Search results

  1. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    LEGE Mm sielewi ndo vimeungua au vipi? Havifanyi kazi ninayotaka mm!
  2. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hiyo ni kweli na inaweza kuwa tatizo, huwa nawasha gari bila kukiondoa, na kweli sikujua hilo mkuu! Nakushkru sana kwa elimu na msaada kwangu Mr Ngusho!!
  3. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau, Hbr za maisha yetu ya kila Leo? Nina tatizo la hiv vinavyoitwa "viberiti" ambavyo hutumika kwa ajil ya kupata mziki kwa kutumia flash! Nikikitumia ni wiki 2au 3 hakifanyi kazi tena! Nimenunua zaidi ya 3 hv tatizo hill hilo! Nisaidieni wajuzi wa hayo mambo, napenda sn mziki nikíwa kweny...
  4. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni kweli hata mm sijapata point hapo mkuu!!
  5. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Je betri inabadilishwa baada ya muda gani wakuu?
  6. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante sn mkuu, asante kwa ushauri,
  7. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Na mwisho wake itakuwaje, haitaongezeka ?
  8. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za majukumu wadau? Tunafarijika kwa habari na taarifa mbalimbali kuhusu Magari! Nimekuta kwenye taa za nyuma kuna unyevunyevu ndani ya taa moja! Ndo nini hicho? Na kukiondoa ni kwa njia gani? Thanks in advance,
  9. mwl frank

    Kumhasi mbwa (Castration)

    Nashkru sn mkuu bab-D,
  10. mwl frank

    Kumhasi mbwa (Castration)

    Njia ipi inatumika kumhasi mbwa tafadhar,
  11. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habar za mapumziko ya Karume Day? Naomba ushauri wakuu, navua matairi kwa mara ya kwanza! Naomba kujua nivae size ipi na aína gani kwa uimara na ubora hapa kwetu Bongo nchi ya majaribio kila leo! Size nilizokuwa nazo toka Japan ni 185/70R14 88S! Asanteni sana kwa huduma hii nzuri!
  12. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nakushukuru sana Mr Mushana jr!
  13. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni kweli dashboard inakuwa ys moto! Kwa hiyo namalizaji hii kero mkuu?
  14. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habar wakuu! Nini tatizo la redio, flasher nk kuwa na joto sana kwenye gari wakati naendesha?? Asanteni,
  15. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nakushkru sn mkuu, ila mm siuzi bali nabadili tu majina yakae sawa na nyaraka nyingine,
  16. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za majukumu ya hapa na pale! Naomba kujua namna ya kubadili mmiliki wa gari kwenye Kadi ya gari, kabla sijaingia kichw kichw TRA!
  17. mwl frank

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kiberiti cha redio kimeacha kutoa sauti ghafla ninapoweka flash ya nyimbo! Nini tatizo wakuu?
Back
Top Bottom