Search results

  1. by default

    Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

    huyu jamaa ahamini kama kesho anafungasha viragoo//////// hapa makomeo anaenda kuwa bawaba tu ila mlango ni jk
  2. by default

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Unachukua unaweka lowasaaaaa ...ufisadi watanzania wachache sana wanaopata pesa za halali wengi wapigajiiiiii tuuuu
  3. by default

    wahaya mjifunze kiswahili fasaha

    Jamani ndo nini
  4. by default

    CHADEMA: Kuweni makini na jimbo la Segerea

    Wakimpitisha makongoro jimbo linapotea kabla ya uchaguzi na madiwani tunakosa jimbo lote.... wasituleteee uhuni....aliyepita ni kamanda dada anatropia katibu wa jimbo sasa kuna fitina zinafanywa na mwenyekiti na viongozi wengine wa jimbo wameahidiwa milions of money na makongoro wampitishe yy...
  5. by default

    Mliomwunga mkono Lowassa, mko wapi??? Acheni unafiki!!!!

    watanzania ni kama:usa2: wewe subiri kidogo tu upepo ukivuma
  6. by default

    Mwenyekiti wa CCM Arusha unasubiri nini?

    watanzania ni wanafiki sana mbona auhulizi Pasco anasubiri nini na co wenzake wa radio ya mawimbi walijinasibu wapo upande wa mzee EL ... mzee akichukua maamuzi magumu utaona mikia yake inavyounga msururu..... wakati mwingine akili za watanzania nizakipekee
  7. by default

    CUF Wanaihitaji CHADEMA kuliko CHADEMA inavyoihitaji CUF!!

    naona umejilipua kabisa mathumuni ya thread yako yalikuwa hapo kwa blue hayo mengine yalikuwa chachandu tuu
  8. by default

    Arusha na Manyara: Yametimia Oktoba ni Kura za mafuriko UKAWA

    ARUSHA tumewafikia:cheer2:
  9. by default

    Nauza: Suzuki Carry T (CSK)

    Mkuuuu 5m cash vipi!
  10. by default

    simwambii ng'o kama yeye ni msichana mrembo:UZURI UNAWAPONZA WENGI.

    mi uwaninawasifia hata kama ni wabaya kwani awajijui unadhani wengine unakuta reception na usafiri zerooo inabidi umsifie na yeye kama ni zuzu lazima achanganyikiwe
  11. by default

    Mkwara wa Mourinho unaanza - Game ya Jtano Majina hadharani!!

    mkuu soma mwenyewe huyu mmakonde nijembe la ukweli http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2365454/Chelsea-apologise-Brazil-Ramires-confusion.html
  12. by default

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Shikamoo CHADEMA
  13. by default

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    mkuu sijakuwepo arusha kwa kipindi kama miezi sita ila kunakipindi nilipita kimandolu maeneo ya kurugenzi kumsalimu mama mkwe wangu katika maongezi yetu akagusia siasa na kiumri ni mama mwenye umri mkubwa lakini mapenzi aliyoyaonyesha kwa chadema yalinipa faraja sana nikajua chama kipo miyoyoni...
  14. by default

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    ipo siku utavua gamba na kuvaa gwanda kamanda kama ulivyoandika hapo juu.ila ninakukubali sana kamanda Ritz naomba kujua Rejao na MALeria sugu wako wapi
  15. by default

    Jeshi la polisi Tanzania laamua kumfuata Agness Masogange Afrika Kusini...!!

    dada usiwe mbishi mbona twiga walipakiwa wazima wazima kwenye ndege jiulize walipakiwa airport gani ,na walikaguliwa na nani hadi wakaruhusiwa kupanda kwenye ndege alafuuuuu uko walipopelekwa ni airport gani walishushiwa na walitokea mlango up hapo airport,,,ihii ndio bongo daslaaam nenda...
  16. by default

    Mawakala wa CCM ni mamluki wa CHADEMA

    mapovu yanini wewe pimbi
  17. by default

    Nataka kuanza kwenda kanisani

    ubungo TAG?linatazamana na ubungo plaza upande wa kushoto front view
Back
Top Bottom