Search results

  1. Ngomile

    Vibali vya kurejea utumishi wa umma

    Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza. Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni...
  2. Ngomile

    Uchaguzi 2020 CCM kama mnaipenda Tanzania amueni kiume 2020

    Kwa hali ilivyo sasa inaonesha ule utamaduni wa makundi ya kuwania urais 2020 yameshajipanga na yako mkao wa kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu ujao. hivi karibuni tumeona kumekuwepo majibizano ya kisiasq kati ya wanasiasa wawili hasimu kutoka ndani ya ccm bwana Benard Membe na Rostam...
  3. Ngomile

    Msaada Tafadhali, nimeondolewa kwenye LOWSON

    Wakuu habari za majukumu!! Niende moja kwa moja kwenye Mada. Ninaomba ushauri nini natakiwa kufanya kuhusu hili suala langu. Mimi ni mwajiriwa serikalini kupitia moja ya wizara. Nilifanya usaili katika taasisi ya umma mwaka huu mwezi wa nane na nikafanikiwa kupata kazi katika taasisi Hiyo...
  4. Ngomile

    KINACHOENDELEA BODI YA MIKOPO NI SINTOFAHAMU NA KIMYA KIZITO

    Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa, Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau. Maana hali si nzuri
  5. Ngomile

    Barua ya wazi kwa waziri wa afya Ummy Mwalimu

    Kwako mheshiwa waziri, imani yangu ujumbe huu utausoma wewe binafsi ama wasaidizi wako watakufishia. Mh, waziri mimi ni miongoni mwa watumishi wizara ya afya nikifanya kazi moja ya hospital za mikoa hapa Tz chini ya wizara yako. Mimi binafsi ninayo masononeko makubwa sana, ingawa na wengine...
  6. Ngomile

    Tupige picha uchaguzi 2020

    Wanajamvi wazalendo karibuni katika mada hii tuchangie. Hebu tujaribu kupiga picha uchaguzi ujao lkn bila kusahau huko nyumba tunakotoka tangu nchi yetu pendwa Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi. Kuanzia 1995 ambapo uchaguzi wa vyama vingi umeanza kumekuwa na kupiga hatua kadha wa...
Back
Top Bottom