maana ya hoja yake lazima ajazie nyama!!
  15. mutabilwa

    Mabomu yanarindima mjini Kahama

    Kumbe unapenda kucheza ngoma yangu, haya niyeke mosagane?
  16. mutabilwa

    Mabomu yanarindima mjini Kahama

    niyeke musacha?
  17. mutabilwa

    Mabomu yanarindima mjini Kahama

    Isiiwe kaisiki nonyendelaki?
  18. mutabilwa

    Mabomu yanarindima mjini Kahama

    Kwahiyo??????????
Back
Top Bottom