Search results

  1. adidace10

    Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    Mi naona km break zimekatika.
  2. adidace10

    Askofu Emmaus Mwamakula: Ujumbe maalumu kwa Tundu Lissu

    Kwani tundu Kapona? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. adidace10

    IGP Sirro: Nitachukua hatua ndani ya siku tatu kutekwa kwa MO Dewji

    Uliskia vibaya miez mi3 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. adidace10

    Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

    Hata Ungeongeza 4 bado ungekua binti tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. adidace10

    Je, ni kweli huyu dada kavaa Sare za Jeshi la Tanzania za mkuu Brg Grn CD Katenga?

    Alie vunja sheria ni port kwan ndie anae ifaham sheria huyu bibie sioni kosa lake cuz she know nothing. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. adidace10

    Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

    Nyie mnakausha koo Jina la poster mmeliona? mi nahisi km linasadifu yaliyomo. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. adidace10

    Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Hahahahaaaaaa ahadi zingine sio kabisa
  8. adidace10

    Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Kibaya zaidi usiwe uliahidi kumuoa,kwa sisi waislam kesho asubui unafungua mlango tu ndoa inafungwa mlangoni.
  9. adidace10

    Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Kwani we hujui km ahadi ni deni? Toa helaaaaaaaaaaaa ili siku nyingine usiahid tena.
  10. adidace10

    Hivi ni ukoo wetu tu tuko hivi au na wengine mna experience upuuzi kama huu?

    Na ndio wakwanza kulia kwa uchungu km mgonjwa ameenda mbinguni.
  11. adidace10

    Najua 90% mtakosa hii..

    Mi nimeona kiboko
  12. adidace10

    Mil 4 nizitumie kusafiri kwenda Nigeria kwa TB Joshua ili nirudiane na mke wangu Au niitumie kufungua kijiwe?

    Go back kwa wife then wife akikususa fanya mambo mengine duniani kuna mambo meng sana ya kufanya.
  13. adidace10

    ROMA, ITALIA: Papa Francis adaiwa kusema Jehanamu hakuna moto na roho za wasiotubu zitatoweka, Vatican wakanusha

    Chakumsaidia ni hiki,ni bora aamini kua moto upo ila asiukute,kuliko aamini haupo then aukute,hapo ndio atajua ni kwanini risasi ilipigwa juu ikaua mtu ndani ya gar.
  14. adidace10

    Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

    Chamsingi ajifunze kua pesa zinauza utu wake.
  15. adidace10

    Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

    Hakuna ambae anaweza kuku zuia hata upigiwe ngoma kwenye maskio, ila uwezo wa kuacha upo ndani yako yan we ndio mwenye uwezo wa kuamua kuacha ukitaka kuacha utaacha,ime cost wengi.
  16. adidace10

    Vitabu vya dini visitumike kuwaapisha wanasiasa!

    Viwatu vyenyewe vinaapishwa ni viongo viongo hadi ukweli umesha vikimbia,rushwa asubuhi ufisadi jioni,akiapishwa anaaaaapa huku ametoa macho utasema fundi saa kapoteza mshale wa sekunde.
  17. adidace10

    Wanawake walioolewa kudanganya hawajaolewa, mtaleta maafa

    Nikujiamini tu kama ipo ipo tatizo wanja izo hua tunashindwa tupite kona ipi.
Back
Top Bottom