Search results

  1. BongoTz

    Big Kudos WanaJF, KatibMpya.Org, na Wazalendo wengine!!!

    Okay, I think we are making some progress here... We have forced government's hand, and now Prime Minister Mizengo Pinda has decided to come out and reiterate the need for a new constitution: "I believe there is no difficulty in this [matter]. As Prime Minister, I am ready to take the...
  2. BongoTz

    [Petition]: Tatizo la Umeme (Dr. Wilbroad Slaa amesaini)

    Nianze kwa kuwashukuru watanzania wote (ndani na nje ya nchi) ambao tayari mmeitikia wito huu na kuonyesha ushirikiano wa hali ya juu kwa kusaini petition. Sambamba na hilo, napenda pia kuwashukuru wale wote mliokubali kutoa muda wenu kuwapigia simu/andikia email wabunge mbalimbali wa Bunge...
  3. BongoTz

    Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Zitto/JF Members: Anger is Not a Solution to Our Problems

    Without doubt, these days there are lots of angry Tanzanians out there than any other time in our country's history. And nobody is angrier these days than me, myself, following the recent unfair and undemocratic presidential election which gave President Jakaya Kikwete a second and final...
  4. BongoTz

    Elections 2010 BBC News--Tanzanians elect first albino to parliament

    An albino has been elected as an MP in Tanzania for the first time. "This win is a victory not only for me but also for all the albinos in this country," Salum Khalfani Bar'wani, from the opposition Cuf party, told the BBC. Albinos have suffered widespread persecution in...
  5. BongoTz

    Elections 2010 Early Estimates suggest Kikwete to win by 64.2%-71.8% margin

    For those few sane people out there who really want to see some real and lasting change to this country of ours we call Tanzania; you'll totally value what I'm about to say. But for those few ones who like to take pleasure in the temporally excitement of the moment, you won't understand a thing...
  6. BongoTz

    Elections 2010 My fellow countrymen, don't mess it up again

    My fellow countrymen, the time to make a wise choice has arrived. Please don't repeat the same mistake again [we'll never get this chance again!!!!!]. Vote for change this time. To paraphrase Franklin D. Roosevelt, the 32nd President of the United States, Democracy cannot succeed unless...
  7. BongoTz

    Elections 2010 Kura yako ni sawa na risasi [itumie vizuri]

    Kwenye hotuba aliyoitoa April 03, mwaka 1964 huko Cleveland, Ohio; Malcolm X, aliwahi kukaririwa akisema, "Kura ni sawa na risasi. Hufyatui risasi ovyoovyo mpaka kwanza uone shabaha, na kama shabaha hiyo iko mbali na wewe, jambo la busara kufanya, nikuirudisha risasi yako mfukoni." Well, zikiwa...
  8. BongoTz

    [ This is wrong y'all! ]: alianza Mkapa, na sasa ni Kikwete na Serikali yake

    Hivi kwanini serikali ya chama cha mapinduzi inadhani kuwa wao pekee ndio wenye monopoly ya vyombo vya habari hapa nchini? Nalisema hilo kwasababu chini ya utawala wa rais Mkapa, mara nyingi kama sio zote, serikali ya awamu ya tatu ikiongozwa na waziri mkuu wa ovyo aliyewahi kuliongoza taifa...
  9. BongoTz

    Elections 2010 Chonde chonde Slaa/Chadema, unganeni na wanamageuzi wenzako

    Ingawa tunajua kwamba nchi yetu bado ni changa kwa siasa za vyama vingi kutokana na ufinyu wa elimu ya uraia waliyonayo watanzania walio wengi hususani sehemu za vijijini, lakini pia, uroho wa madaraka wa baadhi ya viongozi wa vyama vya Mageuzi umechangia kwa kiwango kikubwa kwa chama tawala...
  10. BongoTz

    Pupa ya kutaka kushika madaraka, itaiangusha CHADEMA tena

    Chama imara cha kisiasa ni lazima kwanza kiwe na muundo thabiti, mtandao mzuri wa kisiasa unaoanzia ngazi moja hadi nyingine pamoja na kuwa na mfumo unaosadifu wa kisera na kiitikadi na kutambulika, achilia mbali kukubaliwa na wananchi. CHADEMA chama ambacho kwa bahati mbaya sana kimebahatika...
  11. BongoTz

    Dear, Mageuzi...

    Dear, Mageuzi: Well, I know ya kinda shocked me calling you Mageuzi, but that's how I prefer it (Upinzani sound little militant and confrontational to me). Besides, it kinda scares the sh*t out of wananchi, too. "Upinzani,?" huh?! Mageuzi, duh! Anyhoo, I understand general election campaigns...
  12. BongoTz

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Ingawa sikubaliani na baadhi ya sera zake za kijamaa, ukweli ni kwamba huyu Nyerere alikuwa anaona mbali sana! Na I think kila mwanasiasa wa Tanzania regadless kama ni kutoka CUF, CCM, Chadema, TLP ama DP, anatakiwa kusoma hii speech, aitafakari, na kuielewa. Hususani wanasiasa chipukizi wa...
  13. BongoTz

    Mfumo wa uchaguzi zanzibar uwe kama israel

    Na, Antar Sangali, Bagamoyo [www.bongotz.com] Ili kuepuka utata na kuweka mazingira bora ya kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki visiwani, hatimaye kila pande kisiasa ziridhike na matokeo, kuna kila haja yalazima Zanzibar kuiga mfumo wa uchaguzi wa Israel. Kimsingi chaguzi zote zilizofanyika...
  14. BongoTz

    Mwalimu's advice to mrisho kikwete

    Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or maybe you just don't know what you are really doing in the State House. But whatever it is, you are leading the nation in wrong direction. And as a former statesman, I feel duty-bound to warn you at this time before you plunge...
  15. BongoTz

    Don't cry for me, Tanzania

    I mean, let's be serious here. What is wrong with us? Is it a chronic foolishness syndrome or what? The fact that Tanzania has been governed by the same immoral, greedy, ignorant, and corrupt people over and over again is a proof that those who elect them are themselves such. Voting for...
  16. BongoTz

    It's the accountability, stupid

    Question: Explain the term "accountability?" Mwana-CCM: Oh, that's an easy one! It means "let mafisadi go unpunished." (Bzzzzt): Wrong answer! May I have a definition, please? Accountability is defined as "X is accountable to Y when X is obliged to inform Y about X's actions and decisions...
  17. BongoTz

    Seriously, "Wa-Tank men" mko wapi?

    Baada ya wengine wote (waandamanaji) kuwa wamenyamazishwa tuli na zaidi ya watu mia saba wakiwa wameripotiwa kuuawa, picha ya shujaa mwenye shati jeupe na suruali nyeusi akiwa amesimama peke yake mbele ya sanjari ya vifaru vya kijeshi vilivyokuwa vikiviringika kuelekea kwenye viwanja vya...
  18. BongoTz

    Tanzania, my country: run Gustanza, run...

    My fellow countrymen: After four agonizing decades of illicit enrichment, stagnant wages, and corruption plague that have capsized our nation's economy, I simply can not take it anymore. That is why with great sense of unassuming nature; I announce today my candidacy for the President of...
Back
Top Bottom