Search results

  1. Abuu Kauthar

    Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    Hello comrades, Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration. Come and grab it quickly. Only one unit left.
  2. Abuu Kauthar

    Simba tengenezeni rekodi yenu ya kuuza mchezaji bei ghali kumzidi Mayele

    Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga. Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo...
  3. Abuu Kauthar

    Car4Sale Toyota Kluger For Sale

    Kluger 2002 model CC 2360 Mileage 83,000km Bei 18.5m Highly Negotiable
  4. Abuu Kauthar

    SOLD: Crown Athlete kali sana

    PRICE/BEI:14.8M TOYOTA CROWN ATHLETE YEAR: 2004 ENGINE CAPACITY: 2490Cc ENGINE CODE: KILOMETER: 82,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER SPORTS RIMS,MUSIC SYSTEAM,NEW TYRES
  5. Abuu Kauthar

    Sensa 2022, ina maana gani kutuma meseji kila siku

    Hivi hii ina maana gani kutuma meseji kila siku ili mimi zinisaidie nini? Yaani ndio mpanga maendeleo ya nchi ama ni nini eti wanajukwaa?
  6. Abuu Kauthar

    Wataalamu hii "code" ina maana gani?

    Gari yangu aina ya toyota liteace ya dieseli ina toa muungurumo mbaya na kutoa moshi. Pia taa ya check engine inawaka. Fundi wa kwanza akasema tumeweka mafuta machafu hivyo tusafishe tank. Fundi wa pili akasema tununue diesel treatment tuweke, na watatu akasema switch ya kwenye pampu ama pampu...
  7. Abuu Kauthar

    LG refreshes slim Gram laptop lineup

    The four new models each weigh under three pounds and come with 10th-generation Intel Core processors and bigger batteries than their predecessors, but retain their premium price tags. It's been over four years since LG introduced its Gram laptop to the world, its name suggesting the company's...
  8. Abuu Kauthar

    Gari aina ya Toyota Allion 1750cc, km 72482, year 2002 inauzwa Bei M12

    Toyota Allion 1750cc, km 72482, year 2002, Bei M12 tu
  9. Abuu Kauthar

    Erling Braut Håland

    Huyu dogo kwenda dortmund mechi 2 goli 5 tayar kaweka kambani. Mechi ya kwanza goal 3 (hat trick) mechi ya pili jana kamba mbili safi. Man u mnafeli wapi? Uzi tayari
  10. Abuu Kauthar

    Hongera kwa Sheria ya Makosa ya mtandao kwa mafanikio haya

    Habari zenu? Moja kwa moja kwenye mada Binafsi ni mmoja wa watu waliokiwa wakikerwa sana vitendo vya baadhi ya watu ambao tunaweza kuita sijui ushamba, ulimbukeni, kutokujua au kukosa utu. Unakuta ajali mbaya imetokea either moto, au ajali nyingine basi watu wanapiga mapicha na vi "tecno" vyao...
  11. Abuu Kauthar

    Wapi nitapata hii mashine kwa Tanzania?

    Wadau nahitaji hii kitu ASAP, nielekezeni wapi naweza pata kwa TZ Thanks Ni mini combine harvester
  12. Abuu Kauthar

    Je MO ana wake wawili?

    Sikiliza mdau alafu nipe majibu
  13. Abuu Kauthar

    Mihogo mihogo mihogo safi inauzwa

    Pata mihogo safi kutoka mkuranga, njoo mteja serious tukuuzie mihogo mibichi iliyotayari kwa kuliwa. Mihogo ipo eneo la ekari 8 hadi 10 ni wewe kuja pm tuelewane tu. Offer: mteja wa kwanza atapa ofa ya KULA bureee matunda yafuatayo akiwa shambani Papai Nanasi Passion Ndizi kisukari Etc...
  14. Abuu Kauthar

    Hilux 2.5L D4D vs Hilux 3.0L D4D

    Wadau heshima kwenu. Naendelea kupata maoni yenu kama kawaida, naomba kwa mwenye uzoefu wa hizo gari tajwa hapo juu aniambie nini hasa utafauti wake hasa kwenye 1. Ulaji wa mafuta..wastani km ngap kwa lita 1 kwa zote 2 2. Ipi ipo comfortable zaidi ya ingine 3. Ipi ina nguvu zaidi ya ingine...
  15. Abuu Kauthar

    Kwa aliyewahi kununua gari ronimotors thailand

    Wadau heshima kwenu, Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi kununua gari ronimotors thailand nataka kununua pick up double cabin. Sasa hawa jamaa siwafahamu na bei ya pickup imenona kidgo nisije kuingia chaka. Asanteni
  16. Abuu Kauthar

    Mwenye trakta lenya harrow disc tuwasiliane haraka Mkuranga.

    Kama kichwa kinavyojieleza, tuwasiliane haraka. Please Njoo pm
  17. Abuu Kauthar

    Naomba kupata albam ya ANTI-VIRUS volv 1 & 2

    Wakuu habari, ile mixtape ya antivirus vol 1 & 2 ya vinega na sugu nitaipata wapi?? kama unayo njoo PM plz
  18. Abuu Kauthar

    TRA yasema atakayepoteza kadi ya gari atangaze gazetini, aripoti Polisi ili kupata nakala nyingine

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa wito kwa wamiliki wote wa vyombo vya moto kwamba kuanzia sasa, yeyote atakayepoteza kadi ya gari atatakiwa kutoa tangazo la kupotelewa kadi hiyo kwenye gazeti pamoja na taarifa ya upotevu kutoka kituo cha Polisi na kuleta nakala za taarifa hizo...
  19. Abuu Kauthar

    Strong box (SAFE) ndogo kwa ajili ya matumizi binafsi

    Naulizia wapi naweza pata SAFE au strong box ndogo za kg 20 kwa matumizi binafsi? na je zinatumia umeme au nishati gani? Asanteni
  20. Abuu Kauthar

    Natafuta Kiwanja Salasala

    Kichwa cha habari kinahusika. kiwe kimepimwa na hati mkononi, tambale na ukubwa usiopungua sqm 1200. bei inaanza 15m. kisiwe mbali sana na barabara. njoo pm chapu tumalize biashara ukalipe ada za watoto...vyuma takwimu. Thanks
Back
Top Bottom